mto wami

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samahani kwa Kuuliza hivi Daraja Jipya la Mto Wami limeshazinduliwa? Na kama bado ni Kwanini?

    Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu, ila popote pale ulipo Hayati John Pombe Magufuli Roho yako ilale mahala pema peponi. Amen.
  2. B

    Ridhiwani: Daraja la Wami ni alama nyingine ya uhakika wa utendaji wa Rais Samia

    Alhamisi ya wiki hii, Oktoba 27, 2022, Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete ameshiriki shughuli ya ufunguzi wa Daraja la Mto Wami ambalo liko ndani ya Jimbo lake la Chalinze. Daraja la Mto Wami limekamilika kwa 96% na...
  3. Nimemshukuru Mungu kwa maisha ya Hayati Magufuli kwa ujenzi wa Daraja la Mto Wami

    Wakuu kwema? Ndio nimeingia sasa kutoka safari mikoa ya Kaskazini mwa Tanzania. Nilivyofika pale mto Wami imebidi nishuke kwenye gari na kupiga magoti chini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Rais wetu kipenzi aliyeitwa mbinguni kwa Mungu Baba mheshimiwa John Magufuli. Pamoja na kwamba watu wa...
  4. Daraja jipya la Wami Ruvu kuanza kutumika Septemba 30, 2022

    DARAJA Jipya la Wami lenye urefu wa mita 513.5 na barabara unganishi ya kilometa 3.8 litaanza kutumika Septemba 30, 2022.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…