Kuteua waliokataliwa Kiutendaji na aliyekuwa Bosi wako na Kuwaondoa katika Utendaji wale walioaminiwa Kiutendaji na Bosi wako.
Sasa naanza Kuamini kuwa ukifanya Kazi na Mtu mahala ( ofisi ) fulani si vizuri sana Kumuamini kwani huenda hata Maadui zako wakapitia Kwake na Kukuangusha na hata...
Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao.
Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi (clip) na wakati mwingine hunukuu Maandiko Matakatifu na kwa mwanaume asiyejua kutofautisha dhahabu...
Nini maana ya tatizo la nguvu za kiume?
Hili ni tatizo linalohusisha hali tofauti kwa wanaume ambalo linaweza kuathiri njia ya mkojo na uzazi kwa mwanaume.
- wanaume wengi wamekuwa wakipata hofu na aibu kwa sababu tatizo hili linahusisha sehemu za siri.
Je ni Nini chanzo cha tatizo la...
Mimi kama mtaalamu wa Saikolojia na mbobezi wa Masuala ya kijasusi, nimemuogopa sana kuwa Samia Suluhu Hassan si kiumbe wa kawaida alipoingia madarakani alikuwa tayari ameshawagundua wabaya wake na yeye akaanza kuwasogeza karibu kwa kuwarushia mahindi.
Kinachosikitisha ni kwamba Mbowe hakuwa na...
Wanaukumbi.
Chadema mnapewa onyo kwa barua na Jeshi la Polisi msikusanyike. Mnaiposti barua kwenye Mitandao na kujitapa kwamba tutakusanyika tuone polisi watafanya nini.
Polis wanawakamata; mnarudi kwenye mitandao kuomba michango mtoe waliokamatwa daah hii ni biashara au deal la Mbowe na...
ATTENTION
DEAR MEMBERS
For those who are posting free internet data, free this and free that.
Let me teach you some basic ICT. Any Link that start with "http " is most likely a phishing link.
Phishing is usually intended to get your Personal details including your date of...
Ni katika kipindi cha siku 100 madarakani, Rais anaachia wahalifu kwa sababu anazozijua. Baadhi ya wahalifu wamekuwa mahabusu tangu awamu ya 4 ya Kikwete wakati Rais Samia akiwa ni waziri tu!
Je, ni kweli katika siku 100 ameweza kugundua watu hawa walionewa? Kweli rais wetu anaamini serikali...
Mwendazake ndiyo muasisi wa mtindo huu usiofaa wa kuhutubia njiani (naona Rais Samia naye anaufanya Mwanza).
Rais anapaswa kutoa hotuba kaatika eneo lililoandaliwa vema kiulinzi na kiusalama siyo kusimama majiani.
Kusimama na kuhutubia njiani ni hatari kwa usalama wa rais (rejea tukio la hivi...
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la...
Nimeangalia mkutano uliyojumuisha uchaguzi wa raisi wa chama cha wanasheria kwenye vyombo mbali mbali vya habari.
Tukio hili kubwa la kitaifa lilifanyika Arusha kwenye jumba kuu la mkutano al maarufu kama AICC ni ukumbi wa mkutano ambao hufanyika mikutano mikubwa ikizingatiwa Arusha ni Makao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.