Vijana na kinamama wameonekana kuwa na kusitasita kujiunga na vikundi kutokana na takwa la kulipa deni la mtu yoyote atakae tokomea mara baada ya kupatiwa mkopo toka katika pesa ya kikundi. Hivyo n wakati sahihi sasa kwa serikali kuja na mpango kabambe wa yenyewe kuwa msimamizi mkuu wa vijana...
CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu.
Tupia bidhaa nyingine ya CCM...
Twende Direct kwenye hoja/Topic.
Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi...
IKO HIVI ......
1. SCENARIO 01
Tumeite John.
John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini.
John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
Twende Direct kwenye hoja/Topic.
Naomba kutumia majina ya kutunga ila hoja zote ni uhalisia wa matukio ninayoyaona huku duniani nikakoishi...
IKO HIVI ......
1. SCENARIO 01
Tumuite John.
John ni rafiki yangu kutoka mkoa wa Kusini.
John anajitolea kwenye Halmashauri yetu kama Muhasibu ila pia...
Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume .
Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao.
Ukitaka kutoa msaada...
Kuna Kijana mmoja tulimtuhumu kumbaka Mwanangu wa miaka minne tukapeleka malalamiko kwenye vyombo husika vya Kiserikali, Jamhuri ikafungua kesi ya ubakaji katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.
Tumeenda Mahakamani mimi na Mke wangu kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, ambapo tulikuwa tukiacha...
Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri.
Hii ni hatari sana jamani, ni vile baadhi ya Watanzania tuna shida ya kutosoma ukomo wa bidhaa kwenye...
1. Wameshamuona hana la kufanya
2. Wameshamuona ni Mbivu
3. Wameshamuona ni mpenda Raha
4. Wameshamuona anaingilika Kiurahisi
5. Wameshamuona ni Mswahili Mswahili
6. Wameshamuona ni mbea mbea Fulani
7. Wameshamuona kuwa HANA AKILI kabisa
Je, kwako Wewe huko Mtaani Mwanamke akiombwa kuwa Kijumbe...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Stephano Maswala, miaka 35 mlezi wa kituo cha kulelea watoto yatima kilichopo Mlandizi (jina linahifadhiwa) kwa kosa la kubaka watoto watano kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Oktoba 2024 mpaka Januari 2025 waishio kituoni hapo.
Muhumiwa huyo alikuwa...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao wakati Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ukiendelea katika Kituo cha Kimataifa cha...
Kuna mtu anakusanya takataka Sasa Leo amekuja kwangu ananigongea mlango kwa Fujo sana je naweza kumshitaki??
Ikiwezekana anilipe?? Mana natumia kama fursa ya kupata hela je inawezekana???
Angalia waliokuwa shortlisted kusailiwa ni zaidli ya 200,000 wakati wanaotakiwa no 14,00 tu.
Nampa heko mama angalau anapunguza kuliko lile jibwa ambalo lilikuwa linawatesha vijana mtaani na kuwafanya machinga.
Jk aliweka utaratibu mzuri wa kuajiri kila mwaka lakini lenyewe likaharibu...
Bro, Maisha mtaani ni magumu.
Ukisikia ni magumu unaelewa, moja haikai mbili haisimami. Mbele hauendi, nyuma hakurudiki. Hauoni future.!
Ni kama matumaini nayo yamekata tamaa.
Unajaribu namna zote za kujikwamua ambazo zinatajwa na kijana wa karne ya 21 lakini wapi.... Unabeti mikeka inachanika...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
Pengine unaweza kujiona upo salama kwa kudhani ngumi za mtaani ni kwa wapiga debe, bodaboda, au watu wa tabaka fulani tu. Ukweli ni kwamba, mtu yeyote anaweza kujikuta kwenye hali hii, tulichotofautiana ni viwango tu, Unaweza ukawa unajenga nyumba yako mmepishana kauli na fundi kiasi cha...
30s umri huu Kwa mwanamke anabidi kufocus kutafuta mwanaume kwao huko Mtaani kwao.
Sio anadanga huko Mtaani miaka yote na kutoa mimba then anakuja huku ambako afahamiki ili ajipatie dodo kwenye mnazi
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
MGAMBO WANAOFANYA KAZI SAMBAMBA NA POLISI NJE YA MIJI MIKUBWA (DAR, MWANZA, ARUSHA, MBEYA)
(1) Mgambo anakamata watu anaoishi nao mtaa mmoja. Polisi anakamata watu nje ya eneo analoishi yeye pamoja na familia yake. Hii ni nini kama sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.