mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  2. B

    Nchi imefunguliwa, matapeli wa mtandaoni wanawalenga maprofesa

    Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
  3. Kibenje KK

    Utapeli mtandaoni kutoka Mtanzania anayeishi Dubai

    Hakuna kitu kinarudisha Nyuma maendeleo ya wafanyabiashara wengi kama utapeli wa Mtandaoni. Mtu unafanya kazi unajikusanya alafu mtu anakuja kukutapeli. Nimekutana na tapeli ambaye anaishi Dubai na kazi yake ni kutapeli Watanzania kwa kudanganya kuwa anauza magari. Ametutapeli zaidi ya watu...
  4. R

    Unajua unaweza kuwa chanzo cha kuharibu maisha ya baadaye ya mtoto wako kwa kuweka picha/video zake mtandoni?

    Wakuu, Imekuwa ni kawaida au tuseme fashion kwa wazazi/walezi kupost picha au video za watoto mtandani. Picha au video hizo zinaweza kuwa za vichekesho, matukio mbalimbali ya maisha au mtoto anaambiwa afanye tukio fulani huku akirekodiwa na kisha kupostiwa mtandaoni au hata vitendo vya aibu...
  5. Isanga family

    Dkt. Mwigulu Liangalie kwa Mapana Zaidi Suala la Kodi Kwenye Matangazo ya Biashara Mtandaoni

    Mwigulu nadhani ungeangalia hilo kwa mapana zaidi maana wewe upo kwenye kodi mpya mpya kila siku za kudumaza maendeleo nimeshangaa wengine wapo busy kwenye kuitangaza Tanzania kwenye biashara ya utalii na wewe unakuja na kodi kwenye matangazo sidhani kama pana kampuni za utalii zitapata wateja...
  6. R

    Serikali kuanzisha mfumo wa kidigitali kukusanya kodi kwenye matangazo ya mitandao ya kijamii

    Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango wakati anawasilisha Bajeti ya 2023/2024 amesema kutokana na ukuaji wa teknolojia, biashara nyingi zinafanyika mtandani na hivyo matangazo yanayofanywa kukuza bishara hizo kwenye mitandao ya kijamii kama Instagram, Facebook, Twitter na blogs mbalimbali...
  7. Tanzanite Digital Agency

    Jinsi Ya Kuanza Digital Marketing 2023, Anza Leo Fursa Hii Ya Mtandaoni

    Digital Marketing - moja ya mada zinazotajwa sana haswa katika fursa za mtandaoni. Wafanyabiashara wengi wanasifu kuwa ni njia muhimu sana katika ukuzaji wa biashara. Kitu ambacho vyuo vingi vimeanza mafunzo ya kozi za digital marketing, lakini hii haimaanisha ni lazima uwe na college degree...
  8. Escotter20

    Ushauri: Naacha chuo nijikite biashara ya sarafu mtandaoni FOREX

    Habar wakuu Mimi ni mwanafunzi wa kozi ya technical education in electric and electronics eng, umri wangu 23yrs Nimekuja hapa kuomba ushauri, nimefanya uchunguzi wangu wa kina kwa miaka5 pamoja na kutafuta maarifa baada ya kujaribu forex nimeona Ina manufaa kwangu... Hivyo nimekuja kuomba...
  9. Suley2019

    Utafanya nini ukikuta picha, video au jambo lako la aibu limevuja mtandaoni?

