mtaani

  1. Eng_Mwakibuti

    SoC01 Nilifeli Darasani, nikafaulu Mtaani

    Habari, hi ni stori ya kweli inayo nihusu Mimi mwenyewe. Nimeguswa kushea na wanajamii Forums, ili kuwatia moyo vijana na watu wengine ambao wanapambana kutoka kimaisha. Kama Mtanzania wa kawaida nilizaliwa katika familia ya kipato cha chini sana. Nikiwa mtoto wa tatu kati ya watoto sita (kila...
  2. M

    Tuliokuwa tukiiga tuliyoyaona katika Sinema za akina Bruce Lee, Chuck Norris na Rambo na Kupigwa kikweli kweli Mtaani tutambuane

    Nilikuwa napenda mno Kuiga Kujikunja kama Bruce Lee huku nikirusharusha Viteke vya hapa na pale na mkwara mwingi wa ile Sauti ya Bruce Lee ya kulia kama Paka hivi, lakini kuna Siku niliingia kwa Mtu tukiwa Wawili nakumbuka ukiachia mbali Kuadabishwa nae, ila kama Tanzania siku hiyo ilikuwa...
  3. W

    Taarifa ya utekelezaji wa sera ya uongezaji wa ukwasi mtaani kutoka benk kuu.

    Naambatanisha wala wa benki kuu wa tarehe 13.09 .2021 hapo chini
  4. May Day

    SoC01 Suala la machinga Serikali iache kujifungia na kuwaamini tu Watumishi/Wataalamu wake, iwashirikishe Wataalamu wenye elimu ya mtaani

    Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji. Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
  5. mahunduhamza

    Mwanachuo umemaliza sasa karibu mtaani

    Habari zenu wapendwa... Nimeona ni vyema saana kuzungumza na vijana ambao wamehitimu masomo yao ya vyuo vikuu Tanzania. Mtaani sio pagumu saana kama utajituma na utathubutu kwa kila wazo ambalo utahisi ni nzuri na unawez kulifanikisha(si maanishi kila wazo ni zuri). SANUKA (1) JIKUBALI...
  6. E

    IET na ERB zinatuangusha wahandisi

    Wahandisi tutoke vipi? taasisi ambazo zingekuwa zinatusaidia tupige hatua zimesinzia kabisa. Kazi yao ni kuandaa safari za kutalihi tu kwenye miradi. Mimi nilitegemea labda tusikie taasisi hizi zikipendekeza namna gani jamii inaweza kuwatumia wataalamu Mimi nilitegemea kusikia labda...
  7. Restless Hustler

    Ushauri wa bure kwa serikali juu polisi. Wanachukiwa sana mtaani

    Mara nyingi Huwa napendelea kuonekana mjinga ( being underated/ underestimated). Napendelea kujiweka muonekano usiolingana na uwezo wa akili yangu, kipato changu na elimu yangu. Wiki iliyopita nilijaza fomu la online loss report Kisha nikaenda kituo cha police kuthibitishiwa hiyo loss report...
  8. Ms Billionaire

    Ukionewa ni sahihi kushika bunduki na kuingia mtaani kuua watu?

    Niki refer na tukio la juzi la Hamza Bado hili swala haliniingii akilini. Wapo watu wanaomtetea Hamza kwa kusema alionewa. 1. What justifies murder kwa kuwa ulionewa? Haya according to the rumors kaonewa na askari wawili. Who will pay for the blood of the other two ambao hawakuhusika. Wengi mna...
  9. ndege JOHN

    Rundo la vidonge vimetupwa mtaani, naenda kuwaeleza serikali ya mtaa

    Nataka nipime uwajibikaji wa serikali. toka asubuhi nimeona kuna rundo la madawa yametupwa barabarani kabisa Jambo ambalo ni hatari madawa yenyewe yanafanana na Yale ya minyoo watoto wakiyaona watadhani ni pipi sijui ndo yame expire au vipi. Me siwezi kujitolea kuanza kuyaokota sio kazi yangu...
  10. MSAGA SUMU

    Gazeti la Uhuru larudi mtaani, watu kujipatia nakala

    Gazeti linaloongozwa na kupendwa nchini Tanzania na Afrika Mashariki hatimaye limerejea mtaani baada ya kukaa nje kidogo ya ulingo kutokana na kutoa taarifa iliyokuwa haina usahihi. Taarifa za awali zinadai katika baadhi ya vituo vya wauza magazeti katikati ya jiji, nakala ziliisha kuanzia saa...
  11. mugah di matheo

