mtandao

  1. L

    Biashara ya bidhaa za Afrika kwa njia ya mtandao wa Internet kupanua mauzo ya bidhaa za Afrika nchini China

    Fadhili Mpunji Mwezi Aprili mwaka huu shughuli nyingi ya mauzo bidhaa za Afrika kwenye mtandao wa internet ilifanyika nchini China. Wateja wa miji mbalimbali ya China walitumia muda wao kwenye simu na kompyuta zao, wakitazama, kusikiliza, kuchagua na kununua bidhaa mbalimbali kutoka nchi za...
  2. Infopaedia

    Mtandao wa Zoomtanzania na magari ya mnada

    Habari wakuu. Kwenye mtandao wa Zoomtanzania ambalo ni duka la mtandaoni, nimeingia na kukuta magari mengi ya mnada. Kuna gari nyingi naona zimeandikwa 'manada wa magari', kwa maana ya kwamba zinapatikana kwenye huo mnada. Wakuu, kama kuna mtu ana uzoefu na huo mnada, naomba anishirikishe...
  3. Analogia Malenga

    Facebook imeendelea kuwa mtandao wa kijamii unaotumika zaidi duniani

    Takwimu zilizotolewa na Digital 2022 Global Overview Report zimeonesha mtandao wa kijamii wa Facebook ndio mtandao platform inayotumiwa na wengi Mbali na matokeo hayo mtandao wa WhatsApp umeonekana kupendelewa na wengi katika kufanya mawasiliano ukilinganisha na platforms nyingine za...
  4. 2019

    Airtel mtandao wa ovyo sana, mawingu kidogo tu hakuna huduma

    Hata kama wamepata balozi mzuri wa kuwatangazia matangazo yao tatizo sio matangazo bali ni huduma. Airtel money changamoto,kama una haraka huwezi kutoa pesa fasta ukaondoka. Kupiga simu,wanatoa dk nyingi sana za kuwasiliana lakini unaweza kutumia dk mpaka 5 hamuelewani mnabaki kuulizana...
  5. Fohadi

    Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
  6. JanguKamaJangu

    Arusha: Mtandao wa kuteka, kubaka, kupora wanawake maarufu waanza kudakwa

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu wawili wanaodaiwa kuwa ni viongozi wa mtandao wa utekaji, uporaji na ubakaji wa wanawake maarufu jijini hapo. RPC wa Arusha, Justine Masejo amethibitisha kukamatwa kwa watu hao na kuongeza kuna wengine wawili wamekamatwa wakihusishwa na tukio...
  7. JanguKamaJangu

    Maxence Melo: Nilipoteza marafiki wengi, tuna Sheria mbovu ya Makosa ya Mtandao. Tuna haki ya kuhoji

    Maxence Melo ambaye ni Mkurugenzi wa JamiiForums, jana Aprili 25, 2022 alikuwa katika kituo cha E FM Radio akielezea mambo mbalimbali kuhusu taasisi yake, harakati, mijadala na mambo mengine mengi. Hizi ni sehemu ya nukuu ya yale aliyozungumza Maxence Melo: “Hitaji la Jamii Forums wakati...
  8. R

    Ombi kwa makampuni ya Simu, Tigo, Vodacom, Airtell, Halotel etc: Kama mnaweza tutengenezee VIBUBU vya kwenye simu/Mtandao

    My point is this: Tumezoea kuweka hela kwenye VIBUBU vya mbao ambavyo ikifika muda uliojipangia unakibomoa. SASA, ni imani yangu kuwa you can design a programme ambayo mtu anaweza akawa anaweka pesa zake (kama tunavyoweka kwenye M-pesa, Tigo pesa etc) na kuzitoa muda aliopanga ambapo kabla ya...
  9. Cannabis

    Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

    Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni...
  10. Izzi

    Airtel "Imeolewa" na Diamond - lakini Je, huduma zimeboreshwa?

