mtaani

  1. Vladivostok

    Mtaani hali ngumu hata kazi za kujitolea hakuna wap tunaekea?

    Nimetoka ofisi moja asubuh kutafuta kazi ya kujitolea wameniambia hakuna imagine kazi ya kufanya bure hakuna vitu bei juu wap tunaelekea hali ni ngumu mno hela haina thaman kabisa soon tutaelewana .
  2. 6 Pack

    Mzee Omary Muhando Shangali, miaka 102, Shujaa aliepigana vita ya pili ya dunia na bado anadunda mtaani

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa wale mliofatilia kipindi cha mashujaa wetu huko Dodoma, bila shaka mmemuona mzee huyu mwenye umri wa miaka 102, akiwa anadunda kwa ukakamavu wa hali ya juu tena kwa kujiamini. Mzee huyu...
  3. A

    Ujumbe wangu kwa vijana wasio na kazi ambao wanashinda tu mtaani na hawajui wafanye nini humu duniani

    (1) Ewe kijana unapaswa kuwa na shauku ya kuacha kutanga tanga. Uwe na nia ya kutulia kwenye kazi moja uliyotumwa kuifanya humu Duniani. (2) Hivyo tenga muda wa kutosha wa kusoma Kitabu chenye Maneno ya kweli,Mazuri,masafi, muhimu ambacho kitakuwa kina kukumbusha mambo muhimu ya wewe kutenda...
  4. aise

    Waislamu wametufanyia uhuni mtaani kwetu kwenye hii sikukuu yao

    Inakuwaje taasisi kubwa ya kidini kama hii, watangaze kuwa watagawa nyama bure kwenye sikukuu yao ya kuchinja, halafu mwisho wa siku wagawane waislamu wenyewe huku wasiokuwa waislamu wakinyimwa? Kulikuwa na ulazima gani wao kusema kuwa watagawa nyama kwa watu wote bure? Huo si uhuni?
  5. JanguKamaJangu

    Maandamano makubwa yaendelea Libya, vijana waingia mtaani

    Kuongezeka kwa bei ya bidhaa na kuendelea kwa migogoro ya kisiasa imetajwa kuwa sababu ya wakazi wa Libya hasa vijana kudai kuwa wanaendelea na maandamano katika Mji Mkuu wa Tripoli hata baada ya kuandamana usiku kucha. Maandamano ya hivi karibuni yameshuhudia matairi yakichomwa moto na...
  6. Waibi fredy

    Badala ya Vyeti kutofanya vizuri mtaani nimeanza na hii business (Party and rental Items )

    Habari ndugu zangu. Badala kukaa kipindi kirefu benchi na pirika kutafuta ajira Nimekuja na hii Idea (Party and rental Items ) maswala ya upambaji .Hii business nzuri sana na yenye faida nzuri kwa mwenye kukodisha vitu na yule mpambaji . Tuanze na mkodishaji vitu - huyu mtu mtaji wake ni...
  7. DR HAYA LAND

    Uliza swali lolote kuhusu Maisha ya mtaani

    Karibuni muulize maswali namna gani kwa kijana was umri wa Kuanzia 18s anaweza kuishi mtaani bila kumtegemea mtu na kuweza kulipa bills zake , Kama Kodi ya nyumba au chumba , umeme maji na nk na kuweza kuchoma nyama weekend . Karibuni ...binafsi Nina 24 yrs ila nimeingia mtaani huu mwaka 7...
  8. R

    Umasikini wa Tanzania ni matokeo ya mfumo mbovu wa Elimu yetu, kujaza wenye Degree mtaani ni ujinga mkubwa sana

    Nchi yetu ni Maskini sana na wananchi wake ni maskini sana ,kiasi kwamba bado kuna wanakufaa kwa kukosa Matibabu ,Njaa na kukosa malazi. Najiuliza sana Hawa Wasomi waliopo serikalini na kwenye Uongozi wanatudia kweli? Sababu kubwa ikiwa ni Siasa ndani ya mfumo Elimu .Nchi yetu ina Mali asili...
  9. Google Diggers

    Ushauri: Serikali iweke aina rangi za kupaka kwenye nyumba maana naona rangi za ajabu mtaani

    Rangi aina nne au Tano zitasaidia kuepuka maajabi ya rangi za ajabu. Lkn lazima Kuna rangi za Kupiga marufiku kitumia. Kwa mfano. Black Lazima nyumba zitapendeza. Angalia nyumba za bongo zingependeza Sana kama wangepewa option.
  10. JanguKamaJangu

