mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Polisi wamsafirisha Niffer hadi Dar kutokea Dodoma baada ya kujisalimisha kufuatia agizo la Waziri Mkuu la kukamatwa

    Jeshi la Polisi limemsafirisha kwenda jijini Dar es Salaam mfanyabiashara wa mtandaoni, Jenifer Jovin maarufu Niffer baada ya kujisalimisha polisi jana. Mfanyabiashara huyo alijisalimisha kwa Jeshi la Polisi jana baada ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuagiza Jeshi hilo kumhoji kwa kosa la...
  2. Hii ni Brazil tusiyoonyeshwa mtandaoni

    Ndo maana mimi sio muumini wa hizi takwimu za WB na IMF kuhusu hali ya maendeleo. Nchi tajiri kama Brazil kuwa na barabara kama vile DRC inashangaza. https://www.facebook.com/share/r/poog7wqSU6Y4K2Dp/
  3. BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni. Meneja...
  4. Jinsi ninavyotengeneza pesa mtandaoni kwa kutumia ujuzi wa graphics design, na wewe unaweza kujaribu

    Unatafuta njia ya kubadilisha ujuzi wako kuwa pesa? kupitia Ujuzi wa graphics design unaweza kupata kipato online. Kama umewahi kufikiria jinsi ya kufanya kazi unayoipenda, ukiwa na uhuru wa kuifanyia mahali popote, basi makala hii ni kwa ajili yako. Katika ulimwengu wa leo, ujuzi wa...
  5. Hatua kali zichukuliwe kwa watoa Mikopo wa mtandaoni kama SWIFT FUND LOAN

    Nimesikitishwa na taarifa niliyopewa na jamaa mmoja aliyekopa kwenye hizi application zinazotoa mikopo kama hawa SWIFT FUND LOAN huenda hawana nidhamu, pia wanao waajiri ni vijana wasiojua namna ya ku handle wateja wao. Jamaa anasema walimdai kwa matusi siku 2 kabla ya deadline ya kulipa mkopo...
  6. Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni kutokea China. Nomba mwenye uelewa wa manunuzi mtandaoni anijuze

    Wakuu habari, Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe. Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe...
  7. B

    CHADEMA tovuti yenu mtandaoni haifunguki, sasa wanachama wanapataje taarifa?

    Hiki ni kipindi muhimu sana katika chama chochote cha upinzani hasa tunapoelekea uchaguzi Mkuu wa 2024. Lazima chama kionekane kipo active katika kipindi hiki muhimu kwa kwa kuhakikisha taarifa zake za mabadiliko ya kisiasa yapo muda wote kwa wananchi. Ndani ya tovuti kunakuwa na mawasiliano...
  8. Kwanini Atheists wako mtandaoni tu ila mtaani hawaonekani kabisa?

    Huku mtandaoni kuna atheists na agnostics wengi sana ila mtaani katika harakati zangu zote na socialization sijawahi kukutana na atheist hata mmoja! Hii imekaaje? Je Atheists wanaogopa kunyanyapaliwa kama mashoga hivyo kuamua kuishi maisha ya kifichi na usiri mkubwa?
  9. Benki Kuu yasema “Application 55 za Mikopo ya Mtandaoni hazijasajiliwa”

    Imeelezwa kuwa program tumizi (Application) 55 zinazotumika kutoa mikopo mitandaoni hazitambuliki na Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Hayo yameelezwa na Afisa Mkuu Mwandamizi wa BoT, Deogratius Mnyamani na kuongeza kuwa baada ya muda wa uhakiki kupita, Application hizo zitafungiwa kutoa huduma...
  10. L

    Chadema mteueni Lema awe mwenezi au msemaji wenu maana kila siku yuko mtandaoni

    Inaonekana Godbles Lema hawaamini akina Mnyika wala yule mkurugenzi wao yeye akiwa na hoja anaita press anaongea t, tena anaongea as if chama chake hakina wasemaji. Ukiwa na chama cha namna hii ni hatari sana, kesho john Mrema ataongea, kesho Mnyika ataongea, keshokutwa Lissu, keshokutwa yake...
  11. Polisi yakiri changamoto za Mikopo Mtandaoni, TCRA yajiweka kando yasema "haituhusu"

    UCHUNGUZI wa Nipashe umebaini baadhi ya namba za simu zinazotumika kudhalilisha wakopaji hazina utambulisho wa Tanzania, yaani ZIP CODE +255. Katika ufuatiliaji wake, mwandishi alibaini kuwa kwa siku mtu mmoja anaweza kupigiwa simu na watu 10 tofauti wakizungumza jambo tofauti juu ya mkopo...
  12. S

    TCRA, acheni kujitetea kuhusu mikopo ya mtandaoni; je, hamna uwezo wa kuagiza makampuni ya simu kutosajili lipa namba wanazotumia kupokea marejesho?

