mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Naomba Ushauri: Nifanye nini niweze kuingiza Pesa kwa kutumia huduma za Intaneti? Isiwe Betting au Forex

    Wakuu. Natamani kuingiza hela kwa upande wa internet naombeni msaada kwa wabobevu hata elfu 5 kwa siku Toa Forex, betting
  2. Last_Joker

    Kutoka Kwenye Magazeti Hadi Blogu: Kwanini Kujua Kuandika Mtandaoni Ni Ujuzi wa Thamani Zaidi Leo

    Wakati fulani nyuma, habari na hadithi zetu zilikuwa zinatoka tu kwenye magazeti na vitabu. Lakini sasa, mambo yamebadilika sana. Uandishi wa mtandaoni umekuwa na nafasi kubwa, na kama bado hujui thamani ya kuandika kwa ajili ya mtandao, basi bro, unapitwa na mambo mengi! Siku hizi, kila kitu...
  3. Mad Max

    Ku-save pesa unapotaka kununua gari mtandaoni kutoka Japan

    Wakuu, Kwa mtu ambae anataka kununua gari mtandaoni kutoka Japan na pia anataka ku-save pesa kidogo, leo kuna kitu kidogo sana nimeona tushirikishane. Sio kitu cha ufundi, ila ni patience. Ukiwa unafanya survey ya gari, ukishachagua model unayotaka, nashauri usikimbilie kulipia hapo hapo. Jipe...
  4. W

    Weka 'Alerts' Google ili upate ujumbe kila taarifa zako zinapoandikwa mtandaoni ili Ujilinde kwenye Mitandao

    DIGITAL SECURITY: FUATILIA TAARIFA ZAKO KUJILINDA MTANDAONI Jinsi ya Kuweka Arifa za Google ('Google Alerts') Ili Kufuata Jina Lako au Taarifa Zako Zinapowekwa Mtandaoni: 1. Tembelea 'search engines' kama 'Google' kisha andika Google Alerts 2. Andika jina lako au taarifa unayotaka...
  5. Chachu Ombara

    Iringa: Polisi yakana madai ya kada wa CHADEMA, Vitus Nkuna kushambuliwa na wasiojulikana barabarani, yasema alisababisha ajali kutokana na ulevi

    Jeshi la Polisi mkoani Iringa limemkamata kada wa Chadema, Vitus Nkuna kwa kusababisha ajali mnamo Septemba 30, 2024. Kamanda wa Polisi, SACP Allan Bukumbi, ameeleza kuwa Nkuna alikuwa anaendesha gari akiwa na kiwango kikubwa cha ulevi, hali iliyosababisha kugonga gari la kampuni ya KINGS. Hata...
  6. jikuTech

    Jinsi ya Kutengeneza Soko lako mtandaoni

    Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online Kipengele muhimu usifanye kujaribisha Zingatia sana Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
  7. milele amina

    Ukweli: Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha

    Pave Ayo Blog ni chanzo kinachopaswa kuondolewa mtandaoni kutokana na kueneza habari za kupotosha. Tovuti hii imejikita katika kutoa taarifa zisizo sahihi na za kupotosha, ambazo zinaweza kuathiri mtazamo wa jamii na kuleta machafuko. Habari zinazotolewa kwenye blogu hii mara nyingi haziwezi...
  8. Mr_mkisi

    Tumia Incognito Kwa Usalama wako Mtandaoni

    Je, umewahi kusearch vitu Mtandaoni ambavyo hupendi mwingine akishika simu yako aone ? Mfano Ukaingia google kwenye website fulani au taarifa fulani alafu taarifa zako zikabaki hapo (search history) na mwingine akashika simu yako akaona ulichokuwa unakitafuta mtandaoni. Kuna mambo mengine huwa...
  9. Lady Whistledown

    Ripoti: Wanawake walioko katika Jicho la Umma wanapitia zaidi Ukatili wa Mtandaoni

    Ripoti ya UNESCO "The Chilling: Global Trends in Online Violence Against Women Journalists" inaeleza kuwa wanawake wanaojulikana hadharani kama waandishi wa habari, watetezi wa haki za binadamu, wanaharakati, na wabunge wanakumbwa na viwango vya juu vya ukatili wa mtandaoni. Takwimu zinaonyesha...
  10. Ojuolegbha

    Tanzania na Saudi Arabia kushirikiana kudhibiti Uhalifu Mtandaoni

    TANZANIA NA SAUDIA ZAINGIA MAKUBALIANO KUDHIBITI UHALIFU Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini hati ya makubaliano na Serikali ya Saudi Arabia makubaliano ambayo yanaenda kugusa sekta mbili muhimu za usalama ikiwemo udhibiti wa makosa mbalimbali ya uhalifu kwa kutumia utaalamu na...
  11. D

    TCRA Polisi wako wapi watu wanaibiwa kupitia hii mikopo mtandaoni? Jerry Silaa msaidie Rais

    Kuna wimbi kubwa sana la matapeli likitumia majina ya watu maarufu km Mohamed Dewji(MO), Tulia Ackson, Jokate Mwegelo n.k. Hawa watu ni matapeli na wana mtandao mkubwa, unakuta kwenye comments wanashukuru kuwa wamepata mikopo kumbe ulaghai ili uiingie mkenge. Namna ya kukuingiza mkenge...
  12. Lady Whistledown

    Wazazi, mnawalindaje Mabinti wenu dhidi ya Ukatili Mtandaoni?

