mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SoC01 Elimu bora ni haki ya kila Mtanzania

    WanaJF salaam, Naitwa Dayone, kitaaluma mimi ni mwalimu na karibu tujadili mfumo wa elimu yetu na jinsi elimu ilivyo na thamani kubwa kwa watoto wetu wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Nchi yetu kwa sasa ina tatizo kubwa sana la ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa vyuo mbalimbali...
  2. #COVID19 Haki ya kila Mtanzania kupata Chanjo ya COVI 19 sawa na Ibara ya 12 na 13 za Katiba yetu ya 1977

    Nampongeza Rasi na Waziri wa Afya kwa kufanikisha upatikanaji wa chanjo ya covid 19 angalau dose 1,000,000 sio haba. Kwa kuwa kila Ofisi ya Umma huanzishwa kwa mujibu wa sheria/Katiba na kwa kuzingatiakuwa kila Kiongozi huapa kuilinda, kuihifadhi na kuitetea Katiba ya Tanzania ya 1977...
  3. Hii ndio nia haswa ya wazungu kwa Mwafrika na Mtanzania - tuamke hasa kiakili!

    Huyo mama wa kizungu anaonesha mtazamo wa wazungu walio wengi dhidi ya Afrika, ingawaje hata huyo mtoa mada ni mzungu. Lakini, mtoa mada inaonekana anaongea hivyo baada ya nchi yake, Ugiriki, kupigika kiuchumi. Mama huyo anahofia maisha yao ya mbeleni endapo Afrika itaamka kiakili, kiuchumi, na...
  4. Tozo za kutuma na kutoa hela ni msumari mrefu kwenye paji la uso wa Mtanzania

    Naomba nianze kwa kudeclare interest, mimi sina ushabiki na chama chochote cha upinzani. Wala sina itikadi ya chama chochote. Tozo za makato ya kutumia mitandao ya sim sasa imepanda maradufu ukizingatia ni mda ambao serikali nyingi duniani zinatengeneza mazingira nafuu ya wananchi wake kufanya...
  5. Ghasia Afrika Kusini: Mtanzania apata hasara ya mil 300

    Vurugu zilizoibuka wiki iliyopita nchini Afrika Kusini zimemrudisha nyuma kimaisha Mtanzania Omari Juma, anayeishi na kufanya shughuli zake nchini humo. Juma, aliyekuwa akimiliki studio na kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki kwa kushirikiana na raia wa Cameroon, Alino Alino, amejikuta...
  6. M

    SoC01 Umuhimu wa kila Mtanzania kuyaelewa masuala ya kodi

    Katika hali ya kawaida, kila mtu mwenye kipato lazima kwa njia moja au nyingine ajikute analipa kodi. Kodi inaweza kulipwa kupitia manunuzi/matumizi, mshahara, biashara, au uwekezaji.Kwa utangulizi huo ni wazi kwamba karibia kila mtu lazima anaswe na mtego wa kodi. Ni kwa sababu hiyo naona...
  7. H

    SoC01 Mtanzania yeyote, hata asiye na Elimu ni muhimu ajifunze lugha ya Kiingereza

    Habari zenu wanajukwaa la Story of change. Katika uzi huu nataka kuelezea ulazima wa kujifunza lugha ya kiingereza kwa mtanzania hata asie na elimu kubwa. Hili suala huwa haliongelewi kabisa na kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu lugha ya kiingereza. JE, HUO UPOTOSHAJI UPOJE? Hapa nchini...
  8. Somo hili ni mkombozi wa umaskini kwa Mtanzania

    Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi nilikuwa nikiambiwa na wazazi wangu pia na waalimu wangu soma ili upate kazi, nikitoroka shule na kwenda kucheza mpira nilichapwa sana na kuambiwa nacheza na shule maisha yatakunyoosha, nikionekana naimba mziki naonekana mtukutu nacheza na shule maisha...
  9. Kodi ya simu ni sawa. Kodi ni jukumu la kila Mtanzania

    Malamiki ya kodi ya simu yamekuwa mengi utafikiri jukumu la kidi ni la watu fulani tu. Wakati jumuantifauti za wafanyabiashara zinalia na RA wengine waliuwa wala hawaoni keri hiyo. Sasa kodi nibkwa kila mzalendo, watu wanalalamika. Wengine wanapanga biashara barabarani na hawslipi kodi hata...
  10. Tatizo ni matumizi mabaya ya kodi zetu. Kama zingetumika vizuri hakuna mtanzania angelalamika.

