mtaani

  1. BARD AI

    Tetesi: Kuna Homa za Kubana Kifua, Kichwa na Mafua mtaani zinapiga Watu kimya kimya

    Wakuu, sijui kama mmegundua, kuna kaupepo ka Homa za ajabu ajabu kanaendelea mitaani na watu wanaumwa sio kidogo wengine wanadai hadi kupoteza ndugu wanaowajua kutokana na homa hizi lakini cha ajabu hakuna taarifa rasmi ya Serikali hata kutahadharisha tu. Aisee tuchukue tahadhari wenyewe kabla...
  2. W

    Ongezeko la misambwanda mtaani kunavyonifanya nizidi kuuogopa na kuuchukia uzee!

    Kila unakopita, watoto lainii na wazuriiii wanaongezeka kila siku na wanazidiana tu katika kuiachia misambwanda yao ikitetema.....ajabu kila mwanamke analo sambandwa la haja siku hizi. Nina uhakika the case is the same kwa Kapeace wetu humu. Hali ipo hivyo kila mkoa, ila Dar ndo...
  3. JituMirabaMinne

    TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  4. YE67NBE

    Ongezeko la V8 mtaani na bado watu wanaamini masikini ni wengi Tanzania?

    Wakuu za sasa hivi hapo, Ni siku nyingine tena kutoka kwa bwana nikasema ngoja niwasabahi na kutoa baadhi ya mawazo niliyonayo. Kuhusu msemo wa Tanzania masikini ni wengi, personally napingana na huu msemo kabisa. Maana huwezi sema masikini ni wengi wakati haya ma V8 yamejaa barabarani kama...
  5. NetMaster

    Nini siri ya nguo na viatu kuwa bei rahisi na ubora wa juu ukiwavizia wale wanaouza kwa kuzitembeza mtaani ?

    Niliwahi pata kiatu kigumu sana, ni kizuri yani tangu 2020 mpaka sasa kinadunda poa tu, Ajabu ni kwamba hata sikuomba kupunguziwa bei maana kilikuwa elf 15 tu, laiti ningeenda dukani nisingeshangaa ni laki 2 na mtumbani kiwe laki. Mwaka jana nilinunua raba hizi za vic nabaki nashangaa ni vipi...
  6. Mwamuzi wa Tanzania

    Kitendo cha Mahakama zetu kushughulikia kesi za ushoga na kuwaacha mafisadi ya matrilioni mtaani hiyo ni failure ya nchi kwa 100%

    Kila mwaka tunasomewa report na CAG , tunajionea jinsi watu walnavyogawanya mabilioni ya umma kinyume na sheria. Hatuoni mafisadi wakiwa kwenye pingu. Sijawahi kusikia kuwa kuna fisadi kafungwa miaka 30 jela tangu nipate akili. Ushoga ni tatizo ila si kubwa zaidi ya tatizo la ufisadi na wizi wa...
  7. Russia is not your enemy

    JF kama mtaani kuna mitu ina roho za korosho

    Yaani ndio tungelikuwa na tunamtaa wetu wenye roho Mbaya utawaona tu. Nimewauliza pasaka lini hadi Leo hawajanijibu, eti nqkutanq nayo hii hii lfaji r. Wengine ttumekesha wote jf usiku wa manane. Wakina Kalamu Yangu Window7 Galamtogela Extrovert Mashimba Son Massimba Jr
  8. Ndondocha mkuu

    Hali halisi ya maisha huku mtaani

    Habari ya jion wana JF, Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates. Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
  9. Mohammed wa 5

    Isingekuwa uwezo wa Mungu leo ningekuwa marehemu na mtaani kungekuwa na misiba na majeruhi wengi siku ile

    Tulikuwa tunaishi karibu na barabara kubwa ya lami, upande wa pili wa Ile barabara kulikuwa na kibanda flani Cha abiria wanakaa hapo kusubiria magari(checkpoint) ni Cha muda mrefu kilikuwa hakitumiki, Vijana tuliokuwa tunaishi maeneo Yale tulifanya Kama kijiwe Cha story,tunacheza drafti nk.(sio...
  10. DodomaTZ

    DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  11. BARD AI

    Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  12. DR HAYA LAND

    Mchele umeshuka Bei, nipo hapa mtaani naona mchele mzuri bei 2600

    Nimenunua mchele mzuri hapa Temeke 2600 ndio naenda kupika pia kwa pembeni nimeona Mwingine sh 2500 mzuri na wenyewe pia. Hakika Jambo hili ni Jambo Jema Sana kiukweli. Update Mchele ni mtamu Sana ndo napakua Muda huu
  13. M

    Hizi ndizo degree ambazo zimesambaa mtaani

    Degree ambazo zimesambaa mtaani na wengine WANAFUNGUA MADUKA NA KUJIAJIRI KWA PAMOJA TUNAITA KUPAMBANA: DEGREE ZENYEWE NI HIZI: Ualimu, Human Resource Economics Law Procurement and supply, Secretary Banking and Finance, Community Development, Public Relation, Business Administration, Record...
  14. G

    Sitaki kukumbuka matapeli wa kanyaboya. Niliwapa hadi simu yangu ili nikomboe pesa niliyopewa kununua bia za baba, mshua alinitembezea kipigo kikali

    2008 hiyo Mshua alikuwa anapiga kazi zake za wiki lakini ikifika Ijumaa mida ya saa mbili flani hivi anapiga vyombo vyake kistaarabu kabisa hana kelele wala fujo na ni ndani sio bar. Nilipewa takribani elf 10 kuchukua lvinywaji alivyoniagiza, enzi hizo ni pesa kubwa hii. Nilipita sehemu...
  15. LA7

    Wanajeshi kupiga watu mtaani inakuwaje?

    Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk. Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...
  16. Kwitogelo

    Kwanini noti ya elfu moja au maarufu kama "buku" inatamba sana mtaani siku hizi?

    Habari za leo wana JF? Ni kama miezi mitatu hivi nimeanza kuona hizi noti za elfu moja zikitamba sana mtaani, yaani zimekuwa nyingi unaeza kudhani kuna mahali ziliwekwa sasa zimeachiwa. Wataalam wa masuala ya uchumi tunaomba ufafanuzi hapa.
  17. NetMaster

    2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  18. Teko Modise

    Mtaani kwenu mnaiitaje hii?

    Kwetu wanaiita "Kisungura" aloo vijana wanakuwa wazee kabla ya wakati wao.
  19. mdukuzi

    Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

    Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi. Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku. Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live...
  20. Teko Modise

    Mtaani kwako soda wanauza shilingi ngapi?

    Zile za chupa ya glasi ambazo sio take away kwasasa ni sh ngapi? Huku kwetu baadhi ya maduka wanauza 800, je ndio anaupiga mwingi?
Back
Top Bottom