mtibwa

Mtibwa Sugar Football Club is a Tanzanian football club based in Turiani. Their home games are played at Manungu Stadium.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    11 Wafariki dunia baada ya mtambo wa kiwanda cha Mtibwa Sugar kulipuka

    Watu 11 wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa baada ya mfumo wa joto wa kiwanda cha kuzalisha sukari cha Mtibwa Sugar kulipuka wakati wakijiandaa kuanza uzalishaji wa sukari kwenye kiwanda hicho kilichopo Turiani mkoani Morogoro. Akizungumza na Mwananchi digital leo Alhamisi Mei 23...
  2. Watu 11 wamepoteza maisha ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar, Morogoro

    Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili tujuzeni ==== === Watu 11 wakiwemo raia watatu wa kigeni wamefariki dunia na wawili wamejeruhiwa...
  3. Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

    Karibuni Kwa Live updates za mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Mtibwa Sugar (wenyeji) dhidi ya Mabingwa watetezi , Young Africans sc. Mchezo utaanza leo saa kumi jioni, Katika uwanja wa Namungu Complex, Morogoro. Endapo Yanga atashinda mchezo huu atafikisha alama 71 ambayo haitaweza...
  4. Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siawaoni nafasi ya pili NBC PL

    Simba akipoteza mchezo wa leo dhidi ya Mtibwa sugar siwaoni nafasi ya pili nbcpl msimu huu 2023/2024 Simba watacheza leo mchezo wao mwingine wa ligi kuu ya NBCPL na ikitokea kupoteza mchezo wa leo atakuwa na wakati mgumu wa kumaliza nafasi ya pili msimuu huu. kwahiyo Kocha Mgunda anakazi kubwa...
  5. Thobias Kifaru: Mtibwa tuna hali mbaya, tunahitaji maombi. Adai wanaweza kupotea ligi kuu msimu ujao

    Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kwa sasa timu yao ina hali mbaya hivyo anawaomba Watanzania waongeze maombi ili waweze kubaki Ligi Kuu Bara msimu ujao. Msikilize hapa...
  6. Mtibwa Sugar wadai Miwa imeharibika sana haifai kwa uzalishaji

    Uongozi wa kiwanda cha Mtibwa Sugar umesema kuwa miwa mingi imeharibika na haifai tena kwa uzalishaji wa sukari hali inayopelekea bidhaa hiyo kuadimika. Mvua juu ya wastani zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha sehemu kubwa ya mashamba ya miwa kujaa maji na kufanya kazi ya uvunaji wa miwa...
  7. Je goli la 4 la Yanga vs Mtibwa ni la Skudu au la beki wa Mtibwa aliyejifunga?

    Embu tukumbuke sheria za mpira wa miguu zinasemaje kuhusu goli la kujifunga ili tujue kama mtu anayestahili kupewa credit ya goli la nne katika mechi ya jana ya Yanga vs Mtibwa ni Skudu au beki wa Mtibwa. Skudu alipopiga mpira, kipa alianza kuruka kuufuata ule mpira ila kuna beki wa Mtibwa...
  8. C

    Nimeota yanga Leo anafungwa na mtibwa goli moja bila

    Ngoja tusubiri muda utaamua
  9. FT: Yanga SC 4-1 Mtibwa Sugar | NBC Premier League | Azam Complex | 16.12.2023

    Naam majira ya saa 12:30 jioni ya Leo wananchi tutakuwa na jambo letu Magoli mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na mengine ya Kennedy Musonda na Mahlatse Makudubela ‘Skudu’ yameipa Yanga ishindi wa magoli 4-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye Uwanja wa Azam complex Jijini Dar es Salaam. Yanga...
  10. Simba hamjatosheka kuua vipaji vya wachezaji vijana mmemgeukia na kwa Ladack Chasambi wa Mtibwa??

