Pasipo kupepesa macho, airtel ni moja ya mtandao ambao matapeli kila itwayo leo huutumia kutuma sms za kila aina, mpaka muda huu sijajua tatizo ni nini??
Natumia mtandao wa tigo pia, kwakweli nisiwe mnafiki nakaa mpaka miezi 6 yaan huwezi kuona sms yeyote ya kitapeli, sijui tuma kule, mimi...
Nimepitia mchakato mzima ni jinsi gani Mo allimilikishwa hisa zake 49%,
Nimebaini Mo alilipia hisa zake zote,
Katika asilimia 51% zinazomilikiwa na wanachama ni asilimia 10% tu ndizo zilizolipiwa zinazobaki 41% hazijalipiwa.
Kampuni ya Mo Simba yenye 49% ndiyo inayoilea na kuirisha simba kwa...
Fursa muhimu sasa katika kufanya biashara ni kwa kwa kutumia mtandao wa internet.. Dunia inakadiriwa kuwa zaidi ya watu bilioni moja hununua kwenye internet. Hapa Tanzania kulinga na tovuti ya Statista hadi kufikia January 2024, karibu asilimia 18.9 ya watanzania walifanya manunuzi na kulipa...
Habari wanajamvi,
natumaini mmeamka salama. Mimi pia, nipo kwenye computer yangu nachapisha haya maneno.
Katika pitapita zangu, nilikutana na hili swali leo asubuhi, kwenye X account ya rafiki yangu mafolebaraka
Nkatamani kulijibu kwa post kadhaa, kuanzia hili la leo.
Binafsi, sijaajiriwa...
Maono ya Kibunifu kwa Kozi za Mtandaoni kwa Tanzania: Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Utangulizi
Katika ulimwengu wa sasa unaoendeshwa na teknolojia, elimu ya mtandaoni imekuwa njia muhimu ya kuwapatia watu ujuzi na maarifa. Hata hivyo, Tanzania bado inakabiliwa na changamoto katika kutambua na kukubali...
Cargo system mtandao ni mfumo wa teknolojia ambao unawezesha kusafirisha bidhaa kutoka sehemu moja kwenda nyingine kwa njia ya mtandao. Inaweza kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kielektroniki kama vile data, video, na picha, au kutumika kwa kusafirisha bidhaa za kawaida kama vile nguo, vifaa...
Habari wana jamii, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Mim kijana wenu nimerudi tena baada ya matatizo ya kiafya na mshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa afya nyingine
Kijana wenu nimekuja kwenu natafuta gari ya kwajili ya kufanya biashara ya tax mtandaoni.
Natumain ombi langu nitapatikana...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi nikaachwa nimesimama. Kibaya zaidi hata kwenye gari hakushuka. Sikuweza kujua yule kijana alikuwa nani...
Kumekuwa na wimbi kubwa sana utapeli, wizi na machapisho ya aibu (explicit pornography) kwenye mitandao ya kijamii hususan facebook. Tumeona account za watu aidha zikitumia kurusha maudhui haya kwenye magroup mbalimbali au hata kupitia account zao wenyewe na kuwa-tag wengine.
Mara zote account...
Tuwe makini na watu wanaoandaa taarifa za video kama ya huyu anaye 'trend' kwa video ya madai kuwa eti anafanya mapenzi na nyoka Ili kupata hela pamoja na video zingine zenye mlengo aina hii.
Napenda KUIKUMBUSHA jamii kuwa:
Ni kosa la jinai chini ya Kanuni ya Adhabu , Sura ya 16 ya Sheria za...
Kuna mtu namjua na kumfahamu vilivyo, ni kijana msomi ana elimu nzuri ila kawa chawa,
Kila timu inapokwenda kucheza na yeye huenda, ni miongoni mwa wale vijana wa kibegi cha makombe na kapu la magoli, na anamulikwa sana na camera za azam, ana kitambulisho maalumu, anapewa mpaka access ya kupiga...
Habari za majukumu wadau, naomba nizame kwenye maada moja kwa moja
Wiki iliyopita nikiwa kwenye harakati za kusaka tonge mara nikasikia mlio wa message WhatsApp kwa kuwa simu ilikuwa kimya kwa muda mrefu chap nikaitoa mfukoni nikafungua message nikakutana na namba mpya code +27 nilijua tu hii...
Serikali yetu imeacha hawa wezi watusumbue. Naapa kuwashitaki.
Kuna kampuni nyingi kwenye mitandao inachukua taariza maskini watanzania na kuwakopesha kwa nguvu huwadai pesa nyingi kama rejesho.
Nitakufa na mtu...twiga loan kaeni tayari I will ....@%&you
Habari,
Nimeona tangazo Mtandaoni linadaiwa kutolewa na NEC, kwamba wametangaza nafasi za kazi ya uandishi wa daftari la kudumu la wapiga kura Mwaka 2024. Kinachonipa wasiwasi naona kama tovuti hii si rasmi.
Ukweli wake upoje?
Kuna watu kama Kigogo, Mange, Sukununu n.k ni watu ambao walivuma wakiitukana viongozi mtandaoni na kupata umaarufu kwa nyakati tofauti, na viongozi na wanachama wa CHADEMA wamekuwa wakidandia upepo wao japo baadae watu hawa wanakuja kuwageuka na kuwatukana na kudhalilisha viongozi wa CHADEMA...
Jamii naomba tusaidiane kuelimisha juu ya utapeli unaofanyika hasa kwa mtandao wa facebook kwa kutumia jina la UNICEF.
Utapeli huu sasa umekithiri na watu wengi sana wanaendelea kuumia juu ya utapeli unaofanyika na kikundi kinachotumia jina la UNICEF na kudai kuwa wanatoa msaada wa fedha mara...
Habari za mapumziko wote mtkaopata nafasi ya kusoma hii thread
Mada yangu inahusu makampuni au mitandao inayotoa mikopo online, ambayo wengi kwa namna moja ama nyingine wameweza kupata usumbufu. Sio lazima uwe umeshakopa hata pia matangazo yao unapojaribu kuingia kwenye Mitandao mingine...
Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri.
Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
Ni jambo ambalo limenifanya nifurahie sana hii sikukuu ya Eid. Huko X (Twitter) kuna vita kali baina ya makada wa chama cha Mbowe. It's Fredy Justine against Ntobi & Martin Maranja. Vita ni kali sana. Ntobi na MMM wanaporomosha matusi mazito kwa kada mwenzao Fred ambapo Fred nae hajakaa kinyonge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.