    Salaam ndugu zangu, Katika harakati zetu za maisha tunakutana na tunafanya mambo mengi sana. Kuna baadhi ya matukio tunayoyafanya tunatamani yajulikane na mengine tunatamani yabaki kuwa siri. Kutokana na kukua kwa teknolojia kwa sasa ni rahisi baadhi ya matukio yetu ya faragha kunaswa kwenye...
  10. L

    Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  11. L

    Fasihi ya Mtandaoni ya China yaleta mageuzi makubwa na kupanua soko lake la wasomaji hadi nje ya nchi

    Fasihi ya Mtandaoni ya China imefanikiwa kukonga nyoyo za wasomaji duniani kote kutokana na mtindo wake wa kipekee wa kusimulia hadithi, mandhari na kuchanganya mambo tofauti ya kitamaduni. Inatoa mtazamo mpya na unaovutia juu ya fasihi ya China, inayozingatia mambo mbalimbali yanayoteka...
  12. D

    Nadizaini logo ambazo zinaambatana na offer kadhaa kama letter head (MS Word) pamoja na dizaini ya business card au tangazo la kupost mtandaoni

    Habari? Nafanya Ubunifu wa Logo katika ubora unaoridhisha.. na pia unapata na offer ya letterhed Design na Business card au Tangazo la kupost mtandaoni. BEI ZA LOGO 80K= Logo+B Card+Letter head (Softy Copy) 70K= Logo+B Card, Letter head au Tangazo (Softy Copy) kimojawapo 60K= Logo pekee BEI ZA...
  13. Mwl.RCT

    SoC03 Kuimarisha Ushiriki katika Majadiliano ya Mtandaoni kupitia Saikolojia ya Biashara na Mtazamo Chanya

    KUIMARISHA USHIRIKI KATIKA MAJADILIANO YA MTANDAONI KUPITIA SAIKOLOJIA YA BIASHARA NA MTAZAMO CHANYA Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Je, umeshawahi kujihusisha katika majadiliano ya mtandaoni lakini hujui jinsi ya kufikia malengo yako? Biashara na majadiliano ya mtandaoni vina uhusiano...
  14. African Geek

    Niendelee na Elimu ya chuo au nijiendeleze mwenyewe mtandaoni?

    Yes
  15. mohamed habibu

    Dereva Tax mtandaoni. Natafuta kazi

    Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara. Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae makazi yangu ni jiji la Dar es Salaam ombi langu kubwa natafuta gari la kupeleka hesabu kwa boss...
  16. Black Opal

    Unafikiri ni kwanini hutakiwi kuanika maisha yako binafsi mtandaoni?

    Habari Wakuu, Wengi tumekuwa tunapokea ama kutoa ushauri kwa watu kuacha kuanika maisha yao binafsi mtandaoni. Baadhi wanaelewa huku wengine ikionekana maneno yanaingia sikio moja na kutokea jingine. Baadhi wamepata madhara kwa kuanika maisha yao mtandaoni huku wengine wakifaidika na hilo...
  17. Sambazah World

    Unafikiri Tanzania imefikia sehemu unaweza kununua bidhaa na huduma mitandaoni kwa urahisi?

    Je unapitia changamoto zipi unaponunua bidhaa mtandaoni? Je nini kifanyike kusuluhisha suala hili kwenye nchi yetu Tanzania?
  18. Stephen Ngalya Chelu

    Je, Ukifungua sanduku la posta mtandaoni unaweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo?

    Wakuu, Nimeingia kwenye tovuti ya posta nimeona kuna sehemu wameandika kufungua virtual box. sasa nilikuwa nauliza je, kama nikifungua naweza kupokea mzigo kupitia sanduku hilo? Natanguliza shukrani.
  19. Qzam

    Ziko njia sahihi za kuingiza kipato mtandaoni

    Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji. Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za mtandaoni. Mtandaoni kuna pesa kikubwa upate njia sahihi za kufanya, tuache woga wa uthubutu na kuziba...
  20. beth

    Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni: Ujuzi na Gharama zatajwa kukwamisha wengi

    Ili kuongeza Ushiriki wa Wanawake Mtandaoni, Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Nathan Belete amesisitiza umuhimu wa Mafunzo ili kuwapa Wasichana Ujuzi wa Kidigitali Ameshauri wigo wa upatikanaji wa Intaneti uongezeke, na gharama ya Huduma hiyo iwe nafuu ili kuwafikia Wanawake wengi zaidi...
Back
Top Bottom