Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa.
Nini maoni yako kwenye game ya leo?
Wadau tupeni updates mbona kimya...wengine bado tupo magengeni!
====
SIMANZI na hali ya sintofahamu imeanza kuingia pale Msimbazi. Ndio, Simba imepoteza taji la kwanza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 1-0 mbele ya Mtibwa Sugar, katika fainali ya Kombe la Mapinduzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.