Kampeni kama Kampeni, baada ya kuona mabango nchi nzima hayana impact naona kahamia kwenye boda boda Sasa.
CCM wapo kwenye "Panic Mode" naona maji ya moto sana! Anyway mfadhili wa bodaboda anafahamika tu, yeye atalipwaje na atalipwa na nani Kwa "fadhila" hizo ndio swali la msingi Kwa Sasa.