    Watanzania, tufike mahali tujiulize swali hli dogo tu: Mikopo ya mitandaoni hutolewa kwa wateja kutumiwa hela kwenye simu zao na zaidi marejesho hutumwa kwa haya makampuni kwa kutumia lipa namba za mitandao ya simu. Sasa kama mpaka wanakuwa wamesajili lipa namba kwenye menu ya mitandao ya simu...
  13. Msaada: Kuna namna nyingine ya kupata namba ya NIDA bila ya kwenda ofisini kwao?

    Eti wakuu, Kuna mtu humu amefanikiwa kupata namba ya NIDA kwa kujiandikisha online tofauti na kwenda kabisa kwenye ofisi zao? NIDA Tanzania
  14. W

    Unamlindaje Mwanao Mtandaoni?

    Namna ya Kulinda Usalama wa Watoto Mtandaoni 1. Zungumza na mtoto juu ya matumizi sahihi na salama ya mtandao 2. Mfundishe mtoto kuhusu taarifa binafsi na namna ya kuzilinda 3. Weka mipaka ya mambo ambayo mtoto anaweza na hawezi kuyafanya mtandaoni. 4. Muhamasishe mtoto kutoa taarifa endapo...
  15. B

    Kampuni ya mikopo ya Pesa X hawana lugha nzuri kwa wateja

    Pesa X jamn hawa watu wa mikopo hawana lugha nzuri wanatumia lugha chafu vitisho mtu anaambiwa atalipa tar 28 yote na apo imepita siku 2 sms za vitisho kama vyote. Mimi naomba mamlaka husika hawa watoa mikopo online zipunguwe kama hawa watu wanaoitwa Pesa X hawana lugha nzuri kabsa.
  16. Ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni

    Mwezi wa Uhamasishaji wa Usalama wa Mtandaoni si kwa watu binafsi tu—pia ni wakati muhimu kwa biashara na mashirika kutathmini upya mikakati yao ya usalama wa mtandaoni. Mashambulizi ya kimtandao kwa biashara yanaweza kuwa na madhara makubwa, ikiwa ni pamoja na wizi wa data, athari za kisheria...
  17. Ushauri wa kuagiza bidhaa mtandaoni

    Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k ila kunakitu kinanitatiza je kwa huku mkoani nitaupokelea wapi bila ya mimi kufika dar, na je hawa...
  18. Viashiria /dalili 6 vya kujua kuwa unatapeliwa mtandaoni

    Unajisikiaje, unatafuta pesa mingi na Kujikusanya alafu mtu anakuja kukuibia Kirahisi tu. Inaumiza eeh! Hivi karibuni nimekuwa nikipata malalamiko mengi kutoka kila kona ya Tanzania. Hapa naamanisha unaweza kuipenda bidhaa fulani wewe upo mkoa A na unamtumia muuzaji mkoa B alafu baada ya...
  19. O

    Unafanyaje kuendesha biashara ya mtandaoni inayohusisha utoaji wa huduma fulani hasa kwenye uaminifu?

    Assume unatangaza kazi zako kutokea mikoani kwenye social media hupati wateja kwenye mkoa wako, hatimaye wengi hutoka Dar. Je, unawezaje kuwafanya wakuamini hasa wale wanaohisi kutapeliwa kila siku na huenda washatapeliwa Je, uhamie Dar wakati bado unajijenga au ufanye kipi? Vipi huko. Baadae...
  20. Nimeilipia huduma mtandaoni kwa M-PESA visa, dollar 1 ni sawa Tsh 3,000

    Kama kichwa cha habari hapo juu Nimeilipia huduma Fulani mitandaoni naona gharama ni kubwa sana ni kwamba voda huwa wanakata makato yao wa huduma ama ndio hali iliyopo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…