Habari wakuu,
Samahani nauliza ukinunua kitabu mtandaoni, halafu ukawa huna hela ya wao kukutumia Kama ni cha kutoka nje ya nchi unaweza ukakisoma kwa soft copy baada ya kununua?
Na pia, Kama kuna mtu anajua hivi vitabu Chemistry demystified 2nd edition vinapatikana wapi hapa Tanzania anijulishe.