Sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (EPOCA), Namba 3 ya mwaka 2010 inamruhusu Waziri kuleta Kanuni za kusimamia maudhui ya mtandaoni.
Waziri mwenye dhamana ya Mawasiliano amesitisha matumizi ya Kanuni za Maudhui ya Mtandaoni Namba 133 ya mwaka 2018 zilizochapishwa mwaka mnamo Machi...
Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao
Kuna kitu nataka nikushauri kijana mwenzangu japo kwa uchache tu.
Binadamu tumeletwa duniani ili tuishi na tufurahie maisha lakini huwezi...
Hivi unatambua kuwa hizi ni ajira kubwa sana mtandaoni kwa sasa?
Authors, trainers, motivators, consultants, councillors, inspirers, and teachers in any field.
Kama una uwezo au ujuzi katika Mambo haya uwanja ni wako. Cha msingi ni kujiboresha na kutafuta connection kubwa ya watu...
Tulishazoea kila mara kumuona Panya Mjanja wa Mtandaoni ambaye kiukweli ameweza Kumhenya na Kumnyima kabisa Usingizi Paka Mbishi wa Magogoni pamoja na kutumia Mbinu zake za kila aina Kumnasa. Hata hivyo Sisi wapenda Kuwafuatilia hawa Maadui wakubwa wawili tumeshikwa na butwaa kuona tangia tarehe...
Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu.
Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu wa fani yangu, na watu wengi wakawa wanachangia maoni
Siku moja nikapokea text messenger kutoka kwa...
Ushawahi kujiuliza kwanini ukigoogle kitu inakuwaje kuna tovuti zinatokea juu na nyingine chini. Yani mfano unaweza kugoogle coronavirus, ikakwambia kuna majibu billion tatu sasa inakuaje kuna tovuti zinatokea page ya kwanza na nyingine page za huko mbele?
Ni wazi kuwa watu wengi husoma majibu...
Mchekeshaji huyo mwenye miaka 27 anashikiliwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay Jijini Dar na anahojiwa katika Kitengo cha Makosa ya Mtandaoni
Anashikiliwa baada ya kuwasili Kituoni hapo kufuatia wito wa Polisi na inadaiwa atahamishiwa Polisi Makao Makuu
Oktoba 2019, alikamatwa kwa kuhariri...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema hali katika mkoa huo inaendelea vizuri na anachofahamu ni kuwa wamemuomba Mungu na kila mmoja ameendelea kuchukua tahadhari
Amesema “Kila mmoja ameweka jitihada kuhakikisha amevaa barakoa, kwenye daladala tumehakikisha watu wanapeana nafasi, watu...
Matukio ya matumizi mabaya ya picha za watu mtandaoni yanaongezeka siku hata siku: Picha ya askari iliyochukuliwa katika mitandao ya kijamii ilitumika kumlaghai mwanamke mmoja huko Uingereza akatoa fedha zake nyingi na kuibiwa. Bloga mmoja alikuta picha ya familia yake inatumiwa kwenye tangazo...
Mwandishi wa habari, Ndg. Albert Sengo leo Aprili 23, 2020 amefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza na kushtakiwa kwa kosa la kutoa maudhui mtandaoni bila ya kuwa na leseni kinyume na Kanuni ya 14(1, 2) na 18: Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta (Maudhui Mtandaoni) za...
Sijui kama ni mfumo wa maisha umebadilika au lah.
Kumeibuka kundi kubwa la washauri wa mambo ya mahusiano huko mitandaoni hususasi facebook. Baadhi yao wanatumia majina ya Iddi Makengo, Chrisa Mauki na wengine wengi
Tatizo langu sio hao washauri, bali ni hawa baadhi ya watu wanaopeleka...
Najiuliza ni nin kimemsukuma Greyson Msigwa wa Ikulu kupost picha hizi katika mtandao wa twitter asubuhi ya leo?
Ameandika "kumbukizi" bila shaka akimanisha kumbukumbu.
Je,ni hivi hivi tu?
Upendo huu umeanza lini?
Hii hawezi kuwa ni damage control?
Wataalamu wa masuala ya usalama wamesema kuwa, mlipuko wa virusi vya corona umefanya wahalifu wa mtandaoni kutumia mwanya huu kutapeli watu pia.
Wahalifu wa mtandaoni wanawalenga watu binafsi pamoja na sekta mbalimbali kama usafiri, utalii,afya ,elimu, bima na shughuli nyingine.
Barua pepe za...
Nimekuwa mteja wa mtandao mmoja wa simu hapa nchini kwa zaidi ya miaka 20 sasa. Licha ya kupata huduma bora katika kipindi chote hicho, hata hivyo hivi karibuni nimekuwa Nikishuhudia wizi wa fedha nilizokuwa nikitunza kama akiba kwenye account yangu ya simu. Yaani unaamka tu asubuhi unataka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.