mtihani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chachu Ombara

    Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  2. MK254

    Maembe ya Kenya yapita mtihani na kukubalika Italy, sasa ni mwendo wa biashara

    Tunaendelea kutanua soko la matunda yetu Ulaya na Mashariki ya mbali...mkulima wa Kenya ushindwe mwenyewe. Kilimo biashara ndio mwendo sasa..... ================================= Kenya’s mangoes have received a clean bill of health in Italy in a major boost to growers as the country prepares to...
  3. Miss Zomboko

    Darasa la saba waanza Mitihani

    JUMLA ya wanafunzi 1,132,143 wa darasa la saba waliosajiliwa na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), leo na kesho watafanya mitihani ya taifa ya kuhitimu elimu ya msingi. Akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mitihani hiyo Dar es Salaam jana, Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles...
  4. T

    RC Homera anawatakia mtihani mwema wanafunzi wote wa darasa la 7-Mbeya

    "Niwatakie kila la kheri Wanafunzi wote wa darasa la saba mkoani Mbeya katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi." Mhe Juma Zuberi Homera, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya.
  5. butiama2014

    Mtihani wa form two 2021

    Wadau naomba mwenye ratiba ya mtihani wa form two 2021
  6. Mkulungwa01

    Nahitaji kufahamu huyu dogo ni mtu wa aina gani

    Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana utakuja kufanikiwa", " wewe ni mkombozi", "wewe ni kiongozi" n.k Kauli hizi huambiwa hata na watu ambao...
  7. S

    Rais Samia angalia sana kwani Urais wako ni mtihani si kwa Tanzania tu, bali kwa mataifa mengi kuhusu wanawake kupewa nafasi ya Urais huko mbeleni

    Tanzania ni nchi ya kwanza, kwa Afrika Mashariki na Kati, Kwa SADC, na kama sikosei ya pili kwa Afrika kuwa na Rais mwanamke. Tuna jambo kubwa sana, kwa kuwa hata Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke na jaribio lao la kufanya hivyo lilishindwa. Hatujali kwamba Rais Samia alikuja kuwa Raisi...
  8. Shadow7

    Mwanaume huko Senegal avalia kama msichana kumfanyia mpenzi wake mtihani

    Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza. Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za wanawake zimesambazwakatika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari nchiniSenegal...
  9. Deejay nasmile

    SoC01 Kifo cha mtu uliyemzoea mtihani mgumu sana kufaulu

    KIFO NI KIBAYA SANA..NI BORA UFE WEWE KULIKO ATANGULIE YULE ULIMPENDA NA KUMZOEA. Habari wakuu,poleni na majukumu Najua kila mtu ameshawahi kusikia neno KIFO..ndio ni neno fupi lenye herufi chache tu,Herufi nne yaani K I F O. Nadhani tukiongelea katika maneno ambayo yanaogopwa na hayapendwi...
  10. Bhujegwe

    Utaratibu kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Private Candidate

    Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi. Swali linajengwa na hoja hii: Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
  11. MR.NOMA

    Claudio-Kijana wa Kitanzania aliyepasua 99% mtihani wa Hesabu Havard

    Kijana huyu mwenye amri mdogo ana akili iliyotulia kinoma, miaka ya hivi karibuni alifanya kazi katika Shirika la Twaweza akiwa kama Assistant data analyst alibahatika mwaka jana Mwanzoni kupata ajira nyingine huko ughaibuni - barani ulaya katika shirika kubwa la masuala ya utafiti ambapo...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Tatizo la kushindwa kufaulu mtihani wa kuajiri linatokana na nini

    Habari za Leo wapendwa, Heri ya siku ya wafanyakazi duniani. Wapendwa kwanza kabisa nikiri kwamba taifa letu bado ni changa na ili liweze kuendelea linahitaji kuajiri wataalam mbalimbali katika sekta mbalimbali. Inashangaza sana taifa hili eti linashindwa kuajiri huu ni mkwamo mkubwa katika...
  13. I

    BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  14. Bhujegwe

    Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Kuna taarifa kuwa Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita wa Shule ya Sekondari ya Shinyanga maarufu kama Shybush, wamefukuzwa shule na kuzuiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita unaotarajiwa kuanza mapema mwezi wa tano. Taarifa zaidi zinadai kuwa sababu kubwa ni fujo iliyotokea shuleni hapo mwezi...
  15. Replica

    Rais Samia Suluhu kuhutubia Bunge Alhamisi Aprili 22, 2021

    Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa Rais Machi 19 mwaka huu. === Rais Samia Suluhu Hassan atahutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
  16. J

    Mtihani: CAG mstaafu azitaka kamati za bunge PAC na LAAC zitembelee taasisi zenye hati chafu badala ya kukimbilia kwenye hati Safi!

    CAG mstaafu mh Uttoh amezitaka kamati za bunge za PAC na LAAC kuwa strategic zinapoenda kukagua taasisi za serikali badala ya kujiendea tu kimazoea. Uttoh amesema ni vema bunge likatembelea taasisi zenye hati chafu na zile ambazo CAG ameshindwa kutoa hati ( disclaimer) au zile ambazo CAG...
  17. Miss Zomboko

    Geita: Kaka amuua mdogo wake baada ya kufanya vibaya kwenye mtihani wa majaribio

    Mwanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Shibutwa wilayani Mbogwe mkoani Geita, Ziada Masumbuko (15) ameuawa kwa kupigwa na kitu chenye ncha kali kichwani na kaka yake kwa kile kinachodaiwa ni baada ya kufanya vibaya katika mtihani wa majaribio. Kamanda wa polisi mkoani Geita, Hendry...
Back
Top Bottom