Habari, naomba mwenye uzoefu wa kutumia mfumo wa kupata leseni ya biashara online uitwao tausi portal unaopatikana katika tovuti ya Tamisemi, anisaidie namna ya kupata mawasiliano ya huduma kwa wateja, kwani mtandao umekuwa na changamoto ya kuchelewa kutoa control number ili kupata leseni ya...
Picha: Ziada Seukindo Meneja Programu JamiiForums
Ziada Seukindo, Mtetezi/mchechemuzi wa haki za kidigitali na mtaalamu wa ushiriki wa wananchi mtandani na program meneja jamiiForums ashiriki mahojiano na Redio ya Kiss FM katika mjadala unaosema, Sheria za mitandao kutofahamika vizuri miongoni...
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu huu mtandao kuibia watumiaji wake lakini hatuoni maboresho yoyote mimi leo nimelazimika kuandika uzi sababu nimeibiwa salio langu la tsh 300 na huu mtandao baada ya kujaza vocha wananitumia sms umekatwa sh 300 baada ya kujiunga na huduma ya "chekecha mkwanja "...
Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi,
Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi...
Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI
Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025.
Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online.
Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu...
Nimefungiwa account yangu ya Airtel money toka tarehe 2 mpaka leo wanadai kuna mtu alituma pesa kimakosa ambayo ni TSH 10,000 lakini kwenye account nilikuwa na zaidi ya hiyo nikawaambia muamala wa huyo mtu wangeurejesha
Nimeenda makao makuu yao zaidi ya mara 3 lakini sipewi msaada...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo.
Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
Prof. Idris Suleiman Kikula, mwenyekiti wa Tume ya Madini amekiri kuwa Mtandao tajwa hapo juu umezima kama sio kushindwa kufanya kazi kwa kipindi cha miezi minne sasa.
Kukosekana kwa huduma hiyo muhimu kumeikosesha serikali hasara ya bilioni 7 kwa mwezi jambo ambalo sio la kuvumiliwa.
Waziri...
Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati.
Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua?
Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
Salamu.
Kwanza watawahamisha mazima wateja wote kutoka mitandao mingine na kuingia kwao kwa sababu watakuwa na vifurushi vyenye gharama nafuu hii itatokana na gharama za kuendesha mtandao zitakuwa ndogo kutokana na kutojihusisha na internet.
Internet inakula gharama sana kwenye matumizi na...
Utangulizi
Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE) kila baada ya miaka 5 inafanya Utafiti wa soko la Ajira ili kuboresha mitaala yake. Mwaka jana Mwezi March, 2022 CBE kilifanya Utafiti kwa Wahitimu waliomaliza chuoni apo.
Matokeo ya Utafiti
59.5% ya Wahitimu wameajiriwa katika Taasisi za Umma na...
Kwa masikitiko makubwa Tume ya madini imeshindwa kupokea malipobau kutoa namba ya kulipia malipo ya aina yeyote sasa ni miezi 2.
Waziri Doto Biteko jiongeze hali sio nzuri na serikali inahitaji kodi
Legends mnasemaje, au mimi nnaangukiwa sana na wanaotumia Airtel vp?
Sababu asilimia 90 ya barmaid au pisi nlonao kwenye simu yangu namba zao ni za Airtel, leo nmekutana na kisu mmoja tena hapa ile kunipa namba naona ni Airtel.
Wadau inakuaje hii?
Umeme ni hitaji la Msingi katika kufikia na kutumia Teknolojia, ikiwemo Intaneti
Kama Mwananchi unayetumia au kutegemea Digitali kwa shughuli mbalimbali, unaathirika kwa kiwango gani unapokosa Umeme?
Matumizi ya Mtandao yamesaidia Kwa kiasi kikubwa kurahisisha Maisha ya binadamu. Kutokana na uwepo wa taarifa nyingi za afya zinazopatikana Mtandaoni, baadhi ya watu huzitumia katika kujitibu magonjwa pasipo Kwenda hospitalini.
Wataalam wa Afya wanaonya kuwa tabia hii inaweza kuleta athari...
Mwaka 2017, akihojiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuhusu namna anavyoutumia mtandao huo, Selena alinukuliwa akisema “Huwa nafuta App ya mtandao huu walau mara moja kila wiki sababu Watu huandika maoni makali kama vile wanataka kukutoa roho”
Mwaka 2019 aliamua kusitisha matumizi ya mtandao wa...
Nape strikes again.
Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha.
Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana hiyohiyo ya Waziri wa habari ameufungia kimyakimya mtandao maarufu wa Clubhouse.
Mtandao wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.