Ndugu wanajamvi, Asalaam Aleikhum.
Kama kichwa cha habari kilivo hapo juu nimejikuta na kuwa mhanga wa hawa matepeli wa APP za mitandaoni. Iko hivi kuna mtu ambaye ninafahamiana naye ama ni mtu wangu wa karibu ktk familia, kwa utashi wake binfasi alikopa kwa hawa jamaa, alikopa lini na kiasi...
Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo.
1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili ku-‘download’ na ku-‘install’ app ya kampuni husika.
2) Wakati wa ku-‘install’, ile app inakuomba...
Huenda ni mimi nilifanya makosa kwa kutopitia terms & conditions vizuri ila hawa jamaa walicho nifanyia ni uzalilishaji mkubwa sana.
Kuna app moja mtandaoni (play store) inaitwa "PESA M FINANCE".
Hawa jamaa walinikopesha elfu 42 mtandaoni kwa muda wa siku 7.
Siku jana nilitakiwa ndiyo nilipe...
Kukua kwa utandawazi kumepelekea wimbi la uzwalishwa wa taarifa potofu kuongezeka zaidi licha ya kuwepo tangu awali.
Katika kukabiliana na wimbi hili zipo njia mbalimbali ikiwemo kuhakiki chanzo cha taarifa na kuuliza kwenye jukwaa la uhakiki kama hili la JamamiiCheck.
Huwa unatumia mbinu gani...
Kwenye pitapita zetu mtandaoni au nje ya mtandao tunaona machapisho na kusikia vitu vingi, vingine vinashawishi kuviamini kabisa ila baadaye unakuja kugundua havina ukweli wowote.
Je, ni kutu gani umewahi kukutana nacho ndani na nje ya mtandao kakiamii ila ukaja kujua siyo kweli baada ya...
Haya maisha kuna muda yana maswali magumu kama sio kigugumizi miezi kama sita sasa nimedate na manzi raia wa canada ila ana asili ya kenya ndoa yake imefeli 2021 na baada ya talaka kutoka akaamua kuishi mwenyewe na watoto wake wawili sasa toka tumeingia kwenye mahusiano muda mwingi ananisisitiza...
Siku hizi teknolojia imekua kiasi kwamba sio lazima umtongoze mwanamke barabarani sababu kuna mitandao mbalimbali ya kijamii ambayo ina wanawake wazuri wengi tu wenye maumbo na rangi tofautitofauti.
Ingawa wapo wanaofanikiwa kwa kuanzisha mahusiano na yanadumu ila wengi huanzisha mahusiano...
Ukiingia kwenye huu mfumo wa Tausi kupitia tausi.tamisemi.go.tz una vitu vingi sana ndani japo vingine naona havifanyi kazi.
Nimefurahishwa sana na uuzaji wa viwanja ambapo unanunua kiwanja unakiona kwenye ramani kama ilivyo google map, tofauti na ile ya kwenye karatasi. Wengi tuna viwanja...
Nimeandika kitabu cha hisabati Kwa shule zinazotumia lugha ya kingereza, lakini changamoto ni Soko. Naomba mwenye uzoefu wa kufanya na kutangaza biashara mtandaoni anipé uzoefu au namna bora ya kufanya biashara ya academic books. Nipo Arusha.
Paul Kagame anaelewa thamani ya taswira inayoonekana. Anapenda kupigwa picha akiwa na sura ya furaha akimkabidhi mtu mashuhuri katika Kongamano la Kiuchumi la Dunia huko Davos - mwezi huu, Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy.
Hilo linaendelezwa tu kwa kurejea nyumbani kupiga selfie na...
Wakuu hadi sasa hivi nimelimwa block kwenye page kadhaa mitandaoni sababu kubwa ni kuwa na mawazo tofauti. Hizi ni baadhi ya page ambazo nimepigwa block;
1. Malisa GJ - huyu kanilima block Instagram, Facebook na Twitter (X). Hataki kabisa kupingwa au kukosolewa.
2. Martin Maranja Masese - huyu...
Nimemjua kupitia Youtube, amenifunza mengi kwa video zake kuanzia jinsi ya kuishi na watu, uhalisia wa maisha, mahusiano uchumi na kadharka, kifupi hakua ameacha kitu. Ingawa kuna baadhi ya mambo machache sikua nakubaliana nae lakini amenifunza mengi sana.
R.I.P Gonzale Lira a.k.a Coach Red...
Kupigia kura mtandaoni imekuwa njia yenye urahisi mkubwa katika michakato ya kupiga kura kipindi cha uchaguzi, baadhi ya nchi haswa za ulaya, nchi za Baltic kama vile Estonia, zimetumia njia hii tangu mwaka 2005.
Hii njia inapunguza kupoteza muda ikilinganishwa na mfumo wa kura za jadi...
Utafiti Tovuti ya FBref.com inayojihusisha na takwimu za michezo mbalimbali, umeonesha nyota wa Inter Miami, Lionel Messi ndiye mchezaji wa soka aliyetazamwa mara nyingi mtandaoni katika Nchi mbalimbali kwa Mwaka 2023.
Utafiti huo umeonesha mafanikio ya Kombe la Dunia na uhamisho wake kutoka...
Last week niliandika Uzi hapa kuhusu namna unavyo weza kutengeneza pesa, network na connection kwa kufanya kazi ya KUBADILISHA UPEPO kuhusu watu wanao tuhumiwa au nyooshewa vidole na jamii kuhusu mambo mbalimbali.
Leo nimefanya jambo hilo kwa vitendo na nimekuwa monetary rewarded.
Ni hivi...
Wakuu,
Uzito uliopitiliza, shape na nguvu za kiume na mambo ambayo yanasumbua sana watu na kuna baadhi wako radhi kufanya chochote ili atimize moja la hitaji lake hapo juu.
Dawa hizo nyingi hazitambuliki na mamlaka za dawa na chakula, wanaokuuzia wengi hawajui zimechanganywa na nini, na hata...
Kama mtu haujawahi kukutana nae uso kwa uso usijiaminishe kwamba unamjua. Wewe unamjua kwa namna ambayo ametaka wewe umjue na asilimia nyingi huyo unayemjua ni mtu ambaye ni wa kisadikika hayupo (Fictional character).
Unamjua kupitia mtandaoni na picha unazo amekutumia lakini ukitaka kuonana...
Upotoshaji kwa kutumia jina ni kitendo cha kutumia jina la mtu, kundi, taasisi au kampuni ambayo si wewe na kulifanya kama lako. Upotoshaji wa jina mara nyingi huwalenga watu, kampuni au taasisi maarufu ili lengo la mpotoshaji litimie kwa urahisi.
Upotoshaji wa jina umekithiri sana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.