1) Kuwaeleza Watoto umuhimu wa kuweka nywila (Password) kwenye vifaa vyao, na kutompa mtu mwingine hata kama wana ukaribu
2) Kuzungumza na Watoto, na kuwaonesha wanaweza kuwafuata pale wanapopata matatizo mtandaoni ikiwemo CyberBullying (Uonevu Mtandaoni)
3) Kuhakikisha Mtoto haweki taarifa...
Ninapenda kwanza kutoa heshima zangu kwa Mheshimiwa Mbowe, aliyekuwa kizuizini, kwa kuonewa na bila kupewa haki yake kama sheria inavyosema.
Nikirudia mada yangu, hivi karibuni tumeona kuwa shughuli zote za hiki chama kikubwa cha upinzani zikihamishwa, kutoka mikoni mwa Ofisi zake za kisheria...
Taarifa binafsi kama Jina lako, Namba ya Simu, Anwani na zile za malipo ya kifedha huweza kuleta madhara zikiwa mtandaoni pasipo kulindwa, kwani ni rahisi kudukuliwa
Kuwa makini unapofungua tovuti au 'Links' ambazo kwenye "https" hakuna 'S' yaani inasomeka "http" pekee. Weka nywila (Password)...
(Picha: The Sheriff)
Umewahi kupata dalili ya afya ambayo haijawahi kutokea hapo awali na ukaanza kujiuliza ni nini kinachoweza kuwa tatizo? Of course, huenda jibu lako ni kama langu pia, "Kabisa!"
Sasa basi, inapotokea hivi hatua ya kwanza inayopaswa kufanyika ni kuwasiliana na mtoa huduma wa...
Zilianza threat za wana CCM tunawajua kuwa watakuwepo Jamii forum kwa miaka 10 ambao ghafla wakanda kumpiga Rais Samia
Akaja Polepole na Shule ya Uongozi
Wanaharakati wao wa Facebook, Instagram na twitter wakitumia kauli za "hawezi Lucas viatu, hatoshi nk"
Sasa Ndugai katoa siri yao na...
Habari za mda huu?
I hope ni wazima.
Kuna kitabu nakisaka mtandaoni leo siku ya tatu hv, lakin kila site nnapokikuta ni lazima ununue.. sasa nlikua naomba wajuzi wanisaidie kama kuna njia yoyote ya Kudownload hv vitabu bila kulipia.
Ahsanteni
Huang Wei
China imefuta akaunti za mitandao ya kijamii za mhamasishaji maarufu katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo.
Huang Wei, anayejulikana kwa jina maarufu la Viya, ni mmoja wa watangazaji maarufu zaidi katika sekta ya biashara ya mtandaoni nchini humo ambayo imekua kwa kasi...
CHADEMA wimegeuka kuwa Chama Cha Twitter, msemaji wao mkuu ni Mari Sarungi. Wako bize sana mtandaoni kupiga domo.
Hawana hoja za maana tena,mijadala yao mikubwa ni mara Tanganyika haipo, mara Ucifu ulifutwa na vitu vingine vya kudandia dandia.
Jambo moja ninalopenda sana kuhusu Serikali ya...
Na Ronald Mutie
Mwaka 2020 mwezi Mei, takriban tani 1.5 za kahawa ya Rwanda ziliuzwa ndani ya dakika moja tu wakati wa tukio la uuzaji wa moja kwa moja mtandaoni lililolenga kutangaza kahawa ya Rwanda kwenye soko na wateja wa China.
Uuzaji huo ulikuwa umeandaliwa na kampuni kubwa zaidi...
Nakumbuka enzi hizo nilijenga yrafiki na binti mkali acha tu, ilikuwa ni mtandao wa facebook, tulikuwa marafiki, alafu tukaja kupeana namba, hapo ndipo nilitupia ndoano na ndipo tukaingia rasmi kwenye mahusiano.
Sio siri mtoto alikuwa na kisauti flani hivi cha upole mixer aibu, akiniita mpenzi...
Siku hizi dunia ni digital.
Kuna kampuni za mitandaoni, maduka ya mitandaoni, shule nk. Kumbe hata kuwa na chama cha siasa cha mtandaoni inawezekana.
Sasa tuundeni chama cha siasa cha mtandaoni ambacho kitakuwa na matawi Twiter, facebook, youtube , insta nk. Hoja za kushughulikia kwa sasa ni...
Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
Bila longo longo naitwa Vitalis nina uzoefu wa miaka mi 2 nahitaji gari ya mkataba au hesabu iwe imesajiliwa kwa biashara ili tusileteane vipengele vingi na maneno mengi, nina akaunti ziko active na leseni daraja C , napatikana tabata segerea mawasiliano yangu ni 0679822712
Gari iwe sienta...
Ndugu yetu Simbachawene, inaonekana majukumu yako yamekushinda, sasa hivi umerukia utoaji wa maoni ya wananchi mitandaoni.
Ungetuonyesha kwanza ukamilikaji wa vitambulisho vya taifa kwa wananchi wote wenye kustahili, kisha ndio utake kuwafurahisha hao waliokuwa cheo kwa kudhibiti maoni ya...
Haiingii Akilini wakati wa Wiki ya Mwananchi inayohusisha Klabu mbovu ya Yanga upatikanaji wa Tiketi kwa njia ya N-CARD ( Mtandao ) ulikuwa hausumbui ila kwa Wiki hii ya Simba Day mpaka leo kila Kona ni Malalamiko ya Tiketi Kusumbua.
Wewe Waziri ( mwana Yanga SC ) na uliye na Dhamana na Wizara...
Habari za majukumu wanaJF
Leo ningependa kutambulisha tovuti zangu
Katika harakati za kusaidia jamii ya kiafrica kujiajiri au kutumia mitandao kujipatia kipato,
niliamua kuanzisha tovuti mbali mbali ili kusaidia jamii ya africa kujiari, lengo langu kubwa ni watu kutumia mitandaon kujipatia...
Kujiajiri mtandaoni ni field inayokuwa kwa kasi sana. Na malipo yake kwa standard zetu ni mazuri. Yanaanza dola moja hadi kumi kwa saa. Uwekezaji mkubwa wa mtu kufanya kazi hizi ni internet na vifaa vya kazi, hasa kompyuta.
Vijana waliomaliza vyuo wanaujuzi mbalimbali wa kufanya kazi hizi...
Habari za wakati huu waungwana;
Mnamo mwaka 2005 nilipata kusikia habari za kwamba watu wanaweza kufanya kazi kwa njia ya mtandaona kutengeneza pesa.Kwa sababu ya uelewa finyu wa teknolojia na uhaba wa rasilimali haikuwa rahisi sana mimi kutambua ni kwa namna gani.Hata hivyo niliendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.