mtindo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nsanzagee

    Waisraeli kuua watoto kule Gaza na kuondoa matibabu bure kwa watoto chini ya miaka 5 siyo kitu sawa

    Iko wapi huruma ya serikali kwa watoto kutoa matibabu bule kwa walio chini ya miaka mitano Mbona tunawalaani wazayuni kushambulia na kuuwa watoto wa Gaza na huku tukiona sawa kutokuweka na kuendeleza sera ya matibabu bule kwa watoto wetu walio chini ya miaka mitano? Panatofauti gani kati ya...
  2. sky soldier

    Nina miaka 33 lakini naonekana nina miaka 25. Huu ndio mtindo wa maisha yangu pengine unaweza kukusaidia usizeeke haraka

    Ni sehemu kibao kwa watu tusiojuana hudhania mimi ni kijana mdogo wa miaka 25 kumbe ni mtu mzima nina 33 mwakani mapema tu naingia 34. Mwili, Ngozi na sura bado vinawachanganya wengi kuhitimisha bado ni kijana mdogo ila huanza kuujua utu uzima wangu tukianza kuongea ama wakijua nina familia...
  3. Teko Modise

    Tuambie huwa unanyoa mtindo gani wa nywele na kwanini?

    Kuna mitindo mbalimbali ya unyoaji wa nywele za kichwani. Kuna panki, kipara, mtindo wa nywele saizi ya brashi, kuna mtindo wa nywele za kuota (low cut) nk Tuambie wewe huwa unanyoa mtindo gani, na kwanini unapenda mtindo huo?
  4. K

    Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Kumeingia mtindo mpya wa kujitafutia miradi. Sasa mkurugenzi wa Muhimbili anataka kuanzisha mradi wa upigaji eti Muhimbili ibomolewe na kujegwa upya wakati kuna vijana hawana hata mabweni ya kulala. Kwani kuna tatizo gani ya maeneo ya kujenga mpaka wakabomoe hospitali! Kwanini basi pasibakie...
  5. BARD AI

    Hii ndio sababu Vijana wengi Tunakufa mapema, hauwezi kutoboa kwa mtindo huu wa maisha

    Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako . RAFIKI YAKO: Kaka...
  6. Analogia Malenga

    Kurt Vonnegut: Jinsi ya Kuandika kwa Mtindo wa Kibinafsi na Kuvutia

    Jinsi ya Kuandika kwa Mtindo Kurt Vonnegut, mwandishi wa riwaya kama vile "Slaughterhouse-Five," "Jailbird," na "Cat's Cradle," aliulizwa jinsi ya kuweka mtindo wa kibinafsi katika maandishi yako. Waandishi wa habari na waandishi wa kiufundi wanafundishwa kutofunua chochote kuhusu wao wenyewe...
  7. sky soldier

    Mtindo wa maisha unaomea kwa vijana rijali wa kikristo kufika hadi miaka 30 bila ndoa rasmi, kuna sababu ipi wasiitwe wazinzi waliokubuhu?

    Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa kijana rijali kafika hadi miaka 30 asiwe na mwanamke, haiwezekani kabisa kwa kijana rijali mwenye afya, alie huru uraiani na anaingiza kipato asiwe na mwanamke, lakini ndio hapo sasa kuna utofauti wa waliooa na mabachela wazinzi waliokubuhu Unakuta kijana...
  8. Expensive life

    Mbuzi kagoma kwenda ndio mtindo pendwa zaidi kwa wanaume kunako sita kwa sita

    Wanaume wenzangu kuna ubishi hapa? Mbuzi kagoma kwenda, yaani baby mama anakuwa amepiga magoti huku amejibinua kidogo alooo 😋😋😋 Utamu wa hii style mwanamke awe na nyama laini (steki) vimbaumbau haiwafai hii.
  9. S

    Matokeo ya mwanafunzi yakiandikwa kwa mtindo huu maana yake nn?

    Kwenye points na Division pameandikwa *S.
  10. Chief Kumbyambya

    Wazee labda tupeane uzoefu hili swala huwa mnalimaliza kwa mtindo gani?

    Nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Wazee hapa mimi nimekwama hivi hili swala la unaenda pub unamnunulia bia manzi mnapanga kabisa kuwa hapa tunaondoka wote anakubali hapo mnapo yapanga hayo yote ni mida ya saa nne usiku ndiyo unaingia pub na umeshamchora mtoto kuwa hana mtu. Lakini inafika...
  11. M

    DOKEZO Tanzania Institute Of Education (TIE) does the textbooks business in a "cocaine style". Is that the core job of the institute?

