Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni
Siasa?
Tanesco?
Maji?
Gesi?
Mitambo chakavu?
Hujuma?
Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa.
Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya...
Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao.
Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli, lakini Mtibwa Sugar kupitia Ofisa Habari, Thobias Kifaru anaibuka na kudai kuwa Yanga hawajakamilisha...
Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana.
Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya.
Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc
Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani.
Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za...
Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022.
Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo...
Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza.
Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza.
Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa Mkapa na Kumfunga zile Goli 4 ni sawa tu na Kupiga Bomu Mochwari na Kujisifu kuwa Umeua Watu wengi...
Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana.
Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p
Demla dk ya 62'
Hii ni mechi ya kwanza mtibwa kushinda msimu huu
Hii ni mechi ya kwanza kuchezwa manungu msimu huu
Sasa mtibwa wamefikisha point 5...
Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi.
Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar..
" Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC "
Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas..
"...
Nadhani Simba hawako Serious, watu mna Mechi za maana kabisa hapa duniani, mnacheza mechi za VPL zilizojaa watu wenye roho mbaya wanatuombea mabaya kila siku, wanawapokea wapinzani wetu wa nje na kuwapa kila mbinu.
Leo Simba ina mechi muhimu kabisa mwezi mmoja tu baadae mnakuja kuwachezesha...
Baada ya michezo ya kimataifa leo Simba wanatupa karata nyingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sukari kutoka Manungu Turiani.
========
00' Mpira umeanza dimba la Mkapa
06'Mtibwa wanapata kona pacha lakini zote zinashindwa kuzaa goli
09' Chama anaiwekea Simba goli la kwanza...
Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga.
Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
1. Position: Centrifugal Operator
Other District Other Location
Description
Qualification:
Diploma holder in Mechanical Engineering
Diploma holder in Electrical Engineering
Diploma holder in Electronic Engineering
Employee Duties & Responsibilities
Operates centrifugal machines to separate...
Aliyekuwa kocha wa Mtibwa sugar amejiuzulu nafasi yake na kuamua kuhamia timu ya Ihefu Fc ya mbarali.
Je, unaonaje huko kuhama?
Zuber kapatia ama kapotea?
Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa 2" Sasa nasubiri 90mins nimnywe 2!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.