Hivi karibuni mtaani kumekuwa na uhaba wa pesa za sarafu kwa maana hamsini, mia, mia mbili, na mia tano.
Imefikia hatua makonda wa daladala wanapata shida ya kupata chenchi za kuwarudishia wateja kwa sababu ya hii kadhia.
Ukienda dukani na elfu kumi, unaweza unaweza usihudumiwe kwa sababu ya...