Juzi nilikuwa napitapita Insta kweny page za entertainment za Nigeria, aisee jamaa wanasema sana, wanamsimanga hadi nilijisikia vibaya.
Mimi sio kwamba mshabiki sana wa diamond, ila nikiona mtanzania mwenzangu, mpambanaji mwenzangu na kijana mwenzangu anasemwa na kutukanwa roho inauma sana...
Ni starehe binafsi kwajili ya kuvuta, kifaa hiki kinaitwa bong, waweza vutia kilevi kama tumbaku, naweza kukipata wapi hapa bongo ? nahofia kuagiza maana kimekaririwa kutumika kwenye kuvutia Marry Jane, nisije pigwa maswali nikienda kukichukua.
Sababu yangu ya kuhitaji bong ni kwamba hii ndio...
Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki?
Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda mtu anakuwa amevimba kichwa na kusahau kabisa kwamba yeye pia si kitu si chochote.
Huwezi andika...
Hellow members,Leo nimekuja na tukio lililotokea leo asubuhi baada ya moja ya mteja wangu kuingia mkenge kwenye rada za matapeli.
Ipo hivi mimi najihusisha na kununua/kufuata,kufunga na kusafirisha mizigo kutoka Dar es salaam kwenda mikoa yote Tanzania kila siku na hivyo basi nimeweka Matangazo...
Hii nchi yetu ni tamu sana. Ukiwa na stress umependa mwenyewe. Hapa nimekuletea tweet ya Waziri akibishana na mwananchi wake huko mtandaoni.
Yako wapi maadili ya viongozi?
Siku kadhaa zilipita nikiwa na piga story ndugu mmoja alisema alikuwa na faini polisi kwa makosa ya barabarani. Siku aliyotaka kulipa faini akakuta faini ile imeshalipwa. Akashukuru sana.
Hivi karibuni nimelipa faini kwa hii app na matokeo yamekuwa nimelipa bill ya mtu mwingine hivyo nimeingia...
Habari wanajamvi,
Natumaini wote tunaendelea vizuri.
Moja kwa moja kwenye mada...
Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
Wakuu naomba mwenye uzoefu na ujuzi wa biashara ya kuuza gadgets mtandaoni anisaidie mawazo.
Kuhusu Mtaji wa kuanzia, chimbo la kupata mzigo, namna ya kupata wateja, jinsi ya kupanga bei na marketing yake.
Pia nilitamani nijue gadgets zinazouzika sana ni zipi.
Karibuni kwa ushauri.
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Ahutubia Kamati ya Vyama vya Siasa Jijini Dar es Salaam
Dar es Salaam, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alitoa hotuba muhimu leo katika mkutano wa Kamati ya Vyama vya Siasa uliofanyika jijini Dar es Salaam. Hotuba...
JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC
Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
Kwa kuanza kabisa mi ni CCM ambaye uwa siyumbi kwa ninalo amini,
Moja naamini katika free mind, naamini katika kutofautiana kwa Hoja
Mama nakusihi epuka mambo haya
1. Usipende kusikiliza ushauri wa waliokuzunguka, Tafuta mbinu za kupata taarifa ikibidi ntaiwasilisha kwa njia ya Fetacth Budge...
CHADEMA kama ilivyo Kwa vyama vingine imesheheni wajumbe hadi wa mitandaoni.
Ukweli mchungu Kuna Hawa wenzetu wa mitandaoni wenye kukaza bongo almaarufu kubadili bongo na kupania maembe:
Kulikoni ndugu zetu ya Dr. Lwaitama kutambua umoja ni nguvu utengamano ni udhaifu yana kutokuwa yana...
Mada: Biashara za Mtandaoni: Fursa za Kujiajiri kwa Vijana wa Tanzania
Mwandishi: MwlRCT
Utangulizi
Biashara za mtandaoni ni biashara zinazotumia intaneti kuuza au kununua bidhaa au huduma. Biashara hizi zinaweza kuwa za aina mbalimbali, kama vile:
Kuuza bidhaa za kimwili au za kidijitali...
Wakuu,
Kama tunavyojua na kama ulikua hujui basi uliweke akilini kuanzia leo, unachoweka mtandaoni hakifutiki, utasema nimedelete hakipo tena lakini ukweli ni kwamba kipo na kurudishwa ni sekunde tu.
Hivyo ni muhumu kuchukua tahadhari unapokuwa mtandauni, kichani ukumbuke kila unachofanya...
Habari za siku wadau wa JF,
Moja kwa moja kwenye mada,
Katika pita zangu huko mtandaoni katika masoko mtandao kama AliExpress na Alibaba nimekutana na hii bidhaa, bidhaa nauhitaji nayo lakini namna na taratibu za kuiagiza ndio naona kipengele ukizingatia ni mara ya kwanza kwenye hizi mambo za...
Majukwaa ya mitandao ya kijamii kama vile TikTok na Snapchat yatakabiliwa na uwezekano wa kuzimwa kama haitashughulikia maudhui yenye matatizo wakati wa ghasia chini ya sheria ya maudhui ya Umoja wa Ulaya.
Kamishna wa Ndani Thierry Breton, amesema hayo wakati akijibu mahojiano ya redio ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.