mtanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Kwanini pato la Taifa (GDP) la Tanzania linashika nafasi ya 9 Afrika wakati pato la kila Mtanzania linashika nafasi ya 31

    Pato la Taifa (GDP) ni thamani ya soko ya bidhaa na huduma zote za mwisho kutoka kwa taifa katika mwaka fulani. Nchi za Afrika zimepangwa kulingana na data kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa. Takwimu zilizowasilishwa hapa hazizingatii tofauti za gharama ya maisha katika nchi mbalimbali, na...
  2. MK254

    Nini kilisababisha Mtanzania aende kuteseka kwenye migodi ya Burkina Faso?

    Kuna Mtanzania amekwama kwenye mgodi kule Burkina Faso, nchi ya mbali sana magharibi mwa Afrika, na mpaka sasa imeshindikana kutoka. =========== Tanzanian among 8 trapped in Burkina Faso zinc mine The accident, which occurred on April 16, 2022, was accelerated by the heavy rainfall, which...
  3. THE FIRST BORN

    Najiuliza: Kutambua kuwa kipato cha Mmarekani ni kikubwa kuliko cha Mtanzania linahitaji GPA ya 4.5 or Above?

    Eid Pili kwa wote! Nimepita Twitter huko nikakuta kitu cha kushangaza sana nikaja hapa nikakuta kishaanzishiwa uzi nikasema vizuri kabisa kwa sababu nowdyas watanzania hawataki ujinga YES! Watanzania wenzangu hili swala la kutambua kua kipato cha Mtanzania ni kidogo kuliko cha Mmarekani...
  4. Dr Matola PhD

    Viongozi wa Simba hasa Barbara wasidhani kila Mtanzania ni mbumbumbu au hatujatembea na hatujuwi lolote.

    Naomba kudeclare kabisa mimi siyo mshabiki wa Simba, lakini kwenye upotoshaji lazima tuwekane sawa. Simba imeshuka na pipa kwenye uwanja wa Oliver Tambo airport hayo maeneo panaitwa Kemtorn park ndipo ulipo uwanja wa ndege. Kutoka kemtorn park mpaka Sandton (Uzunguni) hotel waliyofikia Simba...
  5. Pascal Mayalla

    Tanzania "Shamba la bibi" hadi lini? Hii Ruby ni yetu. Iweje iko sokoni Dubai na serikali yetu haijui? Nasaidia, mchimbaji huyu, anzieni hapa!

    Wanabodi, Naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa", na Leo ni kuhusu uzalendo wa kujitolea kuisaidia serikali yako na nchi yako, pale unapoona imeshindwa na inahitaji msaada, je tutaendelea kufanywa Shamba la Bibi Hadi Lini?. Hili ni bandiko la kuisaidia serikali yetu kuhusu...
  6. beth

    Rwanda: Mchina aliyerekodiwa akimpiga mfanyakazi aliyefungwa kwenye mti ahukumiwa kifungo cha miaka 20

    Mahakama Nchini humo imemhukumu Mfanyabiashara ambaye ni Raia wa China kifungo cha miaka 20 gerezani baada ya kurekodiwa akimpiga Mwananchi mwaka 2021 Sun Shujun alikuwa anakabiliwa ya Mashtaka ya kupiga Wafanyakazi wake waliokuwa wanatuhimiwa kwa wizi, ambapo katika video iliyorekodiwa...
  7. Nyankurungu2020

    Kila mtanzania anatambua kuwa hayati JPM alisaidia taifa letu kipindi cha mlipuko wa kwanza wa Covid 19 kwa kutaa mashariti ya mabeberu.

    Kwa taifa letu Karantini lingewezekana? Kwamba wakulima wa kitanzania, wauza samaki na nyanya wa kitanzania, mama ntilie wa kitanzania uwaweke karantini sasa hivi tungekuwa na hali gani? Mkopo wa tril 1.3 ndio ilikuwa sababu ya kuharibu maisha ya watanzania wakati karantine isingewezekana...
  8. Kurunzi

    Jenerali Ulimwengu: Kuna Mtanzania alitufanya Mazuzu

    Akitoa mada Kwenye Mkutano wa TCD, Generali Ulimwengu alisema, kuna Mtanzania Mmoja alikufa miaka michache iliyopita alitupulizia uzuzu na wote tukawa mazuzu. Generali apewe ulinzi Tazama Video
  9. N

    Serikali inayowaza kumnyonya Mtanzania kwa tozo haitawaza kupunguza kodi kwenye bidhaa ili kupunguza mfumuko wa bei

    Serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia haiwezi kufikiria cha kufanya angalau kupunguza uchungu anaopitia mwananchi kwa sasa wa kupanda kwa bidhaa karibu zote nchini. Serikali hii inachowaza ni kupata pesa ili wao waendelee kunufaika ndii maana wamelundika tozo na kodi za kila aina, zingine...
  10. MAHANJU

