Habarini wakuu!
Nimekuwa mpenzi wa suruali za aina ya american jeans/cadet
Naomba mwenye kufahamu zinauzwa wapi anisaidie
Sehemu nilipokua nanunua mwenye duka alifunga biashara.
Kuna vitu vinashangaza mnoo katika siasa za CCM ambapo kile kinachoimbwa majukwaani (kuwawezesha vijana na wanawake) ni tofauti kabisa na kile kinachofanyika. Hili la wazee wastaafu waliochoka na kuchokwa kurejeshwa kinguvu kwenye ulingo wa kisiasa ni miongoni mwa maajabu ya siasa za CCM.
Hizi...
👉🏾Katika ulimwengu wa leo, ambapo familia nyingi zinapitia majaribu makubwa ya kijamii na kiuchumi, ni vigumu kuzipata familia zinazoonyesha umoja, upendo, na utakatifu wa kweli. Hata hivyo, Familia Takatifu Yesu, Maria, na Yosefu ,inaendelea kuwa kivuli cha matumaini, ikitufundisha kuwa familia...
Habari wakuu, kama namna mjadala unavyojieleza ni mabadiliko yapi ya mtindo wa maisha wa vijana wa sasa yapo tofauti na vijana wa miaka 20 -30 iliyopita? Hasa kwa kuzingatia;
Lifestyle ya ''hustle culture ''
- Je, vijana wanavutiwa na maisha ya ''hustle''[kujibidiisha kufanya kazi nyingi kwa...
Katika dunia ya leo, wasiwasi na mashaka mara nyingi huchanganywa na akili au hekima. Watu wengi wanaamini kuwa kuwatilia mashaka wengine, kuepuka kujitolea, na kukataa mahusiano yanayohitaji uaminifu – kama ndoa – ni ishara za kuwa na akili nyingi au “uwezo wa kuyajua maisha.” Makala hii...
Hii nayo ameona isimpite 😂🤗
Simon Msuva amefunga bao la kuiweka Tanzania mbele dhidi ya Ethiopia na anajiunga na mtindo wa kushangilia wa Baltasar Engonga, kigogo wa zamani wa mambo ya fedha wa Guinea ya Ikweta aliyekumbwa na kashfa ya ngono.
Soma: Guinea: Kigogo Baltasar Ebang Engonga anaswa...
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa wasanii mfano,
1. Kuna msanii anaitwa Abby chams , alimrefer TID kama yule mbabu mwenye kipara Hana...
Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
As umri unaenda na miaka yangu 38, nimejikuta napenda sana private life, weekend, likizo na siku nyingine za kazi ambazo.
Huwa nahisi mjini Pana boa napenda sana kwenda shambani nikikaa naona ng'ombe, mara nikamate bata nimchinje nione parachichi zimestawi najikuta stress za mjini...
Habari za leo! Ikiwa umewahi kufikiria jinsi nyumba yako inaweza kuwa na muonekano wa kipekee na kuvutia, Afro Eco Wood Designs ndiyo jibu unalotafuta.
Tunatoa huduma ya kudesign furniture na muonekano wa maeneo ya nyumba na biashara kwa kutumia mbao , ambapo tunachukua mawazo yako na...
Kuna matindo wa kitoto, woga, kibabe na kijinga sana sasa hivi unafanywa na ma DC, RC na Mawaziri wakati wakiongea na wananchi wanapozidiwa hoja au wanapotaka wananchi waogope utasikia wanawasukumizia wananchi wanaotoa hoja kwa ma OCD kama mbinu ya kuwanyamazisha.
Hii tabia inajenga hofu kwa...
Maisha ni ya thamani kubwa sana. Hata hivyo maisha huambatana na changamoto moja kubwa. Watu hupata maisha(kuzaliwa) wakati wakiwa hawayahitaji na wala hawajui thamani yake, na huyapoteza wakati yakiwa ndiyo kitu cha pekee wanachokihitaji. Kuna watu waliouza kila kitu, wakakimbilia hospitali...
Siri ya dunia ni kubwa yenye kikundi kidogo au watawala waliopo duniani na nyuma yao kwa ajili ya kuendesha dunia.
Nimeona nilete mada hii ili mjiulize kwa ufupi sana kuhusu maisha yenu na vizazi vyenu kwenye mijadala mingi mnayozuka nayo hapa JF.
4D ni jina lenye maana nyingi ila kwa mada...
Mwaka 2018 China ilitangaza kuyabomoa majengo yote ya kidini yenye usanifu wa tamaduni nyingine na kuyajenga kwa kufuata majengo ya Tamaduni za Kichina.
Katika waraka huo wa mpango mkakati wa miaka 5, China ilisema itabomoa majengo mengi ya kidini ya mtindo wa Kiarabu ama mtindo mwingine usio...
Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.
Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa...
Salamu waungwana.
Nisiwe na maneno mengi mimi nina swali hili kwa wataalamu wa afya na wizara ya afya kwa ujumla.
Je, mtindo wa watu kuoga maji baridi ili kupooza joto la miili yao ni salama kwa afya?
Kama sio salama kwanini wizara na wataalamu wa afya hamlizungumzii hili suala hata kutoa...
"Hatutambulishi tena Wachezaji wetu wa Kigeni wakitua tu Uwanjani kama zamani kwani kuna Timu moja ina Jicho la Husuda huwa inawamaliza Kimpira" msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe.
Chanzo: Sports Bundle ya U-FM jana Saa 3 Asubuhi.
Kudadadeki zenu na hata huyu mpya nae tutamroga zaidi ya Hafidh Konkon
Wakuu baada ya kupiga kambi Mtwara na Newala nimevutiwa sana na ustaarabu, uungwana na ukarimu wa watu wa kusini mwa Tanzania.
Sasa ninaandika kitabu kuhusu maisha ya watu wa kusini mwa Tanzania. Kitabu kitagusa nyanja zote kuanzia utamaduni hadi shughuli za kiuchumi ikiwa ni pamoja na fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.