Wazee kama yalivyo makundi mengine hawapaswi kubaguliwa kwenye matumizi ya mtandao ili kufanikisha maisha yao ya kila siku.
Wanapaswa kujengewa uwezo wa matumizi sahihi ya mtandao unaoendana na mahitaji ya sasa ili waweze kufurahia vizuri haki yao hii ya msingi.
Kwa wale wenye mahitaji maalum...
Taasisi ya CINT inayofanya kazi ya Utetezi, Uzengezi na Uwezeshaji, Kuwaunganisha Wasanii na Taasisi zao na Kuzungumza kwa niaba ya Sekta ya Ubunifu Tanzania katika maeneo ya Sera, Fedha, Sheria, Elimu, Miundombinu na Teknolojia imezindua Ripoti ya Wadau wa Sekta ya Sanaa Tanzania ambapo katika...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imejipanga kuifanya Tanzania kuwa kitovu cha biashara ya mtandao barani Afrika, Serikali imeanza kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA). Dira ya serikali ni kuifanya Tanzania kuwa kinara katika...
Ni rahisi kupeana habari na watu unaowasiliana nao mtandaoni. Majukwaa kama vile mitandao ya kijamii inafanya iwe rahisi kwa wewe kutangaza kwa familia yako na marafiki (na hata kwa watu usiowajua, kulingana na mipangilio yako ya faragha) unachofanya na mahali ulipo.
Mitandao ya kijamii kama...
Kwa jinsi teknolojia inavyokua katika maisha yetu, haiwezekani kumweka mtoto wako mbali na mtandao. Hata ukimzuia muda si mrefu ataingia kwenye ulimwengu huo. Kwa hivyo, ni umri gani unaofaa kumtambulisha mtoto kwa vifaa hivi, na vipi?
Vifaa vya watoto: Subiri mpaka shule ya chekechea
Wataalamu...
Ustahimilivu wa digitali kwa watoto ni ujuzi ambao watoto wanahitaji ili kudhibiti na kustahimili changamoto za ulimwengu wa mtandaoni kwa usalama. Ni uwezo wa kutofautisha mema na mabaya katika maisha ya kidigitali, kufikiri kwa umakini, kufanya maamuzi mazuri, na kufahamu hatari na matokeo ya...
Nauli mpya za mabasi ya mwendo wa haraka zitaanza kutumika kuanzia Jumatatu Januari 16, 2023 lakini nauli ya wanafunzi itabaki ileile ya Sh200.
Hatua hiyo inakuja baada ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (Latra) kuridhia maombi yaliyowasilishwa katika mkutano uliofanyika Januari 3, 2023...
Ulinzi wa kimtandao humaanisha tabia anuwai na tahadhari za kujilinda anazofuata mtu wakati anatumia mtandao katika kuhakikisha kuwa habari nyeti za kibinafsi na za vifaa anavyotumia mtandaoni vinabaki kuwa salama.
Husaidia kupunguza uwezekano wa kushambuliwa au kupunguza madhara ya shambulio...
Ripoti Mpya iliyochapishwa na Shirika la Top10VPN inasema kukosekana Mtandao huko Tigray, Ethiopia Mwaka 2022 kumezigharimu Biashara Nchini humo Dola za Marekani Milioni 145.8
Kuzuia Intaneti pamoja na kuweka vikwazo katika Upatikanaji wake huwaathiri Wananchi Kiuchumi, Kijamii na Kisiasa...
Kuanzia leo saa 6 Mchana tarehe 05.01.2023 Mtandao wa Halotel unawaibia wateja wake bila huruma kupitia Vifurushi vya Internet. Ukijiunga kifurushi cha Siku cha Shilingi 1,000 ambacho wanakupa MB 490 na mara Tu ukianza kukitumia ndani ya Dakika 3 Kinakuwa kimeisha.
Kwa MB 490 ukiangalia video...
Sipendelei sana mitandao ya kijamii zaidi ya JF. Ila juzi kati hapa nilijiunga na huu Mtandao wa Maski aliyenishawishi kujiunga ni jamaa (Mwigizaji) mmoja anaitwa Anthony Starr kacheza series ya The Boys na Banshee kipindi mechi za kombe la dunia alikua anatabiri kila timu aliyoshabikia ilikua...
Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imetambulisha mfumo wa usajili wa watu kwa njia ya mtandao utakaowezesha wananchi wenye sifa za kuomba vitambulisho vya taifa kwa kujaza fomu mtandaoni.
Waombaji wa awali watajaza fomu mahali popote walipo bila kulazimika kwenda ofisi za usajili za...
Mtandao wa TRA hasa kwenye efiling system unasumbua sana. Unaweza kutumia zaidi ya siku mbili bado hujaweza kufanya malipo. Halafu kuna suala la faini ; ukichelewa kufile return faini, ukichelewa kulipa fani bila kujali usumbufu wa mtandao wao.
Mnapaswa kujua kuwa mfumo huo ndio njia ya...
Twitter yasitisha akaunti za waandishi wa habari wanaoandika habari za Musk
Twitter ilisimamisha akaunti Alhamisi ya zaidi ya wanahabari nusu dazeni waliokuwa wakiandika kuhusu kampuni hiyo na mmiliki wake mpya Elon Musk.
kuwanyamazisha waandishi wa habari kwenye Twitter huku wakidai kuwa...
Mavuno mazuri ya machungwa yamepatikana mkoani Hunan, China, na watangazaji wanauza bidhaa hizo moja kwa moja kwenye mtandao ili kuwasaidia wakulima kuongeza mapato yao.
Makosa wafanye wao kukata zaidi ya deni mnufaika unalodaiwa halafu ukiwafuata wanakupa statement wenyewe inaonyesha kweli umekatwa zaidi. Badala ya kuhakiki deni lako na kukuandika hundi wanakwambia rudi nyumbani na kajisajiri kwenye mfumo udai kurudishiwa makato yaliyozidi.
Wanakwambia subiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.