mtibwa

Mtibwa Sugar Football Club is a Tanzanian football club based in Turiani. Their home games are played at Manungu Stadium.

View More On Wikipedia.org
  1. Nipo kiwandani Mtibwa, Turiani; umeme umekatika mara kumi toka saa kumi na mbili mpaka muda huu

    Shida ya umeme wa Tanzania ni nini? Je, ni Siasa? Tanesco? Maji? Gesi? Mitambo chakavu? Hujuma? Au nini? Mimi nilijua shida hii ipo maeneo ya mjini tu kukatikakatika kwa umeme ila sasa nimekuja huku Turiani, Mtibwa leo tu jioni mpaka muda huu umeme umekatika mara kumi sasa shida ni nini...
  2. Mtibwa Sugar wamechanganyiwa timu kufanya vibaya

    Nimemsikia Thobias Kifaru msemaji wa mtibwa sugar akidai deni lao kwa Yanga kuhusu abdalah Msheri kama mtu mwenye sonona na aliyekata tamaa. Wakati wanauziana mchezaji hawakuuzina kwenye vyombo vya habari lakini wakati wa kudai wanakwenda kwenye vyombo vya habari na kuviacha vyombo rasmi vya...
  3. Soka siyo ushkaji ni biashara, ishu ya kipa wa YANGA iwe somo kwa Mtibwa na klabu nyingine

    Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao. Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli, lakini Mtibwa Sugar kupitia Ofisa Habari, Thobias Kifaru anaibuka na kudai kuwa Yanga hawajakamilisha...
  4. M

    Baaada ya beki Banda wa Mtibwa Sugar FC kuhongwa ili ajivunje, sasa ni zamu za akina Yondan na Nyosso wa Geita Gold FC nao kuhongwa wajivunje

    Ukiujua Mpira wa Bongo (Tanzania) na Janja Janja yake ni raha sana. Pongezi sana Kocha wa Mtibwa Sugar FC Salum Mayanga kwa Kuwaanzisha Wachezaji wabovu ila baada ya Yanga SC kufunga Goli la Pili ndipo ukawaingiza Wachezaji wazuri akina Kibaya. Hongera sana Kipa Shabaan Kado (mwana Yanga SC...
  5. NBC PL| Mtibwa Sugar 0 - 2 Yanga | Manungu Complex

    Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo mkali kati ya Mtibwa Sugar Vs Yanga Sc Mchezo huo unategemewa kuvuta hisia za mashabiki wengi, kwani Mtibwa anaonekana kama mgumu akiwa uwanja wa nyumbani. Je, Yanga ataweza kuibuka na alama zote tatu ugenini? Mpira dakika 90, tukutane hapa kwa updates za...
  6. Uwanja wa Manungu ulivyo kabla ya Mtibwa Sugar Vs Yanga

    Picha inayoonyesha mazingira ya Uwanja wa Manungu mkoani Morogoro ulivyo, uwanja huo utatumika kwa ajili ya mchezo wa Mtibwa Sugar dhidi ya Yanga, leo Jumatano Februari 23, 2022. Mchezo huo wa Ligi Kuu Bara utaanza saa 10:00 Jioni, wenyeji Mtibwa Sugar wakiwa nafasi ya 15 kwa pointi 12 ambayo...
  7. Tujikumbushe wachezaji wa Mtibwa ambayo ilitwaa Ubingwa wa Tanzania Bara mwaka 2000

    Huu uzi ni kwa wakongwe tu, wadogo zetu njooni mle maarifa Mimi naanza na Alphonse Modest, endelea na wewe
  8. Kamati ya roho mbaya Simba SC chini ya Gentamycine yachakazwa na kakamati kadogo ka roho mbaya ka Mtibwa Sugar

    Wakuu kuna mdau humu ndani anajiita GENTAMYCINE huyu amekuwa akijinasibu kwamba yeye ni mtaalamu wa figisu za aina zote,yaani kama angekuwa mwanajeshi tungesema ni kamanda wa kikosi cha SEAL (Sea,Air and Land)Namaanisha ukimsikiliza. Za ndani baada ya kuandika maandiko kibao juu ya FIGISU...
  9. Yaani Mtibwa Sugar FC 'Kaua' Mtu Goli 7 cha Kushangaza Redioni leo anasifiwa aliyemfunga 'Mnyonge' na asiyejua Goli 4 kwa Mkapa jana