    Hii klabu kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa bingwa wa kuua vipaji vya wachezaji vijana pindi inapowasajili, imekuwa na tamaa ya kuwasajili lakini wamekuwa wazito kuwatumia wachezaji husika! Angalia David kameta(duchu) kabla hajaenda Simba alikiwasha sana wakamsajili akasugua benchi mpaka...
  11. Internal Auditor at Mtibwa Sugar Estates Limited

    Position: Internal Auditor Location: Morogoro Responsibilities • Identify and assess areas of significant business risk. • Implement best audit and business practices in line with applicable internal audit statements. • Manage resources and audit assignments. • Identify and reduce all business...
  12. Yanga inasumbuliwa na timu iliyoshika nafasi ya pili ligi ya Djibouti

    Hili ni jambo la kusikitisha sana na najua wanayanga wengi limewafedhehesha. ASAS Djibouti au kwa jina lingine "AS Ali Sabieh" ni timu ambayo msimu uliopita ilimaliza nafasi ya pili katika ligi ndogo na dhaifu ya Djibouti lakini jana imeisumbua sana Yanga. Ingekuwa na mshambuliaji mmoja wa...
  13. LIVE LIGI KUU UNDER 20: AZAM 0 VS MTIBWA SUGAR 2

    Hili ni bonge la Game. Kama tutaendelea kuwekeza kwenye vijana, hakika hatuta ng'ang'ania magarasa akina sawadogo. Mtibwa wana timu nzuri sana. Kuna fowadi zaidi ya Baleke au Mayele anaitwa Makambo Jr. Hadi sasa dakika ya 16 Mtibwa anaongoza 2 bila ote yakifungwa na Makambo Jr. Azam kuna...
  14. Watu wawili wafariki kwa mlipuko katika Godauni la Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa, Morogoro

    Watu wawili wamefariki Dunia baada ya kutokea mlipuko katika godaoni la Kiwanda cha Sukari Mtibwa. Lakini hadi sasa viongozi wa serikali na kiwanda wamegoma kuzungumzia chochote kuhusiana na tukio hilo lakini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro imekiri kupokea maiti mbili za watu waliofariki...
  15. Yaani tumewahonga Mtibwa Sugar FC tushinde nyingi ili Mashabiki wajae Mechi na Horoya FC tupige Pesa?

    Hovyo kabisa mbona huu Mpira wa leo Wachezaji wetu hawakuucheza Mechi kama Nne zilizopita na tukawa tunashinda kwa Taabu huku Sisi Mashabiki wenu GENTAMYCINE nikiwepo tukiwa tunajituliza kwa Dawa za Maumivu za Panadol? Nitarudi hapa baadae Saa 4 Kamili na mengineyo.
  16. FT: NBC Premier League | Mtibwa Sugar 0-3 Simba SC | Live Updates | Manungu Stadium

    Mchezo ni saa 16:00Vikosi vyote kwa timu mbili vimetolewa Timu zinaingia uwanjani Mchezo unaanza 1' Phiri anafika langoni mwa Mtibwa anashindwa kutumia nafasi vizuri 3'Goooooooooo Jean Baleke anafunga goli kwa kwanza kwa Simba licha ya kubanwa na walinzi 7' Goooooooooo Baleke anafunga goli la...
  17. FT: NBCPL, Simba SC 5-0 Mtibwa Sugar | Uwanja wa Mkapa | 30/10/2022

    FULL TIME 90' Sakho anaipaia Simba goli la tano GOOOOOOOOO 81 Mtibwa wamerudi nyuma na kuwapa Simba nafasi ya kumiliki mpira muda mwingi 77' Simba wanafanya mashambulizi mfululizo Phiri anaipatia Simba goli la 4 73' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Beki wa Mtibwa anapata kadi ya njano ya pili na hivyo kuwa...
  18. FT: Yanga 3-0 Mtibwa | NBC PL | Benjamin Mkapa Stadium

    Yanga wanaongoza kwa goli la freekick ya Djuma Shaban 37' Mayele anafunga goli murua baada ya kupiga chenga mabekibwa Mtibwa Kipindi cha kwanza kimekamilika Yanga wanaongoza magoli 2-0. MAPUMZIKO 81' Yanga wanamiliki mpiramuda mwingi 83' Kasi ya mchezo siyo kubwa, ni kama Mtibwa wameshakata...
  19. Mech ya Yanga Vs Mtibwa ipo au haipo??

    Mbna sion uz ukianzishwa? Wadau tupen taarifa
  20. N

    INASIKITISHA: MTIBWA BADO HAWAJALIPWA USAJILI WA MSHERI

    ile klabu bora Tanzania na afrika mashariki na inayoogopeka Afrika nzima the dar young africans bado haijalipa pesa ya usajili wa kipa mshery toka mtibwa Klabu hiyo inayoendeshwa kisasa kabisa kwa kufata mfumo wa klabu za la liga pamoja na kupigiwa kelele kwa muda mrefu bado imekausha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…