    Ukatili na Unyama wa Mbunge wa CCM Singida Magharibi, Elibariki Kingu wailiza jamii

    Hi Kamanda! Kamanda Malisa pole na hongera sana kwa kazi ya Utume unayoifanya ya kuihudumia jamii ya Watanzania. Mungu akulipe kila lililo jema. Kamanda Malisa mimi ni mwenyeji wa mkoa wa Singida Wilaya ya Ikungi kutoka Kijiji cha Minyughe. Tuna ndugu yetu aitwaye Petter Mtinangi ambaye alikua...
  11. DaudiAiko

    Kama Mtanzania, propaganda ni kitu cha kawaida sana

    Wanabodi, Kweli tumetimiza mwaka mmoja tangu Rais Samia aingie madarakani. Shangwe na vigelegele kila tunapo kumbushwa kuhusu miradi inayo endelea kusimamiwa na Rais. Mema yamefanyika, tuendelee kusubiria mambo mengine makubwa kutoka kwa serikali ya awamu ya sita. Katika haya yote, kitu...
  12. U

    Kwa maisha ya kawaida ya Mtanzania, angalau awe na kipato cha shilingi ngapi kwa mwezi ndio aweze kuoa?

    Amini kwamba unaweza kua na kibarua cha kawaida tu ambacho kinakupa walau laki 6, 7 - 8 kwa mwezi na ukakosa mke. Wasi wasi ukiwa ni kipato hakitoshi. Je mliofanikiwa hapa mlianza vipi?
  13. mdukuzi

    Hivi kuna Mtanzania aliyekula bata kama Jakaya Kikwete?

    Kuna wimbo unaitwa Money,Power,Respect wa Lox Fist yo get money Then you get maza f....r power Then maza f......r guys will respect you. What you want in life Money Power Respect JK got it all Jk hajui njaa ni mdudu gani Kubali kataa CCM ni mali ya Jk ,kinana na makamba Jk kazunguka dunia nzima...
  14. B

    Kwa wana Diaspora tunavyomfahamu Zuhura Yunus, ni Mtanzania ila Salim Kikeke ni raia wa Uingereza

    Nimefuatilia taarifa zinazosambaa kwamba Zuhura Yunus ni raia wa Uingereza nachelea kuziamini na kama Zina ukweli basi atakuwa ameupata huo Uingereza Kwa Siri sana. Nafasi aliyopewa lazima tukubali mambo makuu matatu; Kwanza, ni wazi kwamba si nafasi yakufanywa na Raia wa Kigeni hata kama raia...
  15. B

    Ukimsikia Mtanzania anasema wakosoaji wapotezwe au wakaozee jela unajisikiaje mtu wa Mungu?

    Nchi Ina sheria kwa wanaozivunja wanatakiwa kufikishwa mahakamani lakini tumezoea viongozi wakitaifa wakisema wakosoaji wakaozee jela au wapotezwe, Hawa watu unapowasikia unawachukuliaje? Mfano sheria ya mtu aliyekosoa au kutukana Ina kifungo cha mwaka mmoja then ukamsikia mwanasiasa anaviambia...
  16. Bujibuji Simba Nyamaume

    Lugha asili, Makabila, Mila na Utamaduni wa Mtanzania vinafutika kwa kasi sana

    Niko kijijini kabisa huku ndanindani. Nimekuja kumzika bibi yangu aliye fariki akiwa na miaka 97 lakini akiwa bado mrembo na nguvu zake. Kilichonuogopesha na kunishangaza, mimi wakati nakua, tulikiwa hatujui Kiswahili, tunabonga tu lugha yetu ya asili, huku tukisimuliana hadithi za Masala...
  17. KINGSLEE

    Iringa: Kila Mtanzania ale usawa wa Kamba yake. Trafiki akamatwa kwa rushwa

    Kumekuwa na Tabia mbaya sana kwa hawa watu kutunyanyasa pindi tunapokuwa safarin. Sasa dawa yao ipo jikon. Tutakomaa nao mpka kieleweke.. Kwa familia zilizokumbwa na Mkasa huu Tafadhal naomba Mnisamehe sana. Mungu Ibarik Tanzania Mungu Ibariki Africa. ===== TAKUKURU Mkoa wa Iringa...
  18. MK254

    BBC: Jeshi la Msumbiji limemkamata Mtanzania ambaye ni kiongozi wa majihadi

    Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na...
  19. Frustration

    Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

    Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania. Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado. Kiongozi huyo...
  20. muafi

    Inawezekana Askofu Gwajima ndiye mtanzania anayeishi maisha ya furaha kuliko wote

    Huyu jamaa mimi nimeshindwa kumdefine, haeleweki hatabiriki kiufupi huyu huwezi kudeal nae anajua kicheza namba sita kila sehemu yupo Kazi iendelee
Back
Top Bottom