Huu mtaa naupenda sana maana huwa haukosi amsha amsha.
Jirani yangu hapa ni mstaafu basi ukiamka tu kwenda kupambana huko utakuta kakaa nje ya uzio wa nyumba yake, basi lazima akusimamishe muongee ataishia kukubomu tip kwa ajili ya kwenda kwa mangi ili "aamke".
Ukishamalizana tu na mstaafu...