mtandao

  1. TIGO badilikeni, kifurushi kimebadilishwa kwenda salio wakati sidaiwi

    Inasikitisha kuleta humu lakin naona imekuwa kama mchezo unaojiriudia. Ndugu zangu wa tigo haya mnayotufanyia hayapendezi. Binafsi n mteja wenu wa siku nyingi miaka mingi. Hiki ndicho kinaendelea kuntokea mara ya nne leo. Ninaponujua vifurushi vya internet mnaaniandikia kifurushi chako...
  2. Usalama wa Kompyuta Yako ni Muhimu Sana

    Je, umewahi kupata mshtuko baada ya virusi kushambulia kompyuta yako? 😨 Hali kama: 🖼️ Kupoteza picha zenye kumbukumbu zisizochukua nafasi. 📁 Kufuta kazi na nyaraka muhimu zisizorudishika. 💻 Kusababisha kompyuta yako kufanya kazi polepole au kutofanya kazi kabisa. Virusi ni adui wa kimya ambaye...
  3. T

    Simu Nokia haisomi mtandao

    Salama mafundi simu. Nokia yangu kama ilivyo kwenye picha,haisomi laini yoyote.
  4. Hivi hili tatizo la mtandao kukata kabisa la voda nalipata mimi pekee au ni kote?

    Toka mwezi uliopita na hadi huu nimekua napata tatizo la mtandao wa voda upande wa inteneti kukata kabisa au kuwa na low speed siku nzima. 4g ya voda inazidiwa na 3g ya halotel. Je hili tatizo ni kwangu binafsi? Ama na wengine mnalipata? Nauliza hivo sababu nilishwai piga simu huduma kwa wateja...
  5. Mtandao wa Twitter x uko down

    Mtandao wa Twitter x upo down picha azifunguki na kurepost imegoma ukilike inakataa. Post hazionekani imekaa saa 1 bila kufanya kazi sasa hivi imerudi na inafanya kazi kama kawaida tatizo limeisha. 𝕏 is back up & alive
  6. TANESCO kuna shida gani kwenye mfumo wa LUKU?

    Habari wanajamvi, Leo tangu saa moja asubuhi najaribu kununua umeme kwa simu inashindikana, baada ya kujaribu mara kadhaa bila mafanikio kwa kutumia Vodacom, nikasema labda Voda wanazingua network. Nikaopt kununua kwa Tigo, still imeshindikana. Nimepiga simu huduma kwa wateja Tigo wamenambia...
  7. Mtandao wa vodacom limebaki jina sasa sio kwa usumbufu wa network

    Sahizi vodacom yamekuwa kama mazoe wanafanya watakavo internet yao imekuwa chini karibia kila siku leo ndo tabu zaidi halafu badae ndo itakuja meseji umemaliza MB zako wakati hata ulichofanya hakipo jana mpesa imesumbua sana
  8. N

    Msaada kufanya mtandao wa simu upatikane Vodacom

    Habari wakuu Mimi simu yangu natumia mtandao wa vodacom nikipigiwa wanasema namba imefungiwa kwa muda ila mimi kupiga napiga. Msaada wakuu ili niwe hewani.
  9. D

    Wale Matapeli wa "ile pesa tuma kwenye namba hii" Wanakula na baadhi ya wahudumu wa mitandao ya simu

    Amini nawaambieni! Wale matapeli wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanapata taarifa kutoka kwa baadhi watoa huduma ya simu wasiokuwa waaminifu! Ukitaka kujua hilo! "Ongea dili lolote na mtu kwa simu mufanye kama mnapatana na kuelekezana kwamba akutumie" Baada ya kumaliza mazungumzo utashangaa...
  10. Ruvuma: Polisi Kata wanolewa juu ya uandaaji na utumaji wa Taarifa za Wahalifu na uhalifu kwa njia ya Mtandao

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Kamisheni ya Polisi Jamii, Novemba 15, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Saccos uliopo Kata ya Majengo, Wilaya ya Songea Mkoa wa Ruvuma limeendesha mafunzo ya kuwajengea uwezo Polisi Kata namna ya uandaaji na utumaji wa taarifa za wahalifu na uhalifu Kwa kutumia...
  11. R

