'Wiki ijayo, Kenya itazindua ujenzi wa mtambo mkuu wa kusafisha mafuta ya petroli, dizeli, ya ndege nk huko Lamu, utakaosafisha mapipa 700,000 kwa siku. Huu utakuwa mtambo wa pili mkubwa zaidi barani kote Afrika
Rais wa Kenya Samuel Samoei Ruto alitangaza hayo kwenye mimbari ya Umoja wa Mataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.