Huwa nikiwambia tuibadirishe gesi yetu kuwa petroli huwa mnazipita nyuzi zangu mnaona sasa bei ya petroli mtaani.
Tungezalisha petroli yetu kupitia gesi bei ya dunia isingetuathiri.
Vipo vitu ambavyo hufundishwi popote. inatakiwa utumie akili yako ya kawaida kujiongeza ili uweze ku-survive
Leo nawaletea codes za kitaa ambazo kama ukizifata zitakusaidia uishi vizuri na watu wa mtaani kwako katika mji wowote hapa tanzania.
1. Jizoeshe kusalimiana na watu wa mtaani...
Nimefanya utafiti nikagundua serekali imepiga marufuku mifuko ya plastic maafuku kama "Rambo" au "malboro" lakini kiuhalisia kama hatujatatua tatizo.
Iliyopo mtaani ambayo tunaiita "Vifungashio" ila ukweli ni plastic iliyoboreshwa. Inakua disposed kwa kiasi flan lakini haimaanishi kuwa...
Mkuu wa zamani wa wilaya ya Hai, enzi akila maisha sehemu mbalimbali katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha. Ambapo kama kawaida alikuwa anaambatana na wapambe wake na warembo. Na kama kawaida ilikuwa ni mwendo wa kula Bata bila kulipa..
bunge wa Mtama, Nape Nnauye ameisifia bajeti ya mwaka huu ambayo ni yakwanza kwa Rais Samia Suluhu akisema ni bajeti ya watu kwa kuwa imegusa maisha ya watu moja kwa moja na kwamba vyuma vilivyokaza sasa vitaachia.
Nape amesema bajeti ya Samia imekamika kila idara na ni bajeti bora sana...
Baada ya mfululizo wa kuachiwa huru kwa watu mbalimbali maarufu haswa wafanyabiashara wakubwa.
Mitaani yameibuka maswali mbona maskini walio jela hawaachiwi?
Mbona watoto wa wanyonge wanaendelea kuozea jela!
Mjumbe hauwawi nimeona niwapenyezee namna mitaa unavyochukulia hizi ishu.
Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu.
Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe.
Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi...
Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita .
VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani.
VETA cheaper ukilinganisha...
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha.
Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
Mtaani kwetu maji yamekatika week ya 2 sasa. Inasemekana lkn eti, baada ya mh rais aliyepita kuondoka kuna watu washaanza michezo ile ya zamani ya kukata maji ili wawe wanauza kwenye maloli!
Hebu tuambie kama na mtaani kwenu maji yamekatwa kwa muda mrefu. Huwezi jua labda mama ataliona kisha...
Maalim ni mwanasiasia mkongwe Mwenyezi Mungu marehemu, hajawahi kusakamwa na kauli za wanachama wake wala wapinzani wake licha ya kuwa mwanasiasa wa muda mrefu. Tuna la kujifunza hapa.
Katikati na mwishoni mwa awamu ya JPM
1: Ninashangaa kuona mtaani watu wanajenga nyumba hadi wanahamia bila kupumzika.
2: Jamaa wamefungua mahardware,maduka ya madawa, salooni kali, Bucha, Bar, carwash na nyumba za kulala wageni.
3: Vituo vya bodaboda viwili vikubwa ambavyo miaka mitatu...
Tanzania ni nchi ambayo tumependelewa na Mungu. Nchi ambayo wananchi wake ni wapole na taasisi zake ikiwemo idara ya ujasusi na vyombo vya usalama ni imara mno na ambavyo haviwezi kuruhusu mtu yeyote wa mamlaka na cheo chochote achezee hatma njema ya nchi yetu.
Ukifanya hivyo, wananchi wa...
Habari zenu ndugu zangu wa jamiiforums.
Kesho (30-03-2021) saa 4 asubuhi ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O moja huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu mtaani maisha ni magumu sana.
Tulifanya written Interview tukiwa watu 20, tumechujwa na kubaki 9 ambao kesho ndio tunapambania...
Jamaa mmoja huko SA amebadilisha kabisa maisha ya mwanamke mmoja kijana---yaani kile ambacho wazungu wanaita u-turn. Alikutana na mwanamke huyo mtaani akiwa mchafumchafu akamuomba rand 50 kwani alikuwa na njaa sana.
Badala ya kumpa hela akale akambeba na kwenda naye nyumbani akamuogesha...
Ni kawaida kwa watanzania walio wengi kuona suala la kawaida kama halijamgusa moja kwa moja. Hali hii iko hivyo kwa baadhi ya maeneo hapa nchini
Je, hali ikoje kwenye mtaa wako?
Watu wanachukua tahadhari au wanapuuzia ugonjwa?
Je, unachukua hatua yoyote kuwaelimisha zaidi?
Suala la ajira limekuwa ni kilio kwa makundi yote katika jamii hasa wenye vipato vya chini ikiwemo wenye ulemavu wa aina mbalimbali na wasio na ulemavu pindi wanapohitimu elimu zao ama ngazi ya cheti hadi shahada hasa katika utawala huu wa serikali ya awamu ya tano.
Tumesikia kauli mbalimbali...
Habari za Jumamosi
Haya mambo haya ndani ya wiki mbili hizi hatujazoea, kupishaha na magari sana sana coastal zenye waombolezaji kiasi hiki, barabarani unaweza kupishana na coastal zilizobeba miili ya wafu zaidi ya 9 kwa siku, hali hii sikuizoea kabisa.
Unaweza kujiuliza kuna ajali gani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.