1. Endelea tu na utaratibu wako wa Kimaisha na Familia yako ambayo huenda ikawa inakutegemea kuliko Siasa na Chuki zako?
2. Tambua kuwa unapoteza bure muda wako kwani wapo Manguli kukuzidi walianza na wakamshindwa?
3. Kuna muda utafika utaanza Kuonekana 'Kituko' kwa wale unaowashtakia au...
Mh. Spika napenda kutoa hoja kama ifuatavyo:
Kwanza kabisa Mh. tumeona na kushuhudia ni kwa namna gani mtandao (internet) umeleta mageuzi makubwa kibiashara na kijamii na hivyo kufanya ubadili uti wa mgongo wetu wa Taifa kutoka "kilimo" na kuwa "biashara-mtandaoni".
Vijana wengi sasa...
Umeshawahi kukutana na picha za ngono mtandaoni? Bila shaka jibu ni ndiyo. Ipo mitandao (porn sites) iliyojikita mahususi kwa ajili ya kutengeneza na kuonesha picha ama video za ngono. Mara nyingi, picha au video zinazopatikana katika mitandao hiyo huwekwa kwa makubaliano baina ya mitandao hiyo...
Nitawajulia hali zenu baada ya uchaguzi!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika!
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO YA WATU na sio vitu ni chama pekee kilichoweza kujipambanua na kutawala kwenye social networks|social media na digital platform karibu zote nchini Tanzania.
Actually, Naweza...
Kitabu kinaitwa THE LOST BOOK OF HERBAL REMEDIES ( by Claude Davis and Dr. Nicole Apelian)
Dah nakihitaji Sana. Wataalam wa ku cheza na kuchekecha mambo hamuwezi mkanisaidia aisee ni fanye free download?!!
Asante sana 🙏🙏
Marufuku wanafunzi kupewa vidonge vya ‘folic acid’ shuleni – Waziri Ummy
NA EMMANUEL MALEGI-MOROGORO
Shule zote nchini zimepigwa marufuku kuwapa wanafunzi (wasichana balehe) dawa aina ya Folic Acid badala yake zimesisitizwa kuhakikisha zinawajengea uwezo wa kulima maboga na mbogamboga katika...
Wakuu, ninataka kujua kama ninaweza order prescription drugs mtandaoni kwzikaja kwa njia ya posta nikazipokea au ninahitaji kibari? Ni box kadhaa baada ya hapo nitaziforward kwenda sehemu nyingine maana tunatest tu system ya kudeliver dawa tz kama zitafika salama.
Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni
=====
=> Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
Mara kadhaa kupitia wasaa huu tumezungumza juu ya matumizi ya mtandao na athari zake, chanya na hasi. Leo tunakutanabaishia aina tano kuu za hatari anazoweza kukutana nazo mwanao awapo mitandaoni na namna bora ya kukabiliana nazo ili kupafanya mtandaoni mahali salama kwa mwanao.
Maudhui...
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, huku mtandaoni naweza kupata katiba ambayo ipo updated?
Naomba kama kuna mtu anajua anijuze au kama ana softcopy(pdf) pia nitashukuru.
Naomba kuwasilisha.
Habari wakuu,
Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Uingereza, Tim Davie amewazuia watumishi wa ashirika hilo kuandika mambo ya kisiasa katika mitandao ya kijamii inayoonyesha mrengo wao wa kisiasa
Kuandika maoni au kuwa kama mpiga kamepeni wa chama fulani kwenye mitandao ya kijamii ni chaguo zuri...
Nina imani wengi wetu humu JamiiForums tumetoka kwenye familia za kawaida, nikimaanisha kuwa tumeishi na wazazi wetu kwenye nyumba za tofali hata kama zilikua za kupanga, tumekua tukiwa na uhakika wa Milo mitatu kwa siku, kila siku, na ada ya shule haikusumbua sana wazazi.
Vijana wengi tumeishi...
Mama mmoja huko Marekani, alijiunga kwenye mtandao mmoja wa kijamii na kuweka picha ya mwanae mwenye umri wa miaka 18. Kisha alianza kuwasiliana na wanaume huku akijifanya kuwa yeye ndiye huyo binti kwenye hiyo picha.
Kutokana na urembo wa binti wanaume wengi mtandaoni hawakusita kumfuata...
Nyayo za Kidigitali au Digital Footprint hizi ni taarifa za kipekee zinazokusanywa kutoka kwa mtumiaji wa Mtandao anapofanya shughuli mbalimbali kwenye mtandao, anapofanya mawasiliano, miamala katika vifaa au majukwaa ya mtandaoni
Taarifa hizi zinaweza kutumika kufuatilia vitu anavyofanya na...
Inabidi sasa tukubaliane na uhalisia, kwa sababu ndio ukweli uliopo sasa hivi ya kwamba tunaishi katika kizazi ambacho watu wana maisha ya aina 2.
Kuna maisha halisi ya mtaani na maisha ya mtandaoni.
- Unaweza kuwa mtu wa kawaida sana mtaani ila huku mitandaoni unaheshimika
- Unaweza kuwa huna...
FAKE FAKE FAKE!!! Haya sio maneno yangu na hiyo ni account FAKE! Imeandikwa, Usimshuhudie jirani yako uongo-Lazaro Nyalandu on twitter
Ampongeza Lissu:
PONGEZI SANA kaka Mh.Tundu Lissu kwa USHINDI wa KISHINDO ulioupata BARAZA KUU CHADEMA kuwa Mgombea Urais kupitia Chama Chetu. Nakupongeza kwa...
Julai 17, 2020, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilichapisha mabadiliko ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni kwenye gazeti la Serikali kupitia gazeti Na.29 Toleo la 101. Mabadiliko hayo ambayo yalitolewa kupitia notisi Na. 538 yanabadilisha baadhi ya Kanuni za Maudhui Mtandaoni za mwaka 2018 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.