Wanajukwaa kuna mtindo wa mtandao wa TIGO kukata/kutwaa balance za wateja bila maelezo.
Ukiingiza vocha kwenye laini yako na ukachelewa kuunga kifirushi, bila maelezo utakatwa hela yako mpakà inaisha.
Niliwahi kuongea na huduma kwa wateja, mara wanasema sijui umejiunga na matangazo Gani...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesisitiza matumizi ya Serikali Mtandao katika kudhibiti vitendo vya uvunjifu wa Maadili katika Utumishi wa Umma ambavyo vinaleta malalamiko Serikalini.
Mhe. Simbachawene amesema hayo leo...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Aisee katika siku ambazo mimi siwezi kuzisahau katika maisha yangu, basi leo ni moja wapo ya siku hizo.
Mr Dudumizi nilianza darasa langu la kwanza katika shule moja iliyopo Mburahati jijini Dar es salaam. Shule hiyo kama zilivyo au zilivyokuwa shule nyingi za Dar...
Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania.
Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
Katika maisha yetu ya kila siku, mawasiliano hutusaidia kujenga uhusiano kwa kuturuhusu kushiriki uzoefu wetu, na mahitaji yetu, na hutusaidia kuungana na wengine. Ni kiini cha maisha, huturuhusu kuelezea hisia, kupitisha habari na kubadilishana mawazo. Sote tunahitaji kuwasiliana.
Hata hivyo...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
Habari ndugu zangu, mimi ni dereva wa tax mtandao natafuta gari ya mkataba au hesabu kwaajili ya kazi za abiria kupitia application za uber, bolt, indrive na nyinginezo.
Kwa mawasiliano 0786168340
Nashauri vyama vya siasa kuwa na ubunifu wa kuwa na website ambapo mtu kupitia hiyo aweza kujiunga na chama cha siasa atakacho, na kupata Kadi ya Kimtandao.
Nina kifurushi cha Tigo kwenye simu. Pia hutumia hicho kwenye kompyuta.
Ajabu siwezi kufungua internet kwa kifurushi cha tigo. Ila youtube na instagram zinafanya kazi vizuri kabisa.
Nikitaka kuingia kwenye websites kama hivi JF lazima nitumie kifurushi cha voda. Shida nini?
TARURA KUONDOA VIKWANZO MTANDAO WA BARABARA ZA WILAYA
Wakala wa barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) umesema maeneo ya kipaumbele kwa mwaka wa fedha 2023/24 ni Kuondoa vikwazo kwenye mtandao wa barabara za Wilaya ili angalau ziweze kupitika misimu yote.
Hayo yamesemwa na mtendaji Mkuu...
Salaam!
Naomba mwenye ufahamu anijuze mtandao ulio kama JamiiForums katika ngazi ya Kimataifa, usihusishe Facebook, Twitter, na Instagram.
Ninapendelea forums zenye mijadala fikirishi, yaani, yenye mada zinazojenga ufahamu mzuri.
Asante.
Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi.
Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali.
Nimeshindwa kupatiwa huduma.
Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa.
Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema
Naambiwa...
Natafuta mtandao wa simu wenye upload na download latecy ndogo.
Kwenye local server uwe 80 ms na portland OR server (Century Link) iwe chini ya 250ms.
Chief-Mkwawa
Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'.
Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
Kwenye vita kuna mengi sana, yaani mtandao wa wanawake ambao kazi yao ilikua kutuma taarifa Urusi.....
Ukraine claimed to have dismantled an all-female spy network operating in the Donetsk region, which allegedly had been leaking information to Russia’s intelligence services and Wagner Group...
Habari!
Naitwa Ashraf, nina miaka 25, Elimu yangu ni Kidato cha 4, nimesoma VIP pale NIT. natafuta gari ya kufanyia kazi (Tax Mtandao). Nipo tayari kwa mkataba au hesabu. Nina uzoefu kama Dereva pamoja na uaminifu wa hali juu.
Nina Leseni hai, nimesoma VIP na nina kitambulisho cha taifa (NIDA)...
Mamlaka ya Mawasiliano ya Kenya (CA) na Ofisi ya Kamishna wa Ulinzi wa Data (ODPC) wameelezea kutoridhishwa kwao kuhusu mradi wa Sarafu Mtandao "Crypto" unaoenezwa na mtandao wa Worldcoin.
Katika taarifa ya pamoja iliyotolewa leo Agosti 2, 2023 na Taasisi mbili za Umma, zimeangazia wasiwasi wa...
Mtandao umekuwa sehemu muhimu ya Maisha yetu ya kisasa, ukiathiri kila kona ua jamii, elimu, na biashara. Kupitia mtandao , watu wanaweza kuwasiliana, kujifunza, na kufanya kazi kwa njia isiyo ya kawaida. Hata hivyo, Pamoja na furs ana faida zinazotokana na mtandao, pia kumejitokeza changamoto...
Wanajukwaa mnaotumia laini ya TIGO kama mimi naomba msaada.Mimi data nikiingia internet zinakwanguliwa faster sana.Issue hii imeanza juzi je ?na kwa wengine iko hivi au kuna nini?
Lakini kwenye mtandao wa Airtel data consumption kawaida tu. Changamoto airtel internet kwa maeneo nilipo ni slow...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.