mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mtihani upo hapa...!

    Ukiwaajiri kwa wingi utajipunguzia idadi ya chawa kwa sababu hawatakubali kula punje wakati wana uhakika wa unga(ugali). Na ukisema uwaajiri wachache kundi linalobaki linaunda NETO,UYAM n.k ili kukukabili. Mbaya zaidi makundi haya yanaibukia 2025 wakati unahitaji kura zao!. It is examination...
  2. Ratiba ya mtihani wa kidato cha nne 2025.

    Ratiba ya mtihani wa taifa 2025 kidato cha nne
  3. Hatimaye nimepita mtihani wa Kiswahili maandalizi kwa ajili ya Oral

    Mungu ni mwema licha ya ugumu wa mtihani kati wa watahiniwa 23426 basi kwenye 775 waliopita kwa alama kwenda oral interview nipo😭 Naona tunamepata ofa ya siku mbili kujianda kutokana na ugeni nchi kwetu. Naamini Mungu ataendelea kutenda na pia mliokosa basi msikate tamaa japo utaratibu huu ni...
  4. Maswala ya usaili walimu : angali sample ya mtihani kwenye ujumbe huhu kujipima uwezo binafsi kuelekea aptitude test

    MASWALI YA KISWAHILI Tumia maswali haya kama njia ya kugundua nguvu zako (strength) na udhaifu wako (weakness) kuhusu uelewa wa somo na matumizi ya mbinu za ufundishaji, na si kama kipimo cha "possible." Maswali Haya ni ya Jumla Hata hivyo, ili kupata majibu na msaada mwingine wa mentorship...
  5. Wanafunzi 210,578 wa Darasa la 4 wamepata Daraja E kwenye Mtihani wa Upimaji, 116,251 wamefeli Kidato cha Pili

    Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya upimaji wa kitaifa wa kidato cha pili kwa mitihani iliyofanyika October/November 2024 ambapo jumla ya Wanafunzi wa Shule 680,574 kati ya 796,825 wenye matokeo ambao ni sawa na 85.41% wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu ambapo...
  6. Inafika wakati unawaza, huenda ndio maana Mungu alimnyima kitu fulani au alimpa mtihani fulani kutokana na tabia zake

    Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu. Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu. Unaweza muona mtu anaumwa sana, let's say mguu au kitu chochote, ila ukija kusikia chanzo au historia yake unaina kumbe ni...
  7. A

    DOKEZO Mwalimu Farida Washokera wa SAUT-MWANZA Atoe incomplete kwenye matokeo ya (BASIC ENGLISH) kwa Wanafunzi wa Course ya mass Communication

    Na sio Kuwazungusha kwani Wanafunzi Hawa wamekuwa wakilalamika kutoshughulikiwa changamoto Yao ya kutokujaziwa matokeo Yao toka mwaka wa masomo 2023/2024 Semister ya kwanza. Aidha Wanafunzi Hawa wamefatilia kwa viongozi mbalimbali wa chuo akiwemo HOD ya Journalism and Mass Communication lakini...
  8. Uamuzi wa Serikali kuhamia Dodoma inaonekana ni kama mtihani mgumu kwa baadhi ya Idara na Taasisi

    Dodoma ni Makao Makuu ya Nchi kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na hivyo kumekuwa na changamoto ya kutokuwepo kwa Viongozi waandamizi wa Serikali katika ofisi zao. Mwaka 2017, aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, alitangaza rasmi kuhamia kwa...
  9. Ufafanuzi kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne

    Kwema wana JF, Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa...
  10. LGE2024 Manyoni: George Juma Mohamed, Mgombea wa CHADEMA auawa kwa kupigwa risasi usiku wa kuamkia tar 27, 11, 2024

    Mgombea kupitia Chadema wa Kitongoji cha Stand, kata ya Mkwese, Jimbo la Manyoni Mashariki George Juma Mohamed ameuwawa kwa kupigwa risasi ya kiuno usiku wa kuamkia leo tarehe 27 Novemba 2024, majira ya saa saba usiku nyumbani kwake. Mwili wa marehemu upo hospitali ya wilaya ya Manyoni. Pia...
  11. T

    Wasanii wetu na mtihani wa Imani!

