Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Kama unataka utumie nguvu zako au jasho lako kupata utajiri sahau.
Kama kazi yako kusafiri na mizigo kutoa hapa kwenda kule sahau utajiri.
Kama unataka ukalime mpunga sahau utajiri.
Pesa ziko online.
Waache walime wewe tumia mitandao kuuza hayo mazao yao .
Usihangahike na mikorokoro, .
USIKAE na minguo dukani hujui mteja atatokea wapi .
Lazima uijue nguvu ya mtandao.
Unataka kuwa tajiri kwa kubeba mtu mmoja mmoja kwenye bodaboda, sahau.
Unataka kuwa tajiri kwa kulipwa million 1 kwa mwezi, sahau utajiri.