Unaamua kufanya biashara mtandaoni halafu huweki bei, lengo lako ni nini?
Inakera sana unakuta ukurasa umejaa watu wanauliza bei halafu hazijibiwi au wakijibu ni jibu la 'njoo DM' au 'piga namba hiyo hapo' ama 'kwa maelezo zaidi njoo WhatsApp'.
Kwani mkiweka bei kila mtu akaona mnapungukiwa...
Kuanzia hatua za awali katika ukuaji, Watoto wanapaswa kufundishwa Haki, Wajibu na Hatari zinazoweza kutokea wasipotumia vizuri Majukwaa ya Kimtandao.
Huwajengea hali ya Uwajibikaji na Tabia Njema zinazowafanya kuwa Raia wema wawapo Mtandaoni.
Kama Mzazi/Mlezi, umechukua hatua zipi katika...
Katika kipindi hiki cha teknolojia ambapo kila mtu anamiliki simu yenye camera na kunampa uwezo wa kupiga picha kitu chochote, wakati unaojisikia, Ni muhimu na vema kujitahidi kuelewa kuwa kuna umuhimu sana wa kuuliza wazazi/ walezi wa mtoto, hasa mtoto mdogo ambaye hawezi hata kusema ndio au...
Kuna vitu vya ajabu hili nalo ni la ajabu, kuna wafanyabiashara wanafanya biashara kwa kuzitangaza mitandaoni ila wanazima simu, au unakuta wengine hawapokei simu au hawajibu meseji au kusoma jumbe za mitandaoni na kuzijibu ikiwemo maswali hii ni ajabu kabisa.
Hivi hawa wanakuwa hawajui wajibu...
Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022.
Ongezeko kubwa zaidi linatajwa kutokea ifikapo mwaka 2026 ambapo zaidi dola za kimarekani Trilioni 8.1 zitakusanywa kutokana...
Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu
#BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram na Tiktok ambako Mastaa kama Lil Wayne, Janelle Monae, Diplo na Ciara wameonekana kuvivaa. Kwa sasa...
ZINGATIA:
Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote mtandaoni.
Haya tuangalie njia hizi.....
1. Uhandishi wa maudhui mtandaoni (Online Content...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, (TCRA), imetoa takwimu za maeneo vinara ya utapeli kwa njia ya simu ikionesha kuwa mkoa wa Rukwa ni kinara kwa wananchi wake kutapeliwa
Katika kipindi cha robo ya mwisho ya mwaka uliopita 2022, kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi mwisho mwa mwezi Disemba matukio ya...
Kwa muda mrefu nimekuwa mpweke ila siku za karibuni kwenye mtandao nikawa niko busy na dada mmoja mzuri sana.
Basi tukaona kuna haja ya sisi kuonana kwani niko Dar na Yeye yuko Dar. Tukapanga kukutana naye Slipway.
Ijumaa jioni baada ya saa za kazi nikawa nimepiga kambi Waterfront Bar...
Kila mtu ana haki ya faragha akiwa Mtandaoni. Hii inajumuisha uhuru wa kutofuatiliwa, haki ya kutumia msimbo (encryption), na haki ya kutokujitambulisha kwa majina halisi.
Kulindwa kwa haki hizi siyo tu huongeza uhuru wa kujieleza bali huongeza ushiriki wa watu katika kupasa sauti zao wawapo...
Wajibu wa Raia wa Kidigitali inamaanisha uhusiano mzuri ulipo kati ya watu na mwingiliano wao mtandaoni. Hii ina maana kuwa nadhifu mtandaoni, kufanya matendo yanayofaa, na utayari wa kuwajibika kwa matendo binafsi mtandaoni.
Wajibu huu unamaanisha maadili ambayo mtu anapaswa kuonesha...
Hivi sasa kumekuwapo na utitiri wa APPS za mikopo mitandaoni ambazo kwangu naamini ni za kitapeli na au zitaleta utapeli.
Apps hizi hazina usajili Wala address ya uhakika.
Wengine wanakuambia ingiza pesa ya usajili kiaasi kadhaa kwa mujibu wa kiwango unachotaka kukopa,Kisha ukisha tuma ndio...
Afrika ni eneo liliounganishwa na Intaneti kwa kiwango kidogo zaidi, ikielezwa takriban 60% ya Raia hawapo Mtandaoni.
Hii inatokana na sababu mbalimbali ikiwemo gharama, Ujuzi kuhusu matumizi yake pamoja na uhaba wa Miundombinu unaokwamisha ufikiaji wa Huduma hiyo.
Barani Afrika na Duniani...
Kwa mujibu wa Ripoti ya Freedom House Mwaka 2022, Mazingira ya Haki Za Binadamu Mtandaoni yamezorota katika Nchi 28.
Katika Nchi 70 zilizofanyiwa Tathmini (sawa na 89% ya Watumiaji wa Intaneti Duniani) imebainika 37% Hazipo Huru, 34% zina Uhuru Kiasi na 18% zipo Huru.
Kwa Mwaka wa Nane...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu.
Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
Imeelezwa kuwa shambulizi hilo limeathiri miundombinu ya digitali na mifumo yake kiasi cha kusababisha wafanyakazi kutakiwa kufanyia kazi nyumba.
Tovuti na mitandao yao ya kijamii haijaathiriwa, inaendelea kutoa taarifa kama kawaida.
=========
Guardian hit by serious IT incident believed to...
Jamaniiiii eh
Nina plan ya kuanzisha usafiri mtandaoni ambapo kutakuwa na App ambayo mteja ataingia na kuchagua au kupata dereva.
Mfano kama wanavyo fanya ping
Utaratibu huwa upoje
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.