    Nimeamka asubuhi nikakutana na ujumbe kutoka kwa rafiki yangu ambae ni mfanyakazi wa Airtel (TSM), akiwa amenitumia Tangazo jipya la Joti. Nikatabasamu kwa kuwaza kwamba Airtel wamefanikiwa kumnyofoa Joti kutoka Tigo; nikawaza au labda huyu muwekezaji mpya alieingia Tigo amechagiza jamaa...
  11. K

    Je,ni mtandao gani wa wa kijamii wazawa huko Rwanda ambao tunaweza kuuita JF ya Rwanda

    wakuu tumekuwa tukisikia sifa za wanyarwanda kuwa wako juu sana kwenye hizi issue za tech lakini cha kushangaza mbona hakuna mtandao hata mmoja wa kijamii uliotengenezwa na mnyarwanda ambao tunaweza kuulinganisha na hii JF ya Melo afadhali wakenya wao wana kenyatàlk nk ambao kiuhalisia ni...
  12. C

    Ushauri kuhusu kusoma degree kwa njia ya mtandao

    Habari! Nina Diploma in Clinical Medicine, GPA 3.4 ninahitaji kujiendeleza kwa level ya degree lakini sina uhakika wa kusoma full time. Nilifikiria kusoma Open University Bachelor of food Nutrition and Dietetics lakini vigevo vyao vya kuchaguliwa ni GPA kuanzia 3.5 ambayo sina. Je, kuna...
  13. The Assassin

    Baada ya Trump, Bilionea Namba Moja Duniani Elon Musk anafikiria kuja na mtandao wake wa kijamii

    Baada ya Trump kuzundua mtandao wake wa kijamii mwezi uliopita, Tajiri Elon Musk anafikiria kuzindua mtandao wake mpya ambao utawapa watu uhuru kamili wa kutoa maoni. Ikumbukwe kwamba hata Trump analaumu kwamba mitandao iliyopo inaminya uhuru wa watu kujieleza, inapangia watu waandike nini...
  14. GENTAMYCINE

    Asanteni Radio One, Watangazaji Bora Afrika Farhia Middle na Abubakary Sadick kwa Kuniheshimisha na Kuuheshimisha Mtandao wa JamiiForums leo

    Kwanza nianze kwa kutoa Pongezi zangu Kwenu Radio One ( hasa hasa ) Watangazaji wangu Bora kwa Afrika na Kipindi changu pendwa cha Mazungumzo ya Familia cha kila Jumapili kuanzia Saa 1 na Nusu hadi Saa 4 Kamli za Asubuhi kwa Kukubali Ubalozi wangu wa Kujiteua na Kulazimisha wa hicho Kipindi...
  15. mirindimo

    Wiki sasa tunafatilia passport tunaambiwa kuna shida ya mtandao

    Hii nchi ngumu sana, ni sisi tu tusio toa hela ndio tuna suffer hivi au ni wote jameni? Masikini tue tunaoneana huruma basi 😂😂😄😁 yaani hakuna sehemu salama kwa maskini kote ni spana left and right centre and bottom.
  16. mirindimo

    TRA mnazima mtandao ili mpige watu penati?

    TRA shughulikieni suala la mtandao mnachofanya ni upumbavu wa hali ya juu, ofisi zenu zote muda wa kazi hakuna mtandao hasa siku za malipo ila kuanzia saa 11 jioni mnarudisha mtandao. Basi fanyeni kazi 24hrs hapo hapo huyu mliyemzimia mtandao akija alipe mnampiga penati za kufa mtu mnafikiri...
  17. Natty Bongoman

    Jinsi ya kusoma ukurasa wa mtandao bila matangazo ya biashara

    Habari wanaJF. Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
  18. luangalila

    Mtandao wa Zoom Tanzania wizara ya habari na mawasiliano muumulike

    Kuna mdogo wangu alifanya application ya kazi aliona tangazo la kazi ktk website tajwa hapo juu, sasa jana dogo katumiwa Sms anaambiwa atume 25k Akanishirikisha ilo swala basi nikaona ngoja niule ktk hii platform, credibility ya huu mtandao na ni vyema serikali ukau mulika ili.wamiliki waonywe
  19. K

    Siku nzima ya leo benki ya CRDB haikufanya kazi kwa ukosefu wa mtandao

    Siku ya leo haikuwa siku nzuri kwa CRDB. Wateja wengi tulikosa huma na wengine tulikaa ndani ya Benki kwa muda mrefu sana kwa Benki kukosa mtandao. Mpaka sasa Benki haijatuomba radhi licha ya kupata adha kubwa.
  20. M

    Kwani mtandao wa Airtel makao yenu makuu ni Ukraine?

    Kwa muda usiopungua siku tano sasa mtandao wa Airtel umesababisha usumbufu mkubwa kwa baadhi ya watumiaji wake. Simu za mtandao huo hazitoki na sanasana mteja unaweza ukaambiwa namba unayopiga haiwezi kuunganishwa kwasasa Wateja wanahangaika na mawasiliano hamna. Vifurushi vyenu vinakata maratu...
Back
Top Bottom