    Kodi ni mchango wa lazima kwa ajili ya serikali. Pamoja na kuwa ni mchango wa lazima lazima itumiwe vizuri. Lazima sisi tunaolipa kodi kwa kulipa Direct tax or indirect lazima tuone matokeo chanya namna kodi inavyotumika. Kama mpaka sasa hivi baada ya miaka 60 bado baaadhi miji na vijiji...
  11. M

    SoC01 Uchumi shirikishi kwa kila Mtanzania

    UCHUMI SHIRIKISHI KWA KILA MTANZANIA Kila binadamu kwenye jamii yoyote anapenda kuisha maisha yenye mafanikio na maendeleo, hata hivo maisha hayo hutegemea utashi wa mtu binasfi kuchangamkia fursa na fursa zinazopatikana mazingira aliyopo. Lakini pia sisi wananchi tunategemea serikali...
  12. Mtazamo: Sheria ibadilishwe hukumu ya kesi ya mauaji iwe miaka 15 jela. Kila Mtanzania amiliki bunduki kirahisi

    Habari wadau, Sheria zetu na mtu anayekutwa na kosa la mauaji nashauri ibadilishwe waweke miaka 15 tu inatosha maana lengo la kumuweka mtu jela ni ajifunze naamini miaka 15 atakuwa amejifunza kumuweka maisha jela ni kuipa mzigo tu serikali usio na tija pia kuharibu maisha ya wategemezi wake...
  13. Gsan wa X-Plastaz: Msanii wa kwanza Tanzania kushiriki Tuzo za BET mwaka 2009

    Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha Rapa Gsan wa kundi la X Plastaz kutoka Arusha, Tanzania, aliiwakilisha Afrika katika toleo la mwaka 2009 la BET Hip Hop Awards cypher, zilizorushwa Oktoba 27 kupitia chaneli ya BET huko Marekani. Huyu ndiye Mtanzania wa kwanza kushiriki katika tuzo...
  14. Ndugu Kibosile Msemakweli, Mtanzania wa kwanza kwenda mwezini

    Wanasayansi wa anga kutoka Tanzania wanatarajia kurusha chombo kinachoitwa HAPA KAZI TU SPACE ROCKET kwenda mwezini kikiwa na Mtanzania mmoja kwenda kufanya uchunguzi na kutembelea mwezi mnamo mwezi ujao. Waziri wa Uchukuzi kamkabidhi funguo Ndugu Kibosile Msemakweli ili aweze kuwasha chombo...
  15. A

    Jukumu la Maendeleo ya Mtanzania ni letu sote

    Kama tukitambua kuwa kama wananchi tuna majukumu kadhaa ya kuweza kusaidia kuinua uchumi wa serikali yetu na kusaidia katika ukusanyaji wa kodi. je ni wangapi hukumbuka kudai risiti wanaponunua bidhaa mbalimbali au kupata huduma? Je, tunafahamu ni kiasi gani tunajiibia kwa kutokuwa tayari...
  16. N

    wadau wa Uzbekistan wamtetea Mtanzania Salim Mtango wadai kaonewa chupa zarushwa ulingoni

    Jana ilikuwa ni pambano huko Uzbeki kati ya Salim Mtango vs ShohJahon Ergashev ni kituko kijana watu kapigwa ngumi moja kayumba kidogo lakini hajaanguka, refa kavunja pambano kwamba ni knockout hata hajamuhesabia hadi kumi. kijana kajaribu kupinga uamuzi ukabaki palepale ila ziliztokea vurugu...
  17. Arusha: Mtanzania afika kilele cha Mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest

    Binti wa Kitanzania Rawan Dakik, (20) aliyepanda mlima Everest ambao ni mrefu kuliko yote duniani, ametua nchini na kupokelewa na Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mary Masanja kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA) ambaye amemtangaza kuwa Balozi wa utalii ndani na...
  18. S

    Mtanzania aingiza kitabu chake soko la WALMART Marekani

    Kutoka kwa Yericko Habari njema kwangu na kwa Watanzania nikuwa Kitabu chetu pendwa cha Ujasusi baada ya kuingia makubaliano na kampuni ya Kindle Publishers ili wauze kitabu kupitia amazon.com miaka mitano iliyopita, Sasa kimekubalika na kuingizwa kwenye soko la makampuni makubwa sita ya...
  19. Mtanzania, wekeza na kufanya biashara Comoro

    Fursa za Biashara zilizopo Moroni nchini Comoro Hivi karibuni nilifanya ziara ya kwenda nchini Comoro kufanya visual assessment ya fursa ziliopo kule lakini vile vile kuzungumza na wafanyabiashara wanaokuja Tanzania kununua bidhaa na kufanya biashara nchini. Ndugu zangu Watanzania, Comoro kuna...
  20. M

    Kuunda Mkoa wa Chato ni kupoteza historia ya Wahaya, Mkoa wa Chato hauna maslahi kwa urithi wa utamaduni wa Mtanzania

    Magufuli alitaka kuunda mkoa nyumbani kwake kwa utashi tu binafsi bila kujali vigezo vyenye mantiki vya kuunda mkoa huo. Yaani katika muendelezo wake wa "unyumbani" akavunja protokali zote za kimantiki na kivigezo katika kuubda mkoa mpya. Leo hii mkoa wa Geita ni miongoni mwa mikoa michanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…