    Here you get Kiswahili version to start with followed by English version KISWAHILI VERSION TAASISI YA ELIMU TANZANIA (TET) INAFANYA BIASHARA YA ELIMU NA VITABU KWA MTINDO WA DAWA YA KULEVYA. BIASHARA YA VITABU (TEXTBOOKS) NDIYO KAZI YAO KWA KISHERIA YA TAASISI HII? Kwanza kabisa TET...
  12. TODAYS

    Kwa mtindo huu Afrika kusonga mbele kamwe ni nadra!.

    Kwa mtindo huu wa kiongozi yupo ukumbini anahutubia ila huko barabarani maisha hayaendelei ni nadra Tanzania kufika uchumi wa kati, ile mnayoitangaza kila wakati huwa ni chengatu. Yaani hata nyie viongozi mnapokuwa kwenye shughuli zenu za kikazi mjue mnatesa na kuwapotezea raia muda. Naelekea...
  13. S

    Mtindo wa kuita miundombinu majina ya watu binafsi pamoja na maraisi ukomeshwe, unaleta kutukuza watu isivyostahili wanapotimiza wajibu wao

    Nachukia sana hili suala la kuiita miundombinu kwa majina ya watu binafsi, kama maraisi au watu wengine wanasiasa na wengineo. Kinachoniudhi zaidi ni kwamba mapendekezo ya majina haya mara nyingi hufanywa na watu ambao wana ajenda ya kujipendeke kwa raisi au wengineo. Sikatai kwamba hawa watu...
  14. Swahili AI

    Wahudumu wa Afya (manesi) huu mtindo ulienda wapi?

    Hivyo vikofia mbona hamvai? Kwanini? Nani aliwakataza?
  15. Sa 7 mchana

    Msaada: Jinsi ya ku-search kupitia google kwa mtindo huu?

    Habari zenu wataalam Naomba kujua jinsi yakusachi ilikupata taarifa kutoka mtandao mmoja pekee. Mfano: Nataka kusachi neno fulani tuseme "ushonaji". Matokeo nataka yatokee kutoka katika mtandao mmoja pekee. Na sii mchanganyiko mchanganyiko kama ambavyo inatokea mtu akisachi kupitia...
  16. Godfrey- denis

    SoC02 Mtindo wa maisha yako ndiyo afya yako

    MTINDO WA MAISHA YAKO NDIYO AFYA YAKO Habari wanajukwaa ,mimi kama kijana wa kitanzania mwenye uchu wa mapinduzi chanya ya kiafya kwa watanzania nawaletea kwenu ujumbe huu unaogusia zaidi “Mitindo yetu ya maisha na mchango wake katika afya zetu” UTANGULIZI Kumekuwa na changamoto nyingi ambazo...
  17. E

    SoC02 Kuongezeka kwa saratani ya matiti kutokana na mambo ya mazingira na mtindo wa maisha

    Saratani ya matiti ni ugonjwa ambao seli kwenye matiti hukua bila kudhibitiwa na huweza kutengeneza uvimbe. Saratani ya matiti inaweza kusababishwa na mchanganyiko wa vinasaba, mazingira, homoni na mtindo wa maisha kwa wanawake. Kuna aina tofauti za saratani ya matiti, kwa kuwa wanawake wengi...
  18. aise

    Mwanamke mwenye uso wa kimakonde asuke mtindo gani?

    Kuna bibie ana uso na mwonekano wa kimakonde, asuke mtindo gani ili apendeze? Uso wa kimakonde ni kama Harmonize, halafu awe mwanamke.
  19. robinson crusoe

    Rais Samia utawezaje kujinasua na sifa bandia na kuharibu mafanikio ya watangulizi wako?

    Kuharibu sifa za watangulizi ni mtindo ulioanzishwa na Kikwete ndani ya chama kile kile cha CCM! Nauona ukiendelea kwa nguvu zote. Maofisini wizi umepamba moto. Alipoingia Kikwete alimfanya Mkapa kama ni hovyo kabisa! Wafuasi wake wakaanza kumzomea barabarani. Hata sherehe za kitaifa akasusia...
  20. OKW BOBAN SUNZU

    Huu mtindo wa Rais kujifichia kwenye kamati/ kikosi kazi unaitwaje kitaalamu?

    Tumeona maamuzi kadhaa ya kitaifa hivi karibuni yamekuwa yakitolewa kupitia uundwaji wa tume, kamati na vikosi kazi. Tunaona imeundwa timu ya kuangalia kanuni za kuendesha mikutano ya siasa Baadae kidogo tunaona kuna kikosi kazi cha kuangalia tume huru na kushauri kuhusu upatikanaji wa katiba...
Back
Top Bottom