Kwa kweli napata unafuu sana kwa upande wa Internet.
Hizi Gb zote zinaningoja tu mimi nizipasue pasue mitandaoni
Tuma neno BURE kwenda namba 15166 Unaweza pata hio ofa, 5.5GB for 14days kila mwezi
NB: Ukihitaji viwanja ama nyumba za kununua kwa.mikoa ya Mwanza na Dar usisite kunicheki.
Namba...
Anaejua wauza vitabu 'Bookshop' iliyoko Dar es Salaam. Mtu wa Mkoani unanunua kupitia mtandao au vinginevyo na unatumia.
Wakuu naomba kujuzwa, kama unajua Bookshop ya namna hiyo. Tafadhali naomba contacts zao.
Wakati nchi nyingi makampuni ya mawasiliano yakiwa yanaweka kipaumbele sana kwenye usiri wa taarifa za wateja wao, hapa kwetu hali ni tofauti kabisa.
Hilo limethibitishwa leo na Wakili Msomi Fred Kapara, ambaye ni Wakili wa Kampuni ya Tigo, alipoulizwa Mahakamani wakati akitoa ushahidi katika...
Ki ukweli Melo na JF kwa ujumla ni wadogo sana ukilinganisha na akina Tigo, Voda na wengine.
Lakini hawa Jamaa pamoja na udogo wao wamepambana waziwazi mahakamani kulinda faragha ya watumiaji wa mtandao wao.
Hawa Jamaa wamepambana uso kwa uso na Polisi.
Wamepambana uso kwa uso mahakamani...
Hii Ndio List Ya Wasanii Waliotazamwa Zaidi Katika Mtandao Wa Youtube Kwa Mwezi Wa Kumi Kwa Mujibu Wa @chartdatatz
1. Diamond Platnumz - 33.6M
2. Rayvanny 20.9M
3. Alikiba 13.6M
4. Harmonize 11.8M
5. Zuchu 11.4M
6. Mbosso 11.3M
7. Lavalava 4.77M
8. Nandy 4.73M
9. Macvoice 3.1M
10. Marioo 2.9M
Yaani nipo maeneo ya Tabata ukipita KB kuna car wash huku kila napokuja mtandao hausomi 4G. Unasoma 3G na sometime Edge kabisa. Inashangaza sana kwa Mtandao mkubwa kama huu.
Nimewahi kutana na kadhia hii pia maeneo flani ya Banana. Tigo unakuta inasoma 4G but airtel 3G.
Je ni kwamba...
Habarini wana jamvi,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nikilog in wanataka niverify kama akaunt ni ya kwangu, kwa hio wanatuma verification code kwenye namba ambayo nishaipotezaga
Na hamna option nyingine ya kupata hizo code.
Msaada kwa anae fahamu jinsi ya kusolve hilo🙏🏽
Orodha Ya Album Za Bongo fleva Zilizosikilizwa Zaidi Katika Mtandao Wa Kusikilizia Muziki Wa Spotify.
1. #ABoyFromTandale -Diamond Platnumz Streams 30.4M
2. #SoundFromAfrica -Rayvanny Streams 26.2M
3. #DefinationOfLove -Mbosso Streams 3.6M
4. #StoryOfTheAfricanMob -Navy Kenzo Streams 3.3M...
Historia ya mtandao wa YouTube
YouTube ilianzishwa na Chad Hurley, Steve Chen na Jawed Karim ambao awali wote walikuwa wafanyakazi wa PayPal. Hurley alisomea urasimu katika Chuo Kikuu cha Indiana ya Pennsylvania, huku Chen na Karim wakisomea kompyuta sayansi pamoja katika Chuo Kikuu cha...
Jana baada ya kusajili laini ya Azam nataka kuanza kuitumia baada ya kusikia sifa zake.
Wadau wanasema ina vifurushi vizuri na mtandao huko stable.
Mliotumia vipi mtandao wa internet mfano MB 500 wanauzaje hawa jamaa?
Natanguliza shukrani
Katika miaka ya hivi karibuni mtandao wa Internet umekuwa ni moja ya maeneo yenye maendeleo ya kasi duniani. Kuanzia ujenzi wa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya internet, vifaa vya mawasiliano kwa njia ya internet kama simu na kompyuta, na hata matumizi ya internet, serikali mtandao...
Mfumo ambao dunia imejiwekea wa kumtafsiri mtu na mtu au hata taifa na taifa kupitia vipato vyao (pesa) umekuwa ukiweka maswali mengi sana kichwani kwangu, moja kati ya swali ambalo mpaka leo bado sijapata majibu ni lile lililo kwa watu wengi kwamba "Hela zinatengenezwa wapi? Na ni kozi gani...
Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni.
Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.
serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane...
Habari wakuu
Hivi ni namna gani unaweza kuangalia kama mwajiri wako anaweka hela NSSF kila mwezi online ,yaani Kama Kuna app ,au kwenye ya website ya nssf hio huduma ipo ?.
Naomba kujua na ni kwa namna gani
Inajulikana Kalemani ndie mbunge wa Chato kipenzi cha Hayati na mrithi wa jimbo lake. Pia inajulikana Chamriho ametokea ngazi za juu huko Tanroads ambayo ndio iliyofanikisha ndoto ya Hayati kutwaa urais 2015.
Ukisikia na hotuba ya leo ya mama na ukiangalia walioondolewa hawakuwa wabaya...
Habari Wakuu naomba Kuuliza Imekuwa Muda sasa na Mara nyingi kuona Mtandao wa Intenet wa TTCL kupotea au Kuwa na Speed ndogo mnoo hata kwa siku 2 mfululizo huku Mitandao mingine ya mashirika Binafsi ikipeta, na Bahati Mbaya sijui hakuna Operesheni manager au Mtu anaemonitor hili?
Au hakuna wa...
Sasa ni dhahiri Mwigulu anaelekea mwisho wake, hizi tozo zake anazotaka kuleta zitazua balaa kubwa, hivi hawa Google na wengine wakiamua kuiondoa Tanzania kwa sababu ya tozo zake za ajabu anadhani sisi tutaishije?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.