Anaandika mtanzania mwenzetu Twahir Abasi (kutoka Chuo kikuu cha Sayansi na teknolojia cha Huazhong, huko Wuhan, China).
______
Legacy ya watawala haipo sana kwenye ujenzi wa vitu labda vitu hivyo viwe ni VIKUBWA SANA, vya muhimu sana au vya kipekee sana. Kwa mfano Great wall ya China au...