Vitu gani unazingatia unapoanzisha mahusiano na mtu mtandaoni ili kuepuka kutapeliwa?

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online:

-Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall
-Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela
-Mtu anaeniuliza taarifa zangu binafsi, nablock
-Naangalia kama taarifa zake ziko kwenye mitandao mingine ya kijamii
-Mtu analazimisha uende kwake hata hamjazoeana vizuri
 
Watoto wa kibantu wana njaa za ajabu sana
Kweli... Mi nakaaga hata miezi na miezi sijatongoza,maana Hawa Viumbe Ukisemesha tu, matatizo kibao shida za kutosha, Kila mara anaomba Hela.
 
Kwa usalama wa moyo wako usianzishe mahusiano mtandaoni
 
Kweli... Mi nakaaga hata miezi na miezi sijatongoza,maana Hawa Viumbe Ukisemesha tu, matatizo kibao shida za kutosha, Kila mara anaomba Hela.
Kwel kabisa kutongoza tu ni kujiongezea tu wategemezi , kupiga kimya ni kujiepusha na matatizo
 
usitume hela yoyote, hata akitaka mkutane atumie hela yake kufika eneo la tukio
 
Kwel kabisa kutongoza tu ni kujiongezea tu wategemezi , kupiga kimya ni kujiepusha na matatizo
Kweli Ndugu, maana unakua umesave pesa Nyingi sana, na kufanya mambo yako Muhimu.
Mwanamke mahusiano amechukulia kama Source of income, pia mentality ya mwanamke yeye ni mtu wa kupewa mda wote,anachotoa yeye ktk mahusiano ni K tu hakuna la ziada.
 
Redflags zangu nikijaribu kuwa karibu na mtu ninakutana nae Online:

-Akiwa mtu wa kukwepa mkutane au hataki kabisa videocall
-Hata hamjazoeana anaanza kukuomba au anataka umkopeshe hela
-Mtu anaeniuliza taarifa zangu binafsi, nablock
-Naangalia kama taarifa zake ziko kwenye mitandao mingine ya kijamii
-Mtu analazimisha uende kwake hata hamjazoeana vizuri
CC: Bushmamy
 
Back
Top Bottom