Kwanini Tundu Lissu hakukamatwa kimtandao kama kesi ni ya mtandaoni ?

Kwanini Tundu Lissu hakukamatwa kimtandao kama kesi ni ya mtandaoni ?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Jengo la mahakama tunalo na nafasi ipo tele ya kutosha ya kuingia wanasheria na mthumiwa na watu wengine, sasa kuna sababu gani za kesi kuendeshwa mtandaoni kwani mahakama imefurikwa na mafuriko ? au jengo lime waka moto au kuyayuka ?

Kama kesi ni ya kimtandao kwanini Lissu asikamatwe mtandaoni ?
 
Back
Top Bottom