    Hukumu ya Lengai Ole Sabaya yaahirishwa hadi Juni 10, 2022

    Hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita inatarajiwa kusomwa leo Mei 31, 2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Kesi hiyo imeendeshwa tangu ilipoanza Julai, 2021. Hukumu hiyo inatarajiwa kuamua hatima ya kiongozi...
  11. JanguKamaJangu

    Dar: Mtoto aliyepotea kwao asema alifanywa ombaomba mtaani

    Mtoto Patrick Dickson ambaye alipotea kwao kwa siku kadhaa mwanzoni mwa mwezi huu Mei 2022 amepatikana na kusimulia kuwa alikuwa akitumikishwa katika kazi ya kuombaomba mtaani pamoja na kuvutishwa sigara. Mtoto huyo ambaye alipatikana Mei 23, 2022 amesema: “Siku ya kupotea kwangu nilitoka...
  12. Ego is the Enemy

    Vijana waliohitimu Kidato cha Sita ni muda sahihi kukaribishwa mtaani

    Habari wanajukwaa. Naona tumeomgezeka kundi lingine la watu wazima mtaani wameingia. Wakaribishwe ni wageni huku Mana walizoea shuleni kubanwa na nyumbani. Wakishaingia chuoni waweza mpangia nyumba nzima ukalala naye mpaka asubuhi Mana before alikuwa anaonja bata anaogopa kuwa atachelewa...
  13. I

    Mitaala ya shule ifundishe maisha halisi Ili kumfanya mwanafunzi kuyamudu maisha pindi arudipo mtaani

    Ni wazo langu kwamba Serikali iangalie mitaala yetu Ili kuwafundisha WATOTO maisha halisi Ili warudipo mtaani wasihangaike kutafuta ajira. Kwa mfano masomo ambayo yamechukua nafasi ya SoMo la sayansikimu ya miaka ya tisini kwa sasa ni butu kabisa kwa sababu WATOTO hawajui hata kufua na kupasi...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kwani kimetokea nini huko Chamazi? Mtaani mashabiki wa Simba wanatembea na mawe.

    InashangaZa mashabiki wa timu kubwa kutembea na mawe mifukoni, mmekumbwa na nini?
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Taja kitu kilichopanda bei mtaani kwenu, Mimi nitaanza...

    Habari! Huku mtaani kwetu Chanika unga wa sembe unapanda bei kwa kasi. Kila nikienda mashine kununua unga siku hizi nakutana na bei mpya. Vitu vingi vilivyouzwa jero sasa ni mia 6 na vile vya buku sasa buku na mia 2. Leo nikiwa kazini mjini nikapitia cafe ya karibu nakuta vitafunwa vimepanda...
  16. Nyuki Mdogo

    Vijana mnaishije huko mtaani wakati hamna ajira wala hamjajiajiri?

    Jamani hali ya ajira si shwari, kuna watu wamesugua benchi miaka zaidi ya mitatu achilia mbali wale junior jobless, huku hawana ajira wala hawajajiajiri😓😓😓 Inasikitisha sana hii hali ndani ya nchi yetu. Hebu tujuzane, ni mbinu gani mnaitumia kuendelea ku-survive?
  17. Ibrahim daud

    Eti hapa mtaani Hawa jamaa hawana kazi kila siku wanalewa

    Kuna wasela hapa mtaani kila siku yani wanakunywa pombe kila siku Ipoje hii
  18. Hivi punde

    Maelfu ya 'Jobless Graduates' wanaishije mtaani miaka yote?

    Habarini ndugu zangu. Ukiwa Chuo unawezeshwa na wazazi au Bodi ya Mikopo kwa ajili ya malazi, chakula, mavazi na mengineyo mengi, na hivyo kupata hadhi/status ya kuonekana kweli kijana wa Kitanzania.Kuna vijana hujibana na kununua mpaka simu, vitu vidogo vya ndani na mwishowe wengine hupata...
  19. Cicadulina

    Gazeti la Tanzania Daima rasmi mtaani leo

  20. JanguKamaJangu

    Mtoto wa miaka minne aiba gari la mama yake aingia nalo mtaani

    Mtoto mwenye umri wa miaka minne amenusurika kuumia baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha mtaani bila ruhusa kutoka kwa wazazi wake Nchini Uholanzi. Polisi wa Kituo cha Utrecht wamesema mtoto huyo akikwangua gari hilo katika maeneo mawili ya kuegesha magari baada ya hapo akaondoka...
Back
Top Bottom