Ulinzi shirikishi ni jambo zuri sana!
Maeneo ya vijijini limeonyesha kufaulu kwa asilimia kubwa kutokana na watu wake kujitolea au kupangwa kwa zamu!
Tatizo kubwa la ulinzi shirikishi mjini una harufu ya upigaji!
Kuna wakati huwa nashawishika kuamini huenda PANYA ROAD ni PROJECT?
Kwasababu...
Kwa maeneo niliyopo, kusemaukweli awamu iliyopita kulikuwa na utulivu kwa kiasi kikubwa. Vijana wengi walihofia kuwekwa ndani na hivyo kujiepusha na matukio ya uhalifu.
Wengi wao walijishughulisha kwa bidii kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile biashara ndogondogo (machinga) ufundi na kazi...
Nashangaa sana kwakweli Rais alifanya mistake kubwa sana kutamka hadharani kua vitu vitapanda bei, hii kauli yake inazidi kutugharimu sana, mamlaka za serikali ziko kimya watu wanapandisha bei hovyo, tukianza na swala la nauli, nauli baadhi ya sehemu zimepanda 100% wakati mafuta...
Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
Siku hizi mtaani kuna vilio cha maumivu makubwa ya watu kulalamikia utendaji usioridhisha wa watumishi wa Umma. Wengine wanalalamika uzembe ,rushwa, uonevu na kutosikilizwa kukishamiri katika ofisi za Umma.
"Ukienda ofisi ya Umma bila kutoa chochote yawezekana usipate huduma inayoridhisha na...
SAMIA CUP SAKA VIPAJI MTAANI KWAKO
Tarehe 24/3/2022, DODOMA
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Mchengerwa, akiwa anazungumza katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ameelezea dhamira yake ya kuleta mageuzi makubwa katika Tasnia za Utamaduni, Sanaa na Michezo...
Hivi karibuni kulikuwa na picha zenye maneno kadhaa zilikuwa zikisambaa mitandaoni zikielezea kuhusu masuala mbalimbali ya sheria.
Kuna moja hii nikaiona ikisambaa kwa kasi ikiwa na kichwa cha habari:
Kwa Mujibu wa Sheria ya Ndoa Tanzania
KUFANYA KAZI ZA NDANI NYUMBANI NI JUKUMU LA MWANAUME...
Usiku huu nimekuja kumtembelea rafiki yangu huku Msumi. Namkuta Yuko kwenye kikao Cha ulinzi kilichoitishwa kwa dharura jioni hii.
Kumetokea wizi wa majumbani usiku kwa siku tatu mfululizo.
Serikali na Jeshi la polisi chukueni hatua.
Familia zaidi ya saba zimeibiwa majumbani usiku ndani ya...
Machi 7, 2022 niliweka uzi hapa kuhusu watoto kuhusika katika biashara ya kuombaomba mitaani hasa kwenye miji mikubwa.
Justine Kaleb ambaye ni Wakili wa Kujitegemea na Mwandishi wa Vitabu vya Sheria, kutoka Kampuni ya Mawakili ya Moriah Law Chambers alifafanua kwa undani kuhusu hatua...
Lugha yoyote hunakshiwa kwa maneno ya kudumu na yale ya muda mfupi. Lugha ya Kiswahili imekuwa na bahati ya kupata maneno mengi ya misimu na baada ya muda hutokomea kusiko julikana.
Kupitia uzi huu tukumbushane maneno mbalimbali ambayo yanapotea kwa kasi hivi sasa.
Kula jiwe- kukaa kimya...
Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira?
Labda niunganishe na wale...
Zlatan Ibrahimovic ameonekana mitaa ya Jiji la Milan akiwa kwenye gari lake aina ya Ferrari SF90 Stradale, ambalo thamani yake inatajwa kuwa ni £400,000.
Kiwango hicho cha fedha kwa thamani ya fedha za Tanzania ni zaidi ya Sh bilioni 1.2.
Staa huyo wa AC Milan alijinunulia gari hilo kama...
Habari za wakati wakuu. Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa.
Nikienda kwenye mada. Ni maoni yangu kwamba kutokana na ongezeko kubwa la walimu mtaani. Naona iko haja kwa serikali na taasisi za elimu ya juu kupunguza idadi ya wanaodahiliwa kwenda kusomea ualimu.
Kwamba idadi ipunguzwe, mfano...
UCHAMBUZI: KUNA DIV 1 YA DARASANI Vs DIV 1 YA MTAANI (AKILI HALISI).
Anaandika Robert Heriel.
Matokeo yametoka, nawapongeza waliofaulu vizuri, lakini pia Kwa waliofeli nawapa moyo kuwa wasikate tamaa kwani mtanange bado haujaisha, ndio Kwanza vita ndio imeanza.
Kwa tuliomaliza nyuma kidogo...
Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi,
mfumuko wa bei huu...
Mtaani kwangu kuna kijana yupo hapa kwa miezi miwili, yupo kwenye rika la miaka 24 hivi, ana frem anauza mahitaji ya nyumbani na vilevi, lakini biashara yake kuu yenye wateja wengi ni Bangi ambayo wanunuzi huvuta hapo hapo ama maeneo ya karibu, eneo sio la barabarani, huwa kuna watu wachche...
Kuna hawa watu ambao wanaitwa jina la utani "BIG" huwa kuna kaheshima fulani wanakuwa nako kwenye jamii.
Mfano nimepita mitaa fulani ya survey hapo karibu na Mlimani City, kuna jamaa fulani wanamuita BIG machapati. inasemekana huyu jamaa ndiye bingwa wa kutengeneza chapati tamu jiji zima la Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.