    Nchi hii ina Watangazaji na Wachambuzi ( wa Redioni ) wa hovyo hovyo hadi kuna muda unaona 'Kinyaa' tu Kuwasikiliza. Hivi ni nani hajui kuwa jana Yanga SC ilichokifanya ilipocheza na Ihefu FC kwa Mkapa na Kumfunga zile Goli 4 ni sawa tu na Kupiga Bomu Mochwari na Kujisifu kuwa Umeua Watu wengi...
  10. Mtibwa sugar vs Biashara United: Mtibwa yafufukia Manungu

    Mechi inaendelea dk ya 80 mtibwa anaongoza 2-0 na bado anashambulia kwa kasi Sana. Magoli ya mtibwa yamefungwa na Gorge Nzigamasabo Steve 12'p Demla dk ya 62' Hii ni mechi ya kwanza mtibwa kushinda msimu huu Hii ni mechi ya kwanza kuchezwa manungu msimu huu Sasa mtibwa wamefikisha point 5...
  11. M

    Hivi hizi kazi za Mtibwa Sugar ni kweli, au utapeli

    Nimeona tangazo la kazi nyingi za Mtibwa sugar, mimeshikwa na wasi wasi maana ni kama kiwanda kipya kinaanza, mwenye taarifa sahihi anisaidie nisipoteze muda kuomba kama ni utapeli
  12. Exclusive: Wachezaji Wawili Waandamizi wa Mtibwa Sugar FC na Dodoma Jiji FC wanithibitishia kuwa 100% Ligi Kuu ya Tanzania inanuka Rushwa

    Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo kuwa rahisi. Wadau wa Soka ( Mpira ) tukiwa tunasema kuwa kuna Rushwa Kubwa inayopelekea Timu Shiriki...
  13. M

    Msemji wa Mtibwa Sugar Kifaru anawakilisha Wanamichezo halisi, ila Kaimu Kocha wao Barnabas anawakilisha Washamba wanaopatikana hata Yanga SC

    Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar.. " Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC " Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas.. "...
  14. Mechi za VPL ya leo na Mtibwa na mechi zijazo Simba hawako serious

    Nadhani Simba hawako Serious, watu mna Mechi za maana kabisa hapa duniani, mnacheza mechi za VPL zilizojaa watu wenye roho mbaya wanatuombea mabaya kila siku, wanawapokea wapinzani wetu wa nje na kuwapa kila mbinu. Leo Simba ina mechi muhimu kabisa mwezi mmoja tu baadae mnakuja kuwachezesha...
  15. Simba 5-0 Mtibwa Sugar | VPL | Benjamin Mkapa stadium

    Baada ya michezo ya kimataifa leo Simba wanatupa karata nyingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sukari kutoka Manungu Turiani. ======== 00' Mpira umeanza dimba la Mkapa 06'Mtibwa wanapata kona pacha lakini zote zinashindwa kuzaa goli 09' Chama anaiwekea Simba goli la kwanza...
  16. Live Updates: Yanga SC Vs Mtibwa Sukari,B.Mkapa Stadium

    Tutakuletea updates za maana hapahapa JF hapo saa 1. Mungu ibariki Mtibwa Sukari
  17. Sisi Mtibwa Sugar tunataka polisi kuimarisha ulinzi Uwanja wa Taifa kukabiliana na wahuni wa Yanga

    Video ikionyesha wahuni wa Yanga wakiahidi kufanyia fujo marefa kama timu yao itafugwa. Mtibwa Sugar tunatoa rai kwa TFF ishirikiane na Jeshi la Polisi kuweka ulinzi na kutoa kipigo cha mbwa koko kwa wahuni wa Yanga. Tunalitaka jeshi litoe onyo kabisa kabla ya mechi,wahuni wanaokuja na matoeo...
  18. Vacancies at Mtibwa Sugar Estates Ltd

    1. Position: Centrifugal Operator Other District Other Location Description Qualification: Diploma holder in Mechanical Engineering Diploma holder in Electrical Engineering Diploma holder in Electronic Engineering Employee Duties & Responsibilities Operates centrifugal machines to separate...
  19. Zuber Katwila toka Mtibwa kwenda Ihefu yuko sawa?

    Aliyekuwa kocha wa Mtibwa sugar amejiuzulu nafasi yake na kuamua kuhamia timu ya Ihefu Fc ya mbarali. Je, unaonaje huko kuhama? Zuber kapatia ama kapotea?
  20. Mtibwa vs Yanga

    Kuna kabwana mdogo nimekaambia Yanga ikishinda namnunulia bia moja na ikifungwa basi aninunulie hata fanta orange ntainywa hivyo hivyo, kalivyo kajeuri kasema "broo angu kama vipi tuweke bia 2 kwa 2" Sasa nasubiri 90mins nimnywe 2!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…