Biashara nyingi zimehamia mitandaoni siku hizi, sasa majuzi nilikumbana na tangazo moja la kampuni ya ma-house girl huko mtandaoni ndiyo nikagundua kumbe ile vita tuliyoianzisha ya madada wa kazi dhidi ya wake zetu bado haijakwisha, mbichi kabisa.
Kila nikitazama sioni dalili ya vita hiyo...
UTAWALA BORA
Utawala Ni mamlaka aliyonayo mtu wa uteule aliyeteuliwa au kuchaguliwa na watu ili aweze kuwa muwakilishi na kiongozi wao katika kushughulikia masuala mbalimbali ya kijamii katika kitengo husika alichopewa inaweza kuwa ni Rais, Waziri Mkuu au Mbunge .
Nini utawala Bora?
Utawala...
WATU maeneo mbalimbali duniani wamekuwa wanasumbuka kupata 'kiwakilishi' sahihi na bora kwenye kubadilishana bidhaa toka dunia kuumbwa.
Baada ya uwepo wa DOLA ya Kimarekani na EURO ya Ulaya watu wakadhani mapambano hayo yamefikia tamati. La hasha, bado yanaendelea !
Baada ya majaribio ya kadi...
Naibu waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Godwin Mollel amewataka wananchi kutokuogopa maneno yanayoendelea mitandaoni kuhusu chanjo ya Uviko-19 kwani chanjo hiyo ni salama.
Dk Mollel amesema hayo katika mkutano mkuu wa wadau wa huduma za elimu ya afya kwa umma...
Wakuu habari,
Haya ni mawazo yangu tu, ambayo nimekuwa nikifikiria kwa muda mrefu pengine ni nadharia tu kwa sababu sina uelewa wa kutosha lakini hainizuii kufikiria na kutafakari,
Nitatumia mifano ya awamu ya 5 na 6 kueleza mawazo yangu ambayo nimekuwa nikiyafikiria,
Inawezekana kuna watu...
Ni jambo lisilofichika sasa kuwa mfumo wetu wa elimu uko dhoofu li hali, kama sio hoi bin taabani. Haumuandai mhitimu kujiajiri au kuweza kutengeneza ajira, hali ni mbaya sana, wahitimu wengi wa elimu ya juu na kati wapo mitaani wakiwa hawajui nini hatima yao.
Viongozi walioshika mpini katika...
Nnahitaji kijana mwenye uwezo mzuri wa kutumia vizuri kompyuta, kwa kazi ya kusimamia akaunti zangu mtandaoni.
Vigezo : Awe na kompyuta binafsi na uwezo wa kutumia vizuri mitandao ya kijamii
Mahali : Awe ndani ya Dar es salaam, hasa jimbo la Kawe
Mshahara : Tshs 150,000/=
Ikiwa unajiona unafaa...
TCRA YAZINDUA MFUMO ULIOBORESHWA WA UTOAJI WA LESENI MTANDAONI.
Leo 31 Julai,2021.
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imefanya uzinduzi wa Mfumo ulioboreshwa wa Utoaji wa Leseni kwa njia ya Mtandao. Mgeni Rasmi katika uzinduzi huo alikuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt...
Nilitunza kumbukumbu za deni la mkopo wa wanafunzi elimu juu HESLB lililobaki hadi mwezi Juni 2021 la mtandaoni ili nije nilinganishe na la mwezi unaofuata nione kama linapungua nimebaini halipungui sijui shida iko wapi?
Hali ikoje kwako mkuu, mbona sasa nashindwa kuamini hata taarifa za...
Mambo vipi wakuu, leo katika jukwaa hili nitaorodhesha kazi ambazo unaweza kuzifanya mtandaoni na ukapata kipato kizuri.
Bila kupoteza muda, katika ulimwengu wa leo, teknolojia imekwenda mbele sana kiasi kwamba ni vigumu kuishi maisha bila kujihusisha nayo, sambamba na ukuaji wa teknolojia...
Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu .Bidhaa unazoweza kuzifungulia duka mtandao ni, vitabu, vifaa umeme, mavazi na kadhalika. Zipo faida...
Juzi kwenye mjadala wa Kodi tulikutanika watu zaidi ya elfu 2 bila kuomba kibali cha polisi na tukajadiliana kwa amani nakuwafungua masikio na macho Wana CCM na wasio Wana CCM
Leo idadi imeongezeka na kufikia zaidi ya watu elfu 6 kitu ambacho ni nadra sana kufanya na hata Marais wa Nchi...
Wabunge wni wawakilishi wa wananchi ambao wapo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi. Hii ni tafsiri ya kikatiba lakini kiuhalisia hali ni tofauti.
Niwakumbushe ndugu zangu kulikuwa na ongezeko la bei za vifurushi ambapo ni kelele za wananchi katika mitandao zilizofanya zile bei zishuke...
MADA: MAENDELEO YA JAMII
Kwanza kabisa tunapozungumzia maendeleo kwa upana wake zaidi ni like kitendo Cha kuinuka au kuhama kutoka hatua moja kwenda hatua inayofuata au kutoka hatua mbovu kwenda hatua Bora zaidi katika nyanja mbalimbali za kimaisha ya kibinafsi au ya kijamii.
Na jamii ni ule...
Kutokana na ukosefu mkubwa wa ajira unaoikumba nchi yetu vijana wanaweza kutumia fursa zilizopo za kidigitali ili waweze kujikwamua kiuchumi kuliko kiuendelea kuisubiri serikali huku wakati ukiwatupa mkono. katika makala hii tutatalii ni kwavipi mwalimu au mtu mwenye ujuzi fulani anaweza...
Waswahili ama waafrika tuna ujinga wa kuwaza "hakuna kitakachotokea" ndio maana mambo mengi tunafeli.
Wakati wenzetu walioendelea wanawaza kwamba "kitatokea kitu".
Mswahili haoni shida kuendesha gari hajafunga mkanda hawazi kabisa kwamba endapo ikitokea ajali bila kufunga mkanda naweza...
Jamii Forums (JF) ni Asasi ya Kiraia inayoratibu mtandao wa JamiiForums na kuhamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora.
Jamii Forums imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa la...
UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi.
Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
Mtandao wa simu wa Halotel umekuja na njia rahisi ili kuripoti utapeli.
Piga *148*90# kisha chagua lugha.
Baada ya lugha chagua tena njia moja wapo
Baada ya hapo ingiza namba ya tapeli
Mfano 062xxxxxxx kisha tuma.
" Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo Sisi kama Klabu tutaendelea na Kikao chetu cha Nidhamu Kumjadili na kuja na Maamuzi juu yake "...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.