    Fikiria mtandao kama mji mkubwa wa kidijitali, ambapo kila kona kuna watu, mitaa na maduka ya kila aina. Kama vile wazazi wanavyowaongoza mabinti zao wanapotembea mtaani kwa mara ya kwanza, ndivyo wanavyopaswa kuwaongoza kwenye mji huu wa kidijitali. 1. Kutambua Vitisho: Kama vile...
  13. Manyanza

    Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  14. Lady Whistledown

    Kuwa mkweli, ukikuta mwanamke ananyanyaswa mtandaoni utaingilia kumsaidia?

    Katika ulimwengu wa sasa, wanawake wanazidi kutumia mtandao kuonyesha vipaji vyao, kushiriki mawazo yao, na kuunganisha na jamii. Lakini pamoja na hayo, unyanyasaji mtandaoni umekuwa tatizo kubwa linalowazuia wanawake wengi kujieleza kwa uhuru. Je, unafikiria nini unapoona mwanamke...
  15. robbyr

    Utapeli mtandaoni unawaumiza wengi

    Naomba nieleze kwa ufupi. Kukua kwa teknolojia kunasaidia mambo mengi kukua ikiwemo biashara. Ila hivi karibu kumekuwa na utapeli dhahri mfano kwa hapa Tanzania. Kumekuwa na wafanya biashara kutoka upande wa Zanzibar hasa Pemba wakiuza vitu bei ya chini mbali na uhalisia mfano laptop. Ambapo...
  16. Lady Whistledown

    Kwa nini wanawake wanashiriki kuwanyanyasa wenzao mtandaoni?

    Wakuu, Huu msemo wa adui wa Mwanamke ni Mwanamke tunaushuhudia sana mtandaoni Yaani Mdada akipost kavaa kakimini kake sjui, mwenzie ndo atakuja kumwambia "Unavaa hivyo na vimiguu kama unacheza Judo"🤣🤣🤣🤣 Hawana huruma hata kidogo. Jamani huu ni unyanyasaji, unaitwa Body Shaming Lakini wengine...
  17. W

    Unatumia Mbinu gani kuimarisha Usalama wako Mtandaoni?

    Imarisha Usalama wako Mtandaoni kwa kufanya yafuatayo; a. Sasisha (Update) Kivinjari chako kila linapotoka toleo jipya. Unaweza kuruhusu Kivinjari kiweze kujisasisha 'automatically' b. Tembelea tovuti zenye alama ya ‘kufuli’ au zenye 'HTTPS' c. Pakua majalada (files) au Programu Tumizi (Apps)...
  18. justhussayn

    Napendekeza cheti cha NECTA kipatikane mtandandaoni ili kuepusha usumbufu

    Moja ya mambo yanayosumbua ni mtu kufatilia upatikanaji wa cheti chake, either cha form four au cha form six. Sasa kuna watu wamesoma mkoa wa tofauti na makazi yao. Mfano, mtu amesoma Dar lakini ni mkazi wa Njombe. Badala ya kumpa usumbufu mtu huyo kutoka nNjombe kwenda Dar akafate cheti, heri...
  19. Wakusoma 12

    Serikali yashindwa kuchukua hatua dhidi ya wakopeshaji wa Mtandaoni? Utafiti: mmoja Kati ya Watu 200 wanaodhalilishwa hujiua

    Kwa ufupi ni mambo ya hovyo sana, watu wanaweza kuchukua taarifa zako na kuzisambaza mtandaoni!. Watu wanasema dawa ya deni kulipa ila si kwa kudhalilishana pale mtu anaposhindwa kulipa. Ndugu yangu amefadhaika sana baada ya kampuni moja ya mtandaoni kumsambazia jumbe za kumdhalilisha. Kweli...
  20. W

    Fahamu madhara unayoweza kupata kwa kuweka mtandaoni picha ya tiketi yako ya ndege?

    Kumbuka kila unapo post Ticket yako ya Ndege unahatarisha usalama wako kama ifuatavyo a. Kwa kutumia Msimbo Pau (Barcode) ya tiketi, Wadukuzi wanaweza kupata taarifa zako na kuzitumia kukufanyia Ulaghai (Phishing). b. Ni rahisi mtu kubadilisha au kuahirisha safari yako kwani anahitaji jina na...
Back
Top Bottom