Habari wakuu, ehee niko apa tena kuomba msaada kwa ajili ya mwili wangu. Nahitaji mganga mchawi kwa ajili ya kunitolea uchawi mwilini, maana nikifanya dawa inafanya mwanzo halafu inafifia, tiba zote nafanyiwa adi kupandisha na nyota, kuaguliwa na kusunzwa kwa dawa, nikitoka hapo niko fresh...