Wanajamvi kama unataka kufanya jambo lako na hela inapungua bora usubiri tu upate hela umalizie jambo lako maana sio poa. Nilikuwa nataka kununua kitu last month hela ikapungua kama laki mbili hivi, basi nikamcheki mshikaji wangu aniongezee then tarehe 21 ntamrefund nikitegemea mshahara kuingia...