mtaani

  1. Mwanadiplomasia Mahiri

    Je, ni kweli tambi za Santa Lucia zimebadilishwa jina?

    Tambi za Santa Lucia zimeadimika sana kitaa, nikajikuta nauliza kwa wadau wa dukani wakaniambia ni kama zimebadilishwa jina na sasa zinaitwa Olivoila. Yaani ni kama Tigo ilivyobadili jina na kuitwa Yas basi ndio hivyo hivyo kwa Santa Lucia. Je, kuna ukweli kwenye hili?
  2. F

    Mtaani na kwenye social media CCM imesahaulika kabisa wiki hii kwenye tasnia ya siasa wakati habari za CHADEMA zikitawala.

    Kwa kweli ukiangalia Jamii Furums, WhattsApp, Instagram, n.k. kati ya post 10 za siasa, 9 ni kuhusu CHADEMA. Ni kama vile CCM imeondoka kabisa kwenye ulingo wa siasa wa Tanzania, na hili jambo linasemwa kuwa linonesha hali halisi ya nguvu za vyama hivi vya siasa hasa CHADEMA ambayo habari zake...
  3. Nyafwili

    Ukiwa Huna Hela Kila Kitu Huwa Kinakuwa Kibaya.

    Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya. • Hii ni hali ya kisaikolojia inayotokana na msongo wa mawazo, kukata tamaa, au hata kujihisi kama hana thamani...
  4. J

    Kuna sababu ya kufupisha muda wa ajira serikalini ili kuto fursa za ajira kwa wimbi kubwa lililo mtaani?

    Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira. % kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
  5. JanguKamaJangu

    Raha ya ushindi wa Simba dhidi ya Bravos, mashabiki waingia mtaani usiku Pemba kusherekea

    Ushindi wa soka raha, hawa ni mashabiki wa Timu ya Simba, wakisheherekea ushindi wa timu yao dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola, jana jioni (Novemba 27, 2024). Sherehe hizo zimefanyika katika Mitaa ya Machomanne, Wilaya ya Chake Chake, Pemba. Katika mchezo huo, goli pekee la Jean Charles...
  6. K

    LGE2024 Naweka kumbukumbu sawa: mtaani kwenye Kampeni za Upinzani wahudhuriaji walikuwa 15 tu

    Ikiwa imebaki siku moja kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa tarehe 27.11.2024 ,naweka kumbukumbu sawa Ili usiwepo upotoshaji wakati wa kutangaza washindi. Tukumbuke kuwa: Mtaani ninapoishi watu ni waelewa na wafuatiliaji wazuri wa siasa. Watu wanaamini siasa ni maisha...
  7. Madwari Madwari

    Mwamba kaachiwa amerudi mtaani

    Mwamba karudi mitaani
  8. D

    Nchi imekuwa tamu sana. Mzunguko wa pesa mzuri mno na pesa iko mtaani tofauti na miaka mitano iliyopita. Hivi mama ulikuwa wapi?

    Tumeteseka sana miaka mitano iliyopita mtaani kulikuwa kugumu sana kiasi ambacho pona pona yetu ikawa ni kusaka ajira ambazo zilikuwa hazipo both private and public sectors. Watu kila siku walikuwa wanafunga biashara zao na automatically wafanyakazi wanaondolewa wote. Mfano uchumi super...
  9. Yoda

    Mwanamke mmoja Iran aamua kuwakera Ma-Ayatollah kwa kutembea na nguo zilizopigwa marufuku mtaani

    Mwanamke mmoja wa Irana aliyejulikana kama Ahou Daryaei amezua gumzo Teheran nchini Iran baada ya kutokelezea mtaani akiwa na nguo za beach kupinga ukandamizaji unaofanywa na polisi wa maadili wa nchi hiyo kulazimisha wanawake wavae Hijabu.
  10. Yoda

    Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

    Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje? Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
  11. Faana

    Bandari College: Je ni sawa script za wanafunzi kutupwa zikawe vifungashio mtaani?