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali

    Zanzibar: Wakamatwa wakiendesha mtandao wa kuingilia watoto wa kiume, kurekodi na kufanya udalali. "Kuhusu ule mtandao nimejua kupitia walewale ambao wamo kwenye mtandao na kuanza kuwakamata watuhumiwa. Simu zao ndio zikawa zinatuonesha nini kipo na wao wenyewe wakawa wanatueleza nani dalali...
  12. Alichonijibu huyu tapeli wa mtandao kimenifanya nitafakari mno juu ya Taifa langu Tanzania

    Habari, Leo asubuhi nilipokea ujumbe kwa namba ngeni ukisema "Mbona siku zinakwenda upo kimya" Mwisho kajitambulisha kuwa ni mwenye nyumba. Nikajua tu ni tapeli wa mtandaoni anajaribu bahati huenda akatumiwa pesa na mmoja wa wapangaji wanaodaiwa na wenye nyumba. Nikampigia akapokea simu kwa...
  13. T

    Geita: Mawasiliano kwa mtandao wa tiGO ni changamoto

    Nimekuwa mtumiaji wa huu mtandao kwa zaidi ya miaka 18 (nikibadirisha chip mara moja tu kuendana na mahitaji ya mabadiriko ya teknolojia) sasa enzi hizo buzzy ni bomba na ile longa longa ukikesha huku ukihangaika kupata laini… enzi hizo mabibo hostel vijana usiku ndo ulikuwa muda wa...
  14. Unachukua tahadhari gani za kiusalama unapotumia Taksi Mtandao (Uber, Bolt n.k)?

    Tukio la kusikitisha la kifo cha Catherine Serou, mwanamke Mamrekani, linatufundisha umuhimu wa kuchukua tahadhari zinapohusiana na usalama wako unapotumia huduma hizi. Kifo cha Catherine Serou kilitokea baada ya kupanda gari la mtu asiyejulikana, akiwa na imani kuwa ni dereva wa Uber. Usalama...
  15. Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  16. Waliojipatia Milioni 280 kwa njia ya Mtandao watozwa Faini ya Laki Tano

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, imewahukumu Amiry Luwiso na Ashirafu Awadh waliokuwa wakikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo ya kuongoza genge la uhalifu kwa njia ya mtandao na kujipatia zaidi ya Sh milioni 280 kwenda jela miezi sita au kulipa faini ya Sh 500,000 kila mmoja baada...
  17. SOFTWARE Biashara ya Mtandao Inauzwa-Online Business for sale

    Nature of Business: Ecommerce/Online,Softwares/System/IT Nature of Products: Webhosting Services/CRM and ERP Systems Annual Revenue Potential:5,000,000-25,000,000 What you Get: Training and Products Orientation Full website with products and Emails Full Marketing Support(Branding and Promotion)...
  18. Baada ya Senegal kuizuia TikTok, Mtandao huo waenda kujitetea kwa kueleza sera zake na namna ya inavyozuia maudhui yasiyofaa

    TikTok kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeendesha Mkutano wa kuelezea sera zake ikiwa ni miezi michache tangu Mtandao huo wa Kijamii uzuiwe nchini humo Mkutano huo uliudhuriwa na Wawakilishi kutoka vitengo mbalimbali kama Vyombo vya Kutekeleza Sheria, Kitengo cha Usalama...
  19. Simba na Yanga ndio vinara wa kufuatiliwa mitandaoni kulingana na mtandao wa X

    Baada ya tu kupangwa Kwa makundi ya CAF CL kuna kitu Cha kushangaza kulitokea katika matandao wa X Ukiingia katika ukurasa rasimi wa CAF wa mtandao wa X,katika makundi yote yaliyopostiwa,ni makundi mawili tu yanayoshiriki klabu bingwaa Afrika ndiyo yaliyoongoza Kwa kutoa namba kubwa ya online...
  20. Yaliyojiri miaka 10 ya Mkutano wa Uhuru wa Mtandao Barani Afrika, Septemba 29, 2023

    https://www.youtube.com/watch?v=t1t5uPkjYIw Mkutano wa Uhuru wa Mtandao wa Afrika mwaka 2023 (Forum for Internet Freedom in Africa 2023 – FIFAfrica23) unaoashiria muongo mmoja wa mkusanyiko mkubwa zaidi kuhusu uhuru wa mtandao barani Afrika, unaendelea leo tarehe 29 Septemba ikiwa ni siku ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…