    #COVID19 Siasa za nchi yetu na wingi wa vifo mitaani

    Habari wadau wa JF Kuna vurugu za maneno zinaendelea huko Kati ya wanasiasa katiba mpya na wengine chanjo ya covid19. Tukiangalia mtaani vifo vimekuwa vingi lakini hatujui chanzo chake nini. Tunaambiwa kuwa covid19 wagonjwa wapo lakini hawafiki hata 1000 maana last time Gwajima kuongelea hilo...
  12. I

    Wekundu wa Msimbazi wamekuwa wapole mno mtaani

    Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo ulofanyika. Mbaya zaidi ni baada ya juzi wachezaji wao wawili wawategemeao saaana kuthibitika kuondoka ndio...
  13. Richard

    Demokrasia ya unapoishi (Local Democracy) huanzia mtaani, kijijini mjini, wilayani hadi mijini kufikia Demokrasia kamili

    Pamoja na mambo mengine yote siasa ni majadiliano, au mgogoro wa hoja baina ya watu, vyama katika kutafuta kutwa madaraka au mamlaka. Mtazamo wa mwanafilosofia aitwae Aristotle kuhusu siasa anamfananisha mwanasiasa na fundi kwamba mwanasiasa ni mtu alie na elimu wezeshi (practical knowledge) na...
  14. N

    Ufugaji wa Sungura

    Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini napoteza.
  15. Robert Heriel Mtibeli

    Huku mtaani Rais Samia hakubaliki kivile, Upinzani wangekuwa na Mikakati 2025 wangeichukua nchi

    Siku zote Taikon ni mtu asiye na unafiki, mapema ukweli mara nyingi. Hivyo ndivyo ninavyojitambulisha. Mimi sio Mfuasi wala mwanachama wa Chama chochote au mtu yeyote Yule. Kumaanisha nipo huru kusema ukweli. Wazazi wangu, ndugu, jamaa na marafiki zangu karibu wote ni CCM. Kipindi cha JPM...
  16. D

    Serikali itazame ujenzi holela wa vibanda mitaani

    Naomba serikali yetu ya mama Samia ifanye juu chini kuondoa vibanda barabarani. Mji unazidi kuharibika naona wameanza hapo Ilala mtaa wa Uhuru ukuta wa Hospitali ya Amana kuweka vibanda na meza za kudumu.
  17. Nyani Ngabu

    Hela zimesharudi mtaani?

    Moja ya malalamiko ya kipumbavu kabisa yaliyokuwepo enzi za utawala wa Rais Magufuli ni kuwa eti hela hazikuwepo mtaani. Sijui ni lini hasa Tanzania hii ambapo hela zilikuwepo bwerere mtaani! Kwa sababu, Tanzania ni nchi maskini. Ni nchi ya ulimwengu wa tatu. Vipato vya wananchi wake ni vya...
  18. M

    Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

    Salamu zimfikie ndugu Samia Huku mtaani ndugu rais kuna malalamiko, wananchi wanasema hawakusomi, hawakuelewi, na nitakueleza nilichosikia huku mtaani! 1. Suala la tozo za miamala Wananchi wanakusikilizia tu waone utafanya nini, lakini wameanza kuona dalili za wewe kupiga konakona. Kuna kila...
  19. sky soldier

    Umewahi kupigwa roba mtaani? Weka kisa chako

    Nakumbuka nikiwa Arusha nasoma chuo cha uhasibu miaka ya 2013 kama sijakosea, kuna siku nlishuka kituo cha SDA pale Njiro ili niende ghetto. Basi nimetembea kama mita kumi hivi njia nzima nipo peke yangu mara nasikia kuna mtu kama anatembeaa ila kwa vishindo kidogo sana, kucheki nyuma kuna...
  20. Theb

    SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Habari zenu wana Jamii Forums, hususani jukwaa hili la "Stories of Change". Ni tumaini langu wote ni wazima. Andiko hili litaangazia maisha ya vijana wahitimu wa vyuo waliotegemea kuajiriwa na hali imekua tofauti na matarajio yao. Mwanzo, nitaelezea maisha ya mtaani, changamoto zinazo wakabili...
Back
Top Bottom