    Swali kwa nia njema tu, je kwanini script za wanafunzi zisirudishwe kwa wenyenazo ziwasaidie kujua makosa yao kwenye mitihani badala ya kuzi discard zinaishia kuwa vifungashio mtaani?
  12. G

    Taasisi za kushughulika na bidhaa feki zinakula rushwa au haziwezi kazi? Kuna bidhaa feki nyingi Mtaani na expired zinauzwa kwa uhuru bila hofu

    Yani hakuna kash kash za kukamata wauzaji wa bidhaa feki, viwanda bubu vina operate kwa uhuru. Taasisi za kupambana na bidhaa feki ni kama hazipo, Je ni Rushwa ? Hawawezi kazi ?? Na kuna michezo mipya imeanza bidhaa zilizoharibika zinazotupwa dampo zinarudi mtaani, mchele ulio expire na...
  13. D

    Kuhusu swala la ajira utaratibu ulibadilika awamu wa 5 Kulirundikwa watu mtaani sasa mama anahangaika kupunguza angalau hili wimbi la unemplyoment

    Jk alikuwa na utaratibu mzuri sana kila mwaka husika anaajiri walimu au madaktari wote waliohitimu huo mwaka kiasi ambacho kulikuwa kuna scarcity ya watu mtaani na ikapelekea private sector lazima watoe mishahara mikubwa ili kumconnvince mtu asiende serikalini. Sasa lilikuja likaharibu kila...
  14. Down To Earth

    Mkuu, huyo mtoto wa mtu unayelala nae kimya kimya siku asipoamka hakuna mtu atakuelewa hapo mtaani

    Mi nakwambia ukweli kabisa Haya mapenzi haram unayofanya kila siku kwa kuwaleta watoto wa watu Geto kwako wanalala na wewe kisha alfajiri unawarejesha kwao... Ipo siku yako nakwambia! Mtoto wa watu akifia geto kwako, hakuna mtu atakuelewa hapo, we waone tu wanakuchekea na kukupa sifa... eti...
  15. BLACK MOVEMENT

    Graduate hawana ajira wako mtaani, ila wako Ok kwa sababu Simba na Yanga zinashinda mechi zao

    Ukiwafuatilia Graduate mtaani utaona kabisa walisharidhika sana na life na kikubwa kwao ni kuona Yanga na Simba zina perform well. Hawana time na kupambania feature yao. Hawana time na kuishinikiza Serikali iwapatie ajira wao kikubwa wanaibana Serikali ihakikishe Yanga na Simba zinafanya...
  16. D

    Kampuni za mikopo mtaani zina mapungufu ya kibinadam sawa lakini pia na wateja wao (wakopaji) wengi wahuni tutazame kotekote

    Kampuni za wakopeshaji pesa zilizozagaa mtaani kwa lugha ya pesa chap chap! Baadhi zinafanya vizuri na baadhi zinafanya vibaya! Ifahamike mtandao wa biashara unapoajiri vijana wengi huhitaji weledi wa juu sana kuweza kuwakumbusha Hekima ya biashara! Nitoe mfano hai! Jeshi la polisi lina...
  17. JanguKamaJangu

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kasirwa ya Rombo wanazurura tu mtaani kwa sasa

    Hii ni Shule ya Msingi Kasirwa ipo Rombo, kwa sasa asilimia kubwa ya Wanafunzi wanashinda nje ya Madarasa, wanazurura tu nje kwa kuwa madarasa yao yapo kwenye maboresho. Hivi tunajiuliza uongozi wa Shule, Wilaya na Mkoa wa Kilimanjaro ulikuwa wapi muda wote hadi madarasa yanakuwa katika hali...
  18. JEJUTz

    Siku nilipowashugulisha raia mtaani kwangu nilipokuwa mtoto

    Hii siku haitokaa niisahau abadan! Ilikuwa ni baada ya kushiba chakula changu cha mchana hapo home,huku nikifanya michezo ya hapa na pale. Ghafla nikakutana na kiberiti cha gesi nikakifuata na kukichukua. Ile zima washa zima washa ikanivutia nikaamua kwenda nacho mtaani. Kulikuwa na open...
  19. Tlaatlaah

    Ni ushauri upi muafaka kwa kijana huyu graduate wa umri wa miaka 40 mtaani?

    Maana yupo bado anaishi nyumbani kwa wazazi wake. Mwingine yupo tu amekomaa kuishi kwa shemeji yake mjini, wakati chuo kaishamaliza miaka kadhaa ilopita, hana kazi wala biashara, na kakomaa town kubanabana familia za watu. Na mambo yalivyobadilika hususani utovu wa kimaadili kama vile ulawiti...
  20. Magical power

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂

    Tupeni ufundi jameni Aya madude Yana tia aibu huku mtaani😂😂
Back
Top Bottom