    Nilifuatilia mjadala wa Harmonize kuombewa na Pastor Tony, na kabla ya hapo kwenda kanisani na Kajala. Pia huyu anayeitwa Niffer naona na yeye yupo kwenye dini mseto! Kote kote yupo! Nashawishika kuamini hii inatoka na kazi yao kutaka kuwaridhisha mashabiki wao ambao wapo pande zote za Imani...
  12. Kidato cha 4 kuanza mtihani Novemba 11, 2024, Idadi ya watahiniwa yapungua ukilinganisha na mwaka 2023

    Idadi ya watahiniwa wanaotarajiwa kufanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne mwaka 2024 kuanzia kesho Novemba 11, 2024 imepungua kutoka 572, 338 mwaka 2023 hadi kufikia 557, 731 mwaka huu. Akitoa taarifa ya maandalizi ya mtihani huo, Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA)...
  13. Naombeni, Maarifa ya kusimamia mtihani wa taifa.

    Msaada kwa wale wazoefu wa kusimamia hizi kitu of course zipo sensitive sana, umakini unatakiwa, naona masharti makali sana, vitu vya msingi kuzingatia ili niwe salama. Of course ni mara yangu ya kwanza, semina nimeelewa ila humu naweza pata maarifa zaidi. Alaf umepigwa biti hatari Asanteni.
  14. B

    Kuoana watu wa system ni zaidi ya mtihani anapohamishwa mmoja kikazi

    Unaweza ukalichukua poa poa hili swala Ila litakapokukuta ndio utanielewa vizuri ujue zamani mwanaume ata kama Wote mlikuwa wafanyakazi wa serikali kulikuwa kuna ule urahisi wa mwenza wako kuhamia kikazi pia mahali ulipo kutokana na ile capacity ya chance tofauti na Sasa kuomba uhamisho si jambo...
  15. Trump asema hana matatizo ya akili au uelewa na kuitisha mtihani kwa wagombea

    Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani. Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo." Trump...
  16. B

    Kufanikiwa ukiwa maeneo uliyozaliwa ni mtihani

    Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja) 2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa unaishi mahali ulipozaliwa kuna Ile hali ya uoga inakuja automatically kwamba kazi siwezi fanya Ila...
  17. Nimefanya mtihani wa IQ online, Naomba mnipe ufafanuzi wa majibu!

    Wakuu mko poa? Nimefanya mtihani wa IQ mtandaoni na nilitarajia kupata matokeo yanayoonyesha namba ya kiwango changu cha IQ. Hata hivyo, badala ya namba hizo, nimeshangazwa kupata matokeo yanayoonyesha maumbo mbalimbali. Naomba mnipe ufafanuzi wa maana ya haya maumbo kwani nilitarajia matokeo...
  18. Kuoa single mother ni mtihani

    Iki ivi kiukweli mm ninafsi siwezi oa singles mother nina sababu kama kumi hivii na zina mashiko 1. Huna uhuru na mtoto ukimpiga unamwonea 2. Mkigombana kidogo simu kwa x wake 3. Kuchapiwa lazim uchapiwe wengine wameechan kwa ugumu wa maìsha akipata unafuu anatoa tunda 4. Kuchanganya familia...
  19. Mimi nina Roho nzuri lakini Wabongo walinipa mtihani huu nikashindwa, acha wanione nina Roho mbaya tu

    Ana andika, Robert Heriel Mtibeli Mimi ni miongoni mwa wale Watu àmbao wakati nilipokuwa mwanafunzi sikuwahi kuibia mtihani tangu naanza Shule mpaka namaliza Chuo Kikuu kwasababu nilikuwa miongoni mwa wanafunzi wa kutegemewa na ambao wanafunzi wengine walikuwa wakihitaji msaada wa Majibu kutoka...
  20. B

    Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…