Ni maadui watatu waliotajwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere tangu tunapata uhuru – ujinga, umaskini na maradhi. Hadi anazikwa kijijini kwake Butiama Oktoba, 1999, maadui wa Taifa walibaki ni walewale watatu.
Na kuna viongozi wengi waliopita walijitahidi kupambana na hawa maadui zetu...
Dkt. Mohamed Ali aliyekuwa akisomea Udaktari Bingwa wa Upasuaji alizikwa katika makaburi ya umma huko Fort Portal jana Oktoba 2, 2022.
Kwa mujibu wa Dkt, Alex Adaku, Mkurugenzi wa Fort Portal Regional Referral Hospital ambako Dkt. Mohammed Ali alilazwa hadi umauti, amesema walifikia uamuzi huo...
Polisi nchini Kenya wanamsaka Mtanzania anayeshukiwa kumchoma kisu mwenzake katika eneo la uchimbaji dhahabu huko Narok katika mzozo wa kugombea bakuli la ugali.
Kamanda wa Polisi wa Kaunti ya Narok Kizito Mutoro alisema wanaume hao wawili walikuwa wakipata mlo wa jioni baada ya kutwa nzima...
Wakuu,
Ebu nifumbueni macho, nahisi huyu cousin wangu ananipiga kamba.
Iko hivi, alimaliza form 6 hapa bongo mwaka 2009 akaitwa na dada zake wako huko Texas marekani, lengo alitakiwa akasome chuo huko masuala ya IT.
So chuo alimaliza ila hakurudi bongo tena, akawa anafanya kazi kwenye kampuni...
Ujenzi wa Kagezi Bridge unaoendelea huko Ilemela Bugogwa Mwanza. Ni kiunganishi kikubwa katika safari na usafiri ndani ya manispaa yetu ya Ilemela. Lakini ni usalama wa Watu na Mali zao hasa nyakati za usiku.
RAI YANGU: Ilikuwa kiu na ndoto isiodhaniwa kama itatimilika sasa usiloamini limetimia...
Filamu ya Kitanzania imeorodheshwa kuwania Tuzo hiyo, na hivyo kuhitimisha subra ya takriban miongo miwili kwa nchi hiyo kushiriki katika tuzo hiyo.
Filamu ya Vuta N'kuvute - inayomaanisha "Mapambano Makali" kwa Kiswahili - imeorodheshwa katika kitengo cha "Filamu Bora ya Kimataifa" katika Tuzo...
Salaam
Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki
Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?
Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
Kiprotocal hii...
Familia moja ya Kigogo, Dar es Salaam, inaomboleza kifo cha mtoto wao nchini Afrika Kusini. Ericky Ismael Ngobei, 22, aliuawa kwa kupigwa risasi Alhamisi iliyopita usiku katika eneo la biashara lenye watu wengi baada ya kuzozana na washambuliaji.
Ndugu wa marehemu amesema kuwa shambulio hilo...
Makamu wa Rais yuko Marekani kuhudhuria mkutano, Rais yuko Uingereza kwenye msiba.
Kuna mawaziri wako nje ya nchi kwa ziara mbalimbali. Mambo haya ni tofauti na awamu iliyopita.
Natamani kufahamu umuhimu wa hizi safari hasa hii ya makamu wa rais. Ikiwa baadhi ya marais wako msibani kuhudhuria...
Ndugu zangu,
Baada la tukio la mauaji ya mwanafunzi kawe, nimeona leo nililete hili!
Ukiangalia matukio haya ya Panya Road sehemu ambazo huwa zinatajwa kuathirika mara kwa mara ni maeneo ambayo sisi kitanzania tunaita "uswahilini".
Huku uswahilini ndipo wanaishi wananchi wa hali za chini sana...
Inasemekana Mtanzania huyo amehukumiwa kifungo cha siku saba, na kuamriwa kuondoka China mara moja kwa kosa la kudhalilisha wanawake.
Kulingana na ripoti: Mnamo Septemba 12, 2022, karibu na Mtaa wa Jiaoda, Wilaya ya Beilin, Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, mwanamume mgeni alishukiwa kudhalilisha...
WANAUME WA AFRIKA.!
1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha".
2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal.
3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
Mfahamu Theddy Ladislaus, aliyekuwa Mshauri wa Raisi wa Zambia kwenye Mawasiliano ya Kimkakati lakini kafanya kazi kwenye chaguzi za Ufilipino(2015), Nigeria (2015), Serikali ya Ghana, Dominican Republic na hata chaguzi za CCM Zanzibar.
Theddy Ladislaus alikuwa mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba...
KISWAHILI NA MAENDELEO YA MTANZANIA
Kiswahili ni lugha ya Taifa letu pendwa Tanzania, lugha hii inazungumzwa maeneo mengi ulimwenguni lakini chimbuko lake likiwa ni wabantu wanaopatikana maeneo ya Afrika ya mashariki hususani Tanzania.
Ushahidi wa kihisimu(sayansi ya lugha) unathibitisha asili...
Mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la Maria Maria alikwama kulipa deni la matibabu aliyopata baada kugongwa na gari wakati akitembea Barabarani ambapo alilazimika kubakia Hospitali ya Nakuru Level Five tangu Agosti 2022.
Gavana wa eneo hilo Susan Kihika amechukua dhamana ya deni lote baada ya...
Umetetea sana hoja ya tozo kuonyesha kuwa maisha yamebadilika bla bla bla!
Maini mnakula nyinyi tena ya gharama sana - maini hapa yanawakilisha tu mambo mengi ya anasa ambayo viongozi wetu mnapata na huku mtanzania maskini kabisa tena yule wa kijijini huko bado mnanyonya bila hata huruma...
Taasisi ya Elimu nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inatakiwa ifanye maboresho hususani katika mitaala ya elimu, kuanzia ngazi za msingi mpaka ngazi za vyuo vikuu. Mitaala ya elimu inapaswa kuhusisha ufundishaji na ujifunzaji kwa vitendo na siyo kwa...
MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021-
Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika.
Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
Yaani sisi tuliokuwa na uchungu na Nchi yetu na rasimali za Tanzania tulionekana ni wapiga kelele tu. Hatukuwa wakurupukaji tu bali tuna uchungu na nchi yetu tunapoona Kodi zetu zikitumiwa vjbaya na viongozi.
Hilo la kuhakikisha kila mtanzania, kinana, mzee, mke na mume wanalipa kodi sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.