Nimepitia mtandao wa Alibaba, naona kuna magari ya bei nafuu sana kuliko mitandao ya magari tuliyoizoea, Na kuna magari mengi ya umeme ya chini ya 5M Tzs, Sijajua ni kuna mlolongo upi wa manunuzi na masuala ya tax clearance kwenye bisahara ya magari huko Alibaba mpaka watu wanakomaa na mitandao...
Uchambuzi huu unahusisha kanuni zinazotokana na Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA) ya mwaka 2010, na unapendekeza kufanyia mabadiliko Kanuni zilizowekwa mwaka 2020.
============
ANALYSIS OF TANZANIA's ONLINE CONTENT REGULATIONS AMENDMENTS(2021) by JAMII FORUMS
MAJOR...
Natumaini mko vizuri mnapambana kutafuta riziki
Ngoja nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.
Leo trh 23 aug 21 kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa dar imetoa maelekezo ya kuanza kutumika kwa mfumo wa ulipaji gharama za kupaki magari kwa njia ya kielectroniki ambapo mitandao yote...
Wakuu habari,
Jana nilikuwa nahitaji kumtumia Mtu Account namba yangu ili anitumie pesa nikatoe, hii yote ni katika kupunguza gharama ya Makato.
Nikamuandikia SMS, mimi natumia mtandao wa Tigo, niliandika Majina kamili, jina la bank husika na namba ya Account cha ajabu kila nikituma ile SMS...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.