Wakati naanza kuandika makala ya huyu Mzee aliyejaaliwa miaka mingi na heri hapa Duniani nikakumbuka yule dogo aliyemzaba kibao sijui yuko wapi. Kweli maisha ya mwanadamu ni hadithi tu ndiyo maana Mzee Mwinyi anapenda kusema tujitahidi kuacha hadithi nzuri hapa duniani.
Kwakweli huyu Mzee...
Kila Mtanzania: Kila mkulima, kila mfugaji, kila mfanya biashara, kila mfanya kazi, kila machinga, kila kiongozi wa dini, kila kiongozi wa siasa, kesho ratehe 1/1/2022, aanze kuandika ukurasa wa kwanza kwenye kitabu chenye kurasa 365!
Magufuli amewatendea mabaya watanzania ktk mambo mengi Sana.
Tumewasikia viongozi mbalimbali wakitoka hadharani na kulalamika.
Mifano hii hapa:-
1. Zitto ...shamba lake la korosho lilitaka kuchomwa
2. Askofu Mwingira amenusurika mara 3 kuuawa
3. Padre Pascal Luhengo wa Mahenge Morogoro ambaye...
Mwakikagile's books are used in various academic disciplines up to the post-graduate level including doctoral studies. He has also been invited to give lectures at different colleges and universities. And as a public intellectual, he has also been sought for interviews by BBC, PBS and Voice of...
Mtanzania kuchezesha AFCON.
Mwamuzi wa Tanzania Frank Komba ameteuliwa na CAF kuwa miongoni mwa waamuzi watakao chezesha michuano ya AFCON Inayo tarajiwa kuanza mwezi January
Mzuka wanajamvi!
Kuna mtanzania yoyote kweli amewahi kuwa admitted kusoma undergraduate degree courses kwenye hivi vyuo kweli? Oxford, Cambridge, Havard, MIT, YALE, Stanford na John Hopkins?
Nasisitiza UNDERGRADUATE DEGREE siyo masters ama PhD.
Na kama yupo/wapo anastahili tuzo.
===
Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Bi Joyce Msuya kwa kuaminiwa kwake na kuteuliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ( UN ) Bw Antonio Guterres,
Bw Guterres amemteua kuwa Naibu katibu mkuu wake anayeshughulikia maswala ya Kibinadamu na Naibu mratibu wa misaada ya dharula Duniani,
===...
Habari RAIA wema wa Tanzania, nimekaa nalo sana moyoni, lakini kila kukicha mambo yanazidi kuwa mabaya kutokana na matendo mabaya ya askari polisi.
Siku Mona nilikuwa nimesimama dukani nanunua vocha ghafla defender ya polisi ikaja ikawa inabeba watu hovyo. Kufika kwangu nikagoma nikauliza...
Naomba kujua, Mtanzania mtu mzima ambae si mwanafunzi.
Daily Routine yake ikoje toka anapoamka mpaka anapoenda kulala?
Maana naona zaidi ya 85% ya watanzania hawako bize kabisa.
ikitokea tukio hata la mtu kuibiwa simu katikati ya Jiji, watu wanajaa kutazama zaidi ya saa nzima na wanakaa na...
Jamaa alipatwa na misukosuko ughaibuni na makaratasi yake ya uhamiaji yakaharibika kabisa. Badala ya kuendelea kuishi USA pasipo kujua mbele wala nyuma, ameamua arudi Tanzania akapambane huko. Anafanya kitu kinaitwa voluntary deportation ambayo badala ya kuzolewa na kurudishwa kwa lazima...
"Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi.
====
Rais Mwinyi...
Kama title inavyojieleza hapo juu, kama mtanzania pure na ni mdau wa soka kutokana na kuyumba kwa timu ya Taifa ni vyema kuendelea kuwekeza nguvu kubwa kwa vilabu vyetu pendwa ili atleast twende kwenye ubora kwa ngazi ya vilabu ili kuwatoa kimaso maso watanzania.
Kwa mfano SIMBA walifanya...
MKAZI wa Kijiji cha Mavanga kilichopo katika kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoani Njombe anayefahamika kwa jina la Afro Nyigu (31) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma ya kumbaka mnyama aina ya Nguruwe.
Afisa mtendaji wa kijiji hicho Ramadhani Kihanga amesema kuwa tukio hilo limetokea...
Habar zenu ndugu zangu. Ama baada ya salam ningependa kuendelea na kile kilichonifanya niandike uzi huu. Ndugu zangu kama ilivyo ada au kama tulivyofunzwa na misingi yetu ya Taifa kwamba watanzania popote tulipo haijalishi ni ndani au nje ya nchi, sisi ni watu wamoja. Kwahiyo kwa misingi hiyo...
Wadau nimekuwa najiuliza sana juu ya hili Suala, Kwanini Mtanzania Bara mwenye Uraia wa Huku Bara hawezi kugombea URAIS wa ZANZIBAR bali Mzanzibar Raia wa Zanzibar anaweza kugombea URAIS wa TANZANIA?
Mwenye Ufahamu atujuze
Leo ninapenda kueleweshwa hili la kodi tunazo lipa.
Huduma kama vile - :
Maji tunalipia
Umeme tunalipia
Elimu tunalipia
Hospitali tunalipia
barabara tunalipia
Mtanzania anapata wapi Asante ya kodi yake na Masamaki, mamisitu, mazahabu, maalmasi, maserengeti ngorongoro
Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na vyandarua toka USA
Magufuli akaingia madarakani slogan yake akasema nchi hii si maskini, ina kila aina ya...
Ndugu poleni na majukumu.
Kijana wenu natafuta kazi niweze kujikimu kimaisha, nina hali mbaya sana kiuchumu hali ambayo inaniletea msongo wa mawazo kufikia hatua ya kuwaza kupita kiasi ndugu zangu kiukweli hali yangu sio nzuri.
Nilikutana na Engineer #ushimen akajaribu kwa kila namna...
Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake na kuvitupa mtoni huko nchini Marekani na hatimae akakamatwa na kuhukumiwa Maisha